Wanachama wenzangu msikose kuja kesho Jangwani tar 9/6

Je waheshimiwa Lowasa, Rostam na Chenge watakuwepo?
Mh. Mb. Livingstone Lusinde Kibajaji Matusi atakuwepo?
Mh. Mtukufu baba Riz-One haji kwa vile anaogopa kuanguka au?
Nkapa kwa nini asije kutufafanulia alimuuajauaje Baba wa Taifa?
Nimepita sijaona ng'ombe wala mchele wala maharagwe Jangwani, mlo upo?
Nasubiri majibu Nape ili niamue kama inalipa kuja au vipi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom