Wana JF Hawa Wako Wapi?...

..isije ikawa mafisadi wamemnunua na kuamua kumlipia tuition na kila kitu.

..jmushi1 alikuwepo hapa hata kipindi ambacho tunajua mitihani hufanyika vyuoni.

..madai kwamba anarudi shule hayaniingii akilini.

Kulikuwa na ubishi mzito kati ya wachangiaji mbali mbali akiwemo Mushi na MODS kuhusiana na maamuzi yanayofanywa na MODS. Katika thread hiyo Mushi akaandika kwamba "nifungieni milele kwanza narudi shule hivi karibuni, hivyo sitakuwa na muda wa kuja hapa." Aliandika hayo baada ya kuona yeye amekuwa anafungiwa mara nyingi sana kwa makosa madogo madogo wakati wengine wanaofanya makosa makubwa wakiendelea kupeta. Na sioni sababu yoyote ya yeye kudanganya kwamba anakaribia kurudi shule.
 
Is a good question. But you guys, try to live and get acquianted with the new members (at least new names).
 
watu wapo sema wanaona hakuna haja ya kupost kitu kule kwenye siasa kwani inajulikana kitakachotokea

ndio maaana watu wanaingia na straight wanakuja huku

hivi ushajiuliza kwa nini ile forum inaitwa POLITICS na d WORLD news/lakini inajazwa siasa za Tanzania?

anyway mtu chake
 
Unataka tuweke zile za UK? Hata UK huwezi kukuta za Tanzania pekee labda kama kuna kitu cha muhimu. Na hiki ndo kinafanyka hapa bongo GT
 
GT
Kulalamika lalamika mwishoni tutakuzoea kama mlalamikaji tu hata kama utakuwa na point.

FP
 
wasemao na kukandia hali ya network bongo kusema kweli nawaunga mkono...even me when nilipokua kule cafe zao mwanawane kuna hadi za buku mia tano sasa ila ukisema uingie u surf...mweee balaaa kitu nusu saa hakifungui kitu,plus de fact ka alivyosema mmoja wetu ndugu jamaaz na sehemu za starehe nazo zinakusubiri..so at the end mambo ya internet yanakua hayapewi uzito kabsaaa!
so tungojee wenzetu warudi watakuja jumuika nasi, kwa sasa tuliendeleze libeneke
huyo aliyeenda tambulisha mchumba wa kinaijeria aangalie asije akaingizwa mitini,maana hao majamaa utapeli ni jadi yao
 
Aisee hivi jmushi kweli kaishia wapi? i do remember the fellow kwa hoja zake tata na fungamanishi....!
 
GT nilimuaminia sana zamani nilipoingia hapa jf lakini siku hizi mhhhhh kila leo anakwaluzana na ma Mods tu. Kaacha njia ya kwanza ameamua kuchukua mwelekeo mpya.
Haya bwana.

Alianza kama Mrema na NCCR sasa hivi yupo TLP........hoja imekwisha
 
wasemao na kukandia hali ya network bongo kusema kweli nawaunga mkono...even me when nilipokua kule cafe zao

Zao siyo?..kwa hiyo uko uliko ni Zenu siyo?..za Tanzania siyo zenu?...
Msahili akipata matako hulia mbwata.....
 
As far as I can suspect ni kwamba kuna watu wanajiona keki saaana baada ya kupata exposure huko ughaibuni, nakuona Tz si mali kitu..

I think this sucks..

Well, sijui kama wanajiona keki kama unavyodai. Ila ukweli ni kwamba Bongo kunachosha sana. Kuna uzembe wa hali ya juu katika kila nyanja. Na hiyo si kwa sababu ya kukosa fedha. Ila mawazo ni finyu kupindukia. Mimi nimekaa ughaibuni kwa muongo zaidi ya mmoja. Sasa nipo hapa Bongo. NI michosho tupu. Huo ni ukweli; na sio hisia.
 
As far as I can suspect ni kwamba kuna watu wanajiona keki saaana baada ya kupata exposure huko ughaibuni, nakuona Tz si mali kitu..

I think this sucks..[/
QUOTE]

Mtindiowaubongo nakubaliana kabisa na wewe, kuna watu wakitoka nje ya bongo basi wanajiona wao siyo wabongo, kila kitu ambacho kinakuwa kinaenda isivyo matakwa yao utasikia aaahh vitu flao feki sana, vitu vyao havina mpango....mambo kibao ya kipuuzi unakuta mtu anajiona vya nyumbani havimuhusu si vyao, vya ng'ambo ndiyo flao..
 
Well, sijui kama wanajiona keki kama unavyodai. Ila ukweli ni kwamba Bongo kunachosha sana. Kuna uzembe wa hali ya juu katika kila nyanja. Na hiyo si kwa sababu ya kukosa fedha. Ila mawazo ni finyu kupindukia. Mimi nimekaa ughaibuni kwa muongo zaidi ya mmoja. Sasa nipo hapa Bongo. NI michosho tupu. Huo ni ukweli; na sio hisia.

Tunachozungumzia hapa ni kudharau vya nyumbani ambavyo ni vyenu na kusifia vya ng'ambo ambavyo si vyenu, na huu ni ugonjwa wa watanzania wengi, huyu ni victin mmoja kati ya wengi wenye, mawazo maskini na yanayotakiwa kukemewa, bahati mbaya unawezakuta mtu mwenyewe yuko ng'ambo hata mwaka mmoja hajafikisha, ni juzi tu alikuwa akiishi ilala magorofani....na labda computer anayotumia ni ya mshikaji wake yeye hana....

I have got nothing against nobody, but this really sucks.
 
Back
Top Bottom