Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Wewe kama wewe umefanya jitihada gani kuboresha?Well, sijui kama wanajiona keki kama unavyodai. Ila ukweli ni kwamba Bongo kunachosha sana. Kuna uzembe wa hali ya juu katika kila nyanja. Na hiyo si kwa sababu ya kukosa fedha. Ila mawazo ni finyu kupindukia. Mimi nimekaa ughaibuni kwa muongo zaidi ya mmoja. Sasa nipo hapa Bongo. NI michosho tupu. Huo ni ukweli; na sio hisia.