Wanachama wenzangu msikose kuja kesho Jangwani tar 9/6

Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Kwanini unamuita NAPE MUHESHIMIWA.
Mr.oil chafu
Mr.Kinyago

Nani wakumuita huyu jamaa muheshimiwa?

Anatakiwa aitwe mdharauliwa Nape.
 
Halafu huyu chitanda namuonea huruma sana huyu ni mwera wa Nachingwea kwetu masikini sana cos ccm badilika ndugu yangu tukomboe kusini acha ulofa ambuje
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Kwani Nape ni mwanachama?
 
vipi mkapa atakuwepo kutolea ufafanuzi kwa nini aliamua kumuua baba yetu wa taifa.Nipe uhakika wa hilo kwanza ndo nije
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Msamiati mpya kutoka kwa nape wa kuwaita watu wanao kihama chama utakuwepo?.
 
nyie watu mmekaribishwa kama mtakuja muweke wazi mambo ya kifara ya nini tena humu pamoja na matusi, wewe kama unajisikia kuwepo jangwani skwea basi njooo siyo kuanza kukomenti upuuzi upuuuzi humu, kama wewe huwezi kuja wengine watakuja. tuache ujinga.....!
 
Mkubwa! Nimeshakugundua,ndio maana hata kwenye usaili juzijuzi hapa walikupiga chini waligundua huna maamuzi sahihi kwa wakati sahahi, kijana kama wewe walijua kabisa utakuwa fisadi, ingawa wewe unahisi lugha ndio ilikua ni tatizo na vitina za mbongo.

Kumbe tatizo ni ubongo wako hata kichama umefeli kuwa upande wa ccm, kweli sikio la kufa
.

umeona eeeh! inaonekana yule mbongo alijua kama mimi ccm damu ndo maana alikua ananikomoa.
 
siendi popote kesho, natamani nifumbe nifumbue 2015 hii hapa niwe kwenye foleni niwape chadema vote, hata mkiiba mnanini, zitalindwa sina chama sisiem unachosha watu na iyenaiyena zetu:majani7:
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Nionavyo mimi tukio la jumamosi linaweza kuacha makovu mabaya sana kwa CCM. Sera za kupima wingi wa maji bora zikafanywa na wanaojua kuogelea! Maana yakiwa mengi, na kuogelea hujui, inaweza kuwa ndo mwanzo wa msiba kwa wapendwa wako! CCM imemeguka ingawa wenyewe hamtaki kuambiwa hivyo, Makundi yakiingia kazini na kuhujumiana itakuwa balaa! Mkutano huu hauna maana. CCM si wa kulumbana majukwaana! Wao wanajukwaa ambalo hakuna anayeweza kulipanda, wanashika Hatamu za uongozi wa nchi. Fanyeni kazi. Mtapimwa kwa namna mnavyowajibika, na wala si kwa kujaza viwanja kwa njia ya kuwanunua watu.
 
nyie watu mmekaribishwa kama mtakuja muweke wazi mambo ya kifara ya nini tena humu pamoja na matusi, wewe kama unajisikia kuwepo jangwani skwea basi njooo siyo kuanza kukomenti upuuzi upuuuzi humu, kama wewe huwezi kuja wengine watakuja. tuache ujinga.....!

Kwa mtazamo wangu wewe ndo una ujinga unaotakiwa kuucha!Unataka kuwalazimisha watu wote wawe na mawazo kama yako! Ukimwalika mtu na yeye akawa na kitu cha kusema kimsingi anakushauri ili kesho uboreshe mada. Usidhani kila aliyeponda katika uzi huu hatakwenda! wengi watataka kwenda ili waone je watu watakua wengi kama siku ya CDM? Na kwa kufanya hivyo wengi watahudhuria! Usiwe na jaziba! si lazima kujibu kwa maandishi! Subiri uone jumamosi
 
Lusinde awepo ili ashereheshe kwa matusi moto moto..

nasikia nape na lusinde ndiyo wasemaji wakuu utasikia nitawashikisha ukuta, nina mvuto ndiyo maana jf wanifatafata, siwezi kujiunga na wachaga, wanao hama ni mizigo, oil chafu huku lusinde akipigilia msumari kwa hoja moto moto mahindi yanarangi gani? migomba inarangi gani? piga makofi kudadadeki
 
nyie watu mmekaribishwa kama mtakuja muweke wazi mambo ya kifara ya nini tena humu pamoja na matusi, wewe kama unajisikia kuwepo jangwani skwea basi njooo siyo kuanza kukomenti upuuzi upuuuzi humu, kama wewe huwezi kuja wengine watakuja. tuache ujinga.....!

wewe ni seng kweli, unaweza kuzuia watu wasicomment waka mama yako kaanzisha thread..
 
Watatujibu kwanini tuliwabwaga huku Arumeru kwa dogo janja?na usafiri uko upande gani ili tukajaze uwanja.
 
Kesho jumamosi tutakua na mkutano Jangwani, mh.Nnape Nnauye na viongozi wengne wengi watakuwepo kuanzia saa sita mchana, chama tawala kitatoa msimamo wake kuhusu mchakato wa katiba mpya, msikose ni muhimu sana.

Umeshachukua bahasha yako ndio unakuja kurubuni na wenzio!? hivyo viposho vya msimu vitawatokea puani.
 
Back
Top Bottom