Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe!

Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo ..
Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi kuu ya KENYA!

Uhuni/utapeli uko wapi?

Azam Wana channel tatu tu za michezo na Moja (zbc 2) Huwa wanaazima so tuseme jumla zipo 4..

Sasa uhuni unakuja siku za weekend ambapo ujerumani, ufaransa, Tanzania, na uarabuni na pengine huko Kenya Kuna mechi ambazo zipo ndani ya muda mmoja!

Basi hapo Azam wanaamua wao ni mechi Gani waonyeshe! Na ipi wasionyeshe!

Mbaya zaidi Kuna zile mechi 'kubwa' za siku utakuta hawaonyeshi kwa kuwa channels hazitoshi,,.

Nasema hivi
Huu ni uhuni na utapeli Azam, 25000 kwa mwezi ni kubwa sana punguzeni au ONGEZENI CHANNELS

Ili mkisema mnaonyesha ligi Fulani ni sisi watazamaji tuamue mechi ya kuangalia sio nyie mtuchagulie
********

MY TAKE
Azam watangaze kuwa wanaonyesha Badhi ya MECHI ZA LIGI FULANI
Wasiseme wanaonyesha LIGI YA NCHI Fulani..

Wakifanya hivi sitakuwa na kesi nao
 
Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe!

Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo ..
Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi kuu ya KENYA!

Uhuni/utapeli uko wapi?

Azam Wana channel tatu tu za michezo na Moja (zbc 2) Huwa wanaazima so tuseme jumla zipo 4..

Sasa uhuni unakuja siku za weekend ambapo ujerumani, ufaransa, Tanzania, na uarabuni na pengine huko Kenya Kuna mechi ambazo zipo ndani ya muda mmoja!
Basi hapo Azam wanaamua wao ni mechi Gani waonyeshe! Na ipi wasionyeshe!
Mbaya zaidi Kuna zile mechi 'kubwa' za siku utakuta hawaonyeshi kwa kuwa channels hazitoshi,,.

Nasema hivi,,
Huu ni uhuni na utapeli Azam, 25000 kwa mwezi ni kubwa sana punguzeni au ONGEZENI CHANNELS

Ili mkisema mnaonyesha ligi Fulani ni sisi watazamaji tuamue mechi ya kuangalia sio nyie mtuchagulie
Kama unaona 25,000 yako ni kubwa sana usilipe kanunue DSTV utalipa 12,000 utaona mechi zote
 
Enda Customer Service ya Azam kaulize wakueleweshe, usitupotezee muda hapanna threads zisizo na mashiko.

Terms and Conditions, Accepted
 
Yani azam imekuwa kampuni yenye tamaa sana yani hata channel za watoto wanabania sana mfano baby tv cartoon network, nk kifurushi chochote kilipaswa kuonyesha chanel za watoto lakini ubahili tuu

Chanel za muvi zenyewe hazieleweki subtitles ni za kiarabu yani siinjoy tena dishi la azamu fikiria chanel ya documentary kama history tv kwa kifurushi cha kwaida huoni sasa mimi silipiagi tena kwani hamna cha maana na chanel ya dini kama yote na mimi sifatilii hayo kwanini nilipe

Azam haina chanel ya maana ukitoa azam sport basi yaliyo baki ni ma chanel ya dini na ma chanel ya malawi na ma chaneli ya rwanda burundi na machaneli yao mengine ni ya kiluga gani sijui alafu bei juu kisa wanalipa ela Tff ili chanel zingine zisionyeshe mechi

Siipendi azam kwa kweli wamehodhi kila kitu kisa wana hela
 
Wabongo mnalalamika Sana aisee. Ile Ni biashara ya mtu, USIMPANGIE! ukiona wahuni simple tu, ingia dstv au startimes

Azam wamesaidia kwa mengi, na kwa kuwa hawawezi kumfurahisha kila mtu we potezea tu, achana nao eiza ingia hizo kampuni zingine au anzisha ya kwako mkuu uwe na channels Mia 9 kama unahisi ni rahisi
 
Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe!

Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo ..
Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi kuu ya KENYA!

Uhuni/utapeli uko wapi?

Azam Wana channel tatu tu za michezo na Moja (zbc 2) Huwa wanaazima so tuseme jumla zipo 4..

Sasa uhuni unakuja siku za weekend ambapo ujerumani, ufaransa, Tanzania, na uarabuni na pengine huko Kenya Kuna mechi ambazo zipo ndani ya muda mmoja!

Basi hapo Azam wanaamua wao ni mechi Gani waonyeshe! Na ipi wasionyeshe!

Mbaya zaidi Kuna zile mechi 'kubwa' za siku utakuta hawaonyeshi kwa kuwa channels hazitoshi,,.

Nasema hivi
Huu ni uhuni na utapeli Azam, 25000 kwa mwezi ni kubwa sana punguzeni au ONGEZENI CHANNELS

Ili mkisema mnaonyesha ligi Fulani ni sisi watazamaji tuamue mechi ya kuangalia sio nyie mtuchagulie
Nani kakwambia kuwa hiyo ZBC2 huwa wanaiazima? Hiyo ni ya Bakhresa kupitishia magendo yake ya mechi za kimataifa za Caf au FIFA.
 
Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe!

Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo ..
Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi kuu ya KENYA!

Uhuni/utapeli uko wapi?

Azam Wana channel tatu tu za michezo na Moja (zbc 2) Huwa wanaazima so tuseme jumla zipo 4..

Sasa uhuni unakuja siku za weekend ambapo ujerumani, ufaransa, Tanzania, na uarabuni na pengine huko Kenya Kuna mechi ambazo zipo ndani ya muda mmoja!

Basi hapo Azam wanaamua wao ni mechi Gani waonyeshe! Na ipi wasionyeshe!

Mbaya zaidi Kuna zile mechi 'kubwa' za siku utakuta hawaonyeshi kwa kuwa channels hazitoshi,,.

Nasema hivi
Huu ni uhuni na utapeli Azam, 25000 kwa mwezi ni kubwa sana punguzeni au ONGEZENI CHANNELS

Ili mkisema mnaonyesha ligi Fulani ni sisi watazamaji tuamue mechi ya kuangalia sio nyie mtuchagulie
Mbona azam wanaonyesha ligi ya rwanda na uganda pia ajabu iko wapi wakionyesha ligi ya kenya!
 
Wabongo mnalalamika Sana aisee. Ile Ni biashara ya mtu, USIMPANGIE! ukiona wahuni simple tu, ingia dstv au startimes

Azam wamesaidia kwa mengi, na kwa kuwa hawawezi kumfurahisha kila mtu we potezea tu, achana nao eiza ingia hizo kampuni zingine au anzisha ya kwako mkuu uwe na channels Mia 9 kama unahisi ni rahisi
Akili gani sijui huwa mnazitumia watu kama ninyi.

Hayo malalamiko ndo yanaiboresha hiyo Azam. Na Azam yupo kwa ajili ya wateja ndio maana anawanyenyekea kwa kuwatengenezea bure baadhi ya maeneo.

Mentality kama yako hii ndio huzalisha machawa pro max, wao ni kusifia tu hata kitu kibaya.
 
Huyu jamaa anapotosha. Azam huonesha hizo mechi kwenye Channel 5 ikiwemo ile ya 100, Azam sport 1-3 na ZBC 2 pia UTV na o huonesha EPL. Binafsi sijaona tatizo hapo tema kwa kulipia kifurushi cha 25000 wakati kule DSTV aiseee. Nina mwaka sasa sijalipia niache kumuangalia Max nikamuangalie Maguire.
 
ligi ya Kenya iludi Kenya, Azam will fail in Kenya. too much corruption na crime. camera wataiba zote zile
 
Back
Top Bottom