BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,035
..isije ikawa mafisadi wamemnunua na kuamua kumlipia tuition na kila kitu.
..jmushi1 alikuwepo hapa hata kipindi ambacho tunajua mitihani hufanyika vyuoni.
..madai kwamba anarudi shule hayaniingii akilini.
Kulikuwa na ubishi mzito kati ya wachangiaji mbali mbali akiwemo Mushi na MODS kuhusiana na maamuzi yanayofanywa na MODS. Katika thread hiyo Mushi akaandika kwamba "nifungieni milele kwanza narudi shule hivi karibuni, hivyo sitakuwa na muda wa kuja hapa." Aliandika hayo baada ya kuona yeye amekuwa anafungiwa mara nyingi sana kwa makosa madogo madogo wakati wengine wanaofanya makosa makubwa wakiendelea kupeta. Na sioni sababu yoyote ya yeye kudanganya kwamba anakaribia kurudi shule.