Wanaharakati wa Palestina watoa buriani, wauliza wako wapi majirani zao milioni 315. Na sisi twajiuliza iko ile jumuiya ya OIC

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,918
Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia.

Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao.

Mmoja kati ya wanaharakati hao ambaye huenda alitumia kijino cha mwisho cha chaji ya simu yake na mtandao wa kasi ya 2G amesema mengi.Machache nimeona nimnukuu hapa.

Neno terror halina maana isipokuwa kila mmoja na anavyokusudia
Haki za watoto na wanawake inategemea ni watoto na wanawake wa eneo gani.

Maazimio ya kivita na haki za wafungwa inahusiana na wafungwa wa nchi gani.

Wako wapi waislamu milioni 315 wanaoizunguka Palestina wakati wenzao wanachinjwa.

Watu wa Gaza hatuna wa kutunusuru isipokuwa ni Allah na yeye ndiye atakayehukumu siku ya kiama
Tunashahadia na tunakufa.Tutaonana siku ya kufufuliwa.

Baada ya kumsikiliza mpalestina huyo akiagana na dunia nikakumbuka ile jumuiya ya umoja wa nchi za kiislamu ambao miaka ya nyuma ulikuwa maarufu sana masikioni mwa watu na hata Tanzania ilitaka kujiunga nao.

Jumuiya za nchi za Kiarabu zinazoizunguka Palestina na Israel zimekutana katika hali ya kificho na kuondoka bila kutoa matamko ya maana.Upande wa OIC katika mzozo huu tangu tarehe 7 Oktoba sijawahi kuusikia kusema au kukutana popote.
 
Mimi najiuliza yuko wapi ALLAH mungu mwenye uwezo hana mshirika. Anaabudiwa na waumini kwa usafi, mashindano, umoja, nidhamu na kujituma.

Allah please listen to your people all of them are cursing Israrl.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

TRUE GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

I FIRMLY STAND WITH ISRAEL

Israel mtu wangu safisha Hayo magaidi!

NO MERCY MAAMAE

100 others
 
Allah ni msikivu sana.Atakusikiliza kwa maneno yako ya mwanzo na utamfahamu ikiwa si hapa basi ni huko mwisho wa safari na utakumbuka.
 
Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia.

Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao.

Mmoja kati ya wanaharakati hao ambaye huenda alitumia kijino cha mwisho cha chaji ya simu yake na mtandao wa kasi ya 2G amesema mengi.Machache nimeona nimnukuu hapa.

Neno terror halina maana isipokuwa kila mmoja na anavyokusudia
Haki za watoto na wanawake inategemea ni watoto na wanawake wa eneo gani.

Maazimio ya kivita na haki za wafungwa inahusiana na wafungwa wa nchi gani.

Wako wapi waislamu milioni 315 wanaoizunguka Palestina wakati wenzao wanachinjwa.

Watu wa Gaza hatuna wa kutunusuru isipokuwa ni Allah na yeye ndiye atakayehukumu siku

Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia.

Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao.

Mmoja kati ya wanaharakati hao ambaye huenda alitumia kijino cha mwisho cha chaji ya simu yake na mtandao wa kasi ya 2G amesema mengi.Machache nimeona nimnukuu hapa.

Neno terror halina maana isipokuwa kila mmoja na anavyokusudia
Haki za watoto na wanawake inategemea ni watoto na wanawake wa eneo gani.

Maazimio ya kivita na haki za wafungwa inahusiana na wafungwa wa nchi gani.

Wako wapi waislamu milioni 315 wanaoizunguka Palestina wakati wenzao wanachinjwa.

Watu wa Gaza hatuna wa kutunusuru isipokuwa ni Allah na yeye ndiye atakayehukumu siku ya kiama
Tunashahadia na tunakufa.Tutaonana siku ya kufufuliwa.

Baada ya kumsikiliza mpalestina huyo akiagana na dunia nikakumbuka ile jumuiya ya umoja wa nchi za kiislamu ambao miaka ya nyuma ulikuwa maarufu sana masikioni mwa watu na hata Tanzania ilitaka kujiunga nao.

Jumuiya za nchi za Kiarabu zinazoizunguka Palestina na Israel zimekutana katika hali ya kificho na kuondoka bila kutoa matamko ya maana.Upande wa OIC katika mzozo huu tangu tarehe 7 Oktoba sijawahi kuusikia kusema au kukutana popote.
Halafu hii operation ya kuangamiza Hamas ikiisha na kuifanya Gaza kuwa parking lot na hao innocent Palestinians kupewa hifadhi kwengine lazima waislam wote walipie haya makombora. Invoice zipelekwe kwa kila Kobaaz.

NO MERCY MAAMAE
 
Ugaidi lazime uwe na mwisho
Ugaidi umekuwa hauna maana isipokuwa inategemea na anayeusema na anavyokusudia.
Akisema Israel na America ni waislamu na wapalestina na HizboLah.Kwa waislamu magaidi wakubwa ni hao wenyewe.Kama ni hivyo nani iwe ndio mwisho wake.
 
Mimi najiuliza yuko wapi ALLAH mungu mwenye uwezo hana mshirika. Anaabudiwa na waumini kwa usafi, mashindano, umoja, nidhamu na kujituma.

Allah please listen to your people all of them are cursing Israrl.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE

TRUE GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

I FIRMLY STAND WITH ISRAEL

Israel mtu wangu safisha Hayo magaidi!

NO MERCY MAAMAE

100 others
Siamini katika dini yeyote, lakini nasimama katika ukweli na haki, so kama ulijua mi kuitetea Palestine ni kwa sababu ya uislamu am sorry my friend.

Unaweza kuuoliza waislamu.
 
Buriani kwa sisi waswahili ni maneno ya mwisho ya mtu ambaye amejiona yuko hatua za mwisho kufa na kuiacha dunia.

Salamu kama hizo leo zimetolewa kwa wingi kwenye mitandao ya kijamii kama tiktok na miningene amabayo JF huenda haijawezesha kutumika matoleo yao.

Mmoja kati ya wanaharakati hao ambaye huenda alitumia kijino cha mwisho cha chaji ya simu yake na mtandao wa kasi ya 2G amesema mengi.Machache nimeona nimnukuu hapa.

Neno terror halina maana isipokuwa kila mmoja na anavyokusudia
Haki za watoto na wanawake inategemea ni watoto na wanawake wa eneo gani.

Maazimio ya kivita na haki za wafungwa inahusiana na wafungwa wa nchi gani.

Wako wapi waislamu milioni 315 wanaoizunguka Palestina wakati wenzao wanachinjwa.

Watu wa Gaza hatuna wa kutunusuru isipokuwa ni Allah na yeye ndiye atakayehukumu siku ya kiama
Tunashahadia na tunakufa.Tutaonana siku ya kufufuliwa.

Baada ya kumsikiliza mpalestina huyo akiagana na dunia nikakumbuka ile jumuiya ya umoja wa nchi za kiislamu ambao miaka ya nyuma ulikuwa maarufu sana masikioni mwa watu na hata Tanzania ilitaka kujiunga nao.

Jumuiya za nchi za Kiarabu zinazoizunguka Palestina na Israel zimekutana katika hali ya kificho na kuondoka bila kutoa matamko ya maana.Upande wa OIC katika mzozo huu tangu tarehe 7 Oktoba sijawahi kuusikia kusema au kukutana popote.
Kumbe kusudi ilikuwa kuingiza nchi za kiislamu kwenye hii vita! Wameshituka ,hawataki kujiingiza kwenye moto waliouchochea wenyewe wapalestina.
 
Unachopaswa ni kushuhudia tu kile kinachotokea mnyonge anapoonewa na kuinua mikono kwa muumba wake.Hata nchi zote ziufyate basi mkono mmoja tu wenye nguvu utamtetea mnyonge.
Hii nguvu ya mabomu na kushirikiana nguvu kubwa za dunia kupiga wanamgambo dhaifu ni mtihani unaopewa ili upate utambuzi.
 
Hivi kwanini mnalalamikia upande mmoja tu na hao mgambo wenu hamuwakemei kwa kuchokoza moto wasioweza kuudhibiti?

Wakati mnawatuma hao mgambo unaowaita dhaifu kuua watu kwenye disco vumbi mlikubaliana na maadui kwamba wachague mgambo na silaha dhaifu za kuendana nanyi wakati wa kujibu mashambulizi?

Binafsi sifurahii mauaji wala uharibifu wowote katika upande wowote, lakini nawashangaa sana mnapolialia huku mkishindwa kabisa kusema lolote kwa hamas zaidi ya kuwatetea.

Dalili ya amani itaanza kuonekana siku mkianza kuzuiana wenyewe kuanzisha fujo, otherwise kwa ujinga huo mnatwanga maji kwenye kinu na mtaendelea kuwaponza hata wasio na hatia hadi Yesu anarudi mtaendelea kuwa kwenye machafuko tu. Hakuna muujiza utakaokuleteeni amani huku fujo mkizianzisha wenyewe na kulindana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa mnasema, Akuanzaye mmalize, mmeanza nyinyi wacha mmalizwe.

Bado hamjasema
Dogo nimelemewa huku na mikundu ya wazee wakizungu. Njoo unisaidie kuisafisha. Usijali Kuna gloves, mask na detergents za kutosha. Hata hivyo usiwe na hofu mikundu ya wazungu hutema manukato tu kila wakati.

Your help is urgently needed. Please give me a hand.

Ambrrrr mbrrr mbrrr aiiii

I FIRMLY STAND WITH ISRAEL

Nyauww

Magonjwa Mtambuka
 
unafiki wa kiwango cha Bombadier utaupata kwa waislamu, ukitaka kufaulu mtihani wa unafiki tafuta muislam akupe tution au nasema uongo FaizaFoxy eti ?!

IMG_0621.jpg
 
Back
Top Bottom