Wanachama wenzangu msikose kuja kesho Jangwani tar 9/6

chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
193
43
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.
 
kuna usafiri,tshirt,na buku 5?vinginevyo hatuji!ILANI YA CCM 2010 ILIKUA NA KATIBA MPYA?tuache kudandia sera za chadema
 
kesho jumamosi tutakua na mkutano jangwani,mh.nape nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana,chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya,msikose ni muhimu sana.

Mkubwa! Nimeshakugundua,ndio maana hata kwenye usaili juzijuzi hapa walikupiga chini waligundua huna maamuzi sahihi kwa wakati sahahi, kijana kama wewe walijua kabisa utakuwa fisadi, ingawa wewe unahisi lugha ndio ilikua ni tatizo na vitina za mbongo.

Kumbe tatizo ni ubongo wako hata kichama umefeli kuwa upande wa ccm, kweli sikio la kufa
.
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Hamna Jipya, labda nyerere akifufuka tutafikiria!
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.
ndugu huo uwanja umepewa jina jipya rekebisha tangazo lako!
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Pale sasa hivi si ndo panaitwa Chadema square..? Ha ha ha haa
 
Nitakuja kwa masharti: mnijazie mafuta kwenye kibajaji changu, cash msimbazi moja, na ubwabwa. Kwa maelezo zaidi nitafute kwenye usokitabu kwa jina langu hili hili.
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

CCM kwa kudandia hoja za watu hamjambo,mbona haujajibu swali la mjumbe hapo juu kuwa ktk ilani yenu ya ccm uchaguzi wa 2010 suala la katiba mpya lilikuwapo?
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

WEWE UKO WAPI,CCM ilishatoa msimamo wake kuhusu katiba mpya huenda ulikuwa ulaya ziarani ukiimarisha chama.
 
Swala la mahakama ya kadhi litakuwepo? kama halina majibu mseme wazi ili nisije kabisaaaaa!!
 
Back
Top Bottom