Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Asante... Mm nitakuwa Dar na ninapoiandika Post hii napita Iringa nikitokea Mbeya... Iringa nitakuwepo early Feb.nita-ku-PM....
Husna bado ana run bar.Dah! Mmenikumbusha John Mikate (RIP), Mgiriki wa Kihehealikuwa mtu mzuri sana. Mara ya mwisho tulikutana naye mwaka 1995 tukapiga sanabia kwenye Pub ya Husna Mtasiwa (sijui naye yuko wapi?). Halafu mnakumbukaenzi hizo mikate tulikuwa tunanunua ya moto directly toka jikoni, sio siku hizi mkateumepikwa jana mnakula leo.
Martha alisoma lugalo sec,ni mzima yupo dar
Upendo ndo mkubwa kwao,Ni Dr wa mifugo mara ya mwisho (zamani kidogo) alikuwa nadhani mwanza.Yule dada ni mpole sana.Mimi sikusoma Gangilonga lakini Kuna mwingine nilikutana naye 1976 hapo Iringa kwenye halaiki anaitwa Upendo Mawelle ana heshima mtaratibu mweupe mzuri sana alikuwa Gangilonga naye sijui yuko wapi?
Mkuu unacho ongea ni kwali mi nilikuwa sijafika iringa miaka 20 nilenda mwanzoni wa mwaka Jana.nilisikitika sana.shule. hiyo wakati wa mwalimu mdeme ukivunja kioo unasimamishwa while.kama ulivyo sema kulikuwa na lab.tulip SOMA tujaribu kuanzisha jumuiya kama sentinel tuisaidie while.Vijana wote ndani ya JF mliopitia Gangillonga "JIWE LINALOSEMA" au ILIGANGA LILONGA (Kwa Kihehe) mmenifurahisha sana kwa jinsi mlivyonikumbusha kuhusu Shule hiyo iliyokuwa imetukuka.Mimi nilitoka pale 1973 wakati Mwalimu Mkuu akiwa Mr.Luhanga,huyo Mwalimu Mndeme (kama ndiye huyo) ndiyo kwanza alikuwa amekuja kuanza kufundisha baaada ya mafunzo yake ya Ualimu. siku kadhaa zilizopita nikiwa kwenye hamsini zangu nilipita hapo Gagilonga ili angalau niione shule iko katika hali gani, kwa kweli inasikitisha utadhani labda ni pango la SIMBLISI.Mandhari nzuri na majengo yaliyokuwa na hadhi, Maabara na Ukumbi mkubwa, maua na Miti mirefu na mizuri yenye maua ya kuvutia vyote hivyo vimetoweka.
Kwa kuwa ninyi vijana mmechangamka kuhusu shule yetu hiyo pendwa na ninaamini mtakuwa katika nafasi nzuri za kuweza kuanzisha wazo la jinsi gani ya kusaidia kuboresha shule hiyo kama moja ya jukumu letu kwa nchi yetu.Leteni wazo hilo hapa JF then tufanye utaratibu wa kuona tutafanya nini kwa ajili ya GANGILONGA yetu pendwa.Serikali yetu ipo usingizi wa PONO sitarajii hata siku moja Manispaa ya Iringa wataweza kuirejesha hali ya Shule angalau kwa 25% only.
nasikitika sana nawafahamu watoto wake Johanes na wadogo zake nilikuwa naenda kwa kina Regina kula embe mbichi. Hivi kesi ziliishaje? Ilisikitisha sanaMimi nilikuwa nakaa jirani na ilipo kwa sasa Mama Siyovelwa Pub,Jirani na nyumba ya zamani ya Marwaha RIP,Kabla ya kukaa hapo tulikaa kwenye ile iliyokuwa Iringa Hotel kwa miezi 10 1984-1985... Meneja wake aliitwa Masanja alikuwa na kesi ya Ubadhirifu na Mkewe alikuwa na kesi ya Mauaji ya Mtoto wa
Dada aliyezaa na Masanja hii ilikuwa 1986...sijui Fate yao kwa wale waliokuwa wanakaa Kota za Railways Gangilonga watakuwa wanawajua... Familia ya Masanja... Masanja alikuwa mtu ambaye enzi hizi waweza kusema alikuwa MLA BATA... Nilisikitika sana kwa yaliyoitokea Familia hiyo...
Ni kweli Upendo alikuwa mpole sana, alitupokea form one lugalo akiwa form four, kama ulicheza halaiki basi inawezekana ulikuwa nae na kina Folo Mtasiwa. Upendo alifaulu na kwenda high school sikumbuki jina then na mie nilipomaliza Lugalo niliondoka Iringa.Mimi sikusoma Gangilonga lakini Kuna mwingine nilikutana naye 1976 hapo Iringa kwenye halaiki anaitwa Upendo Mawelle ana heshima mtaratibu mweupe mzuri sana alikuwa Gangilonga naye sijui yuko wapi?
Masanja alikuwa muhasibu wa iringa hotel .Mimi nilikuwa nakaa jirani na ilipo kwa sasa Mama Siyovelwa Pub,Jirani na nyumba ya zamani ya Marwaha RIP,Kabla ya kukaa hapo tulikaa kwenye ile iliyokuwa Iringa Hotel kwa miezi 10 1984-1985... Meneja wake aliitwa Masanja alikuwa na kesi ya Ubadhirifu na Mkewe alikuwa na kesi ya Mauaji ya Mtoto wa
Dada aliyezaa na Masanja hii ilikuwa 1986...sijui Fate yao kwa wale waliokuwa wanakaa Kota za Railways Gangilonga watakuwa wanawajua... Familia ya Masanja... Masanja alikuwa mtu ambaye enzi hizi waweza kusema alikuwa MLA BATA... Nilisikitika sana kwa yaliyoitokea Familia hiyo...
Na wale wa WILOLESI enzi ya mwl. Kajiba, na mwl. Mapunda dah walikuwa wanapiga stiki balaa. Ila kama ulisoma gangilonga, wilolesi, chemchem basi we wakishua lazima!
nasikitika sana nawafahamu watoto wake Johanes na wadogo zake nilikuwa naenda kwa kina Regina kula embe mbichi. Hivi kesi ziliishaje? Ilisikitisha sana
Ni inawezekana ulikuwa nae na kina Folo Mtasiwa.
Folo alianza kuvuta bangi sana akiwa sec school.Akaja kuchanganyikiwa,kichaa chake kilikuwa kina kuja nakuondoka.Na alisha fariki.Umenikumbusha kiongozi shupavu kamanda wa gwaride la chipukizi Mtasiwa.Alivutia watu wengi sana nakumbuka Afande Moses NNAUYE alitaka Mtasiwa afikiriwe cha kumzawadia hata Nyerere alionyesha kufurahiwa sana na Uwezo wa Mtasiwa alipoona gwaride lile na kijana akiliongoza kwa ukakamavu wa ajabu.SIJUI walimfikiria au walimchukua.Ukweli Mtasiwa alikuwa na uwezo wa Gwaride si mchezo.Umenikumbusha mbali.Sijui sasa hata yuko wapi kamanda wa chipukizi wetu.