Wana Gangilonga mpo?

Naelekea Iringa Mjini Weekend hii nitawaletea Taswira mbalimbali za Gangilonga na its Surroundings... NAWASILISHA...

nancy mawele mamfahamu..ni mjasiriamali siku hizi! Anaendesha pub moja ya ukweli inaitwa tavern,ipo eneo linaitwa makete,iringa town..karibia na invstments ya ukweli ya akina shambe...ila naye(nancy) amekuwa cha pombe!
 
Kati ya Nancy na huyo Martha kuna mmoja alisoma Lugalo ila walikuwa chini yangu, nimesikitika kusikia mmoja hatunae tena
Tusker wasalimu wana gangilonga huko, sijasoma pr hapo ila nimeishi jirani kabisa na shule hiyo, nazikumbuka family za kina Mawelle. Mgonja, Lipangile, Sapi, Tweve, Komba, Nzowa, Myonga, walimu wa Kleruu, Kibassa, mama jane mzungu lol wengi sana

Martha alisoma lugalo sec,ni mzima yupo dar
 
Class of 1986: Esther Matumaini (macho ya paka), Benuat ( jamaa alikuwa anapiga boli si mchezo), Goodluck Mushi (RIP), Christopher Kaseko, Imani Thomas, Bob Rashid na wengine naendelea kuwakumbuka.
 
Class of 1986: Esther Matumaini (macho ya paka), Benuat Athanas ( jamaa alikuwa anapiga boli si mchezo), Goodluck Mushi (RIP), Christopher Kaseko, Imani Thomas, Bob Rashid na wengine naendelea kuwakumbuka.
 
asanteni sana wtt wa wafanyakazi selekalini na wakishua na sisi tulio soma TAPA KILIMANI , tunakumbuka kaloti za mageraza na viboko tulivyo kuwa tunapigwa kule nyuma ya shule kwenye miti ulaya 1977 na kuendalea
 
Unamkumbuka Ray na dada yake Zuwena pamoja na dada mmoja alikuwa mweupe sana
 
nimefurahia sana hio list vipi na nyie SUNGU wa kitanzini aliwasumbua miaka yenu! mmenikumbusha tancut almasi mzee samweli sitta alikuwa anatoroka ikulu anakuja kwenye dansi,nimemkumbuka mzee malecela akiwa RC alimjibu katibu wa ccm mama chips alilalamika kuwa mtoto wa malecela marehemu hipi alikuwa anamfatilia binti yake mmoja alikuwa mzuri sana malecelela akasema wewe umefuga mbuzi mie nimefuga fisi sasa nani anapaswa kufungia mfugo wage ndani naona mie mwenye fisi nipo huru kumwacha hayo yalikuwa highlands na sio gangilonga ,nimemkubuka god mbwilo lugalo walikuwa wanamwita mabreka alikuwa bingwa wa break dance sasa hivi ni mhasibu kwa mkemia mkuu,jamani kati yenu wote hakuna aliyeshika uchumi wa nchi kama kina mwamoto comfort mkatikisa kiogo nchi nimekumbuka hao nao maana enzi zile ukienda kihesa bila kujitambulisha we ni ukoo huo hupati demu hata kama unatoka gangilonga
 
Alikuwpo jamaa anaitwa kurnine na yeye alikuwa mbabe sana,yeye na sungu walikuwa wanawaonea sana vidada.
wakija disco wa dada wote wanakimbia
 
Alikuwpo jamaa anaitwa kurnine na yeye alikuwa mbabe sana,yeye na sungu walikuwa wanawaonea sana vidada.
wakija disco wa dada wote wanakimbia
Duh umenikumbusha mbali sana huyo jamaa alikuwa mbabe sana....ndugu zake Shedadi...Hayati(hili sijui kama linaandikwa hivi).... hivi wako wapi siku hizi??? na dada yao mmoja alikuwa mbabembabe hivi..enzi za madisko ya mchana (boggies) soweto, chuo cha afya, mwafrika, railways hotel, iringa club nawakumbuka madj wa wakati huo Mathew, Felician (huyu siku hizi nasikia anashughulika na mambo ya ulinzi) Na yule baunsa mwingine George bondia yuko wapi? namkumbuka Manyau alikuwa na dojo lake pale shuleni niliwahi kujifunza ........kweli zile siku zilikuwa tamu sana
 
Duh umenikumbusha mbali sana huyo jamaa alikuwa mbabe sana....ndugu zake Shedadi...Hayati(hili sijui kama linaandikwa hivi).... hivi wako wapi siku hizi??? na dada yao mmoja alikuwa mbabembabe hivi..enzi za madisko ya mchana (boggies) soweto, chuoh cha afya, mwafrika, railways hotel, iringa club nawakumbuka madj wa wakati huo Mathew, Felician (huyu siku hizi nasikia anashughulika na mambo ya ulinzi) Na yule baunsa mwingine George bondia yuko wapi? namkumbuka Manyau alikuwa na dojo lake pale shuleni niliwahi kujifunza ........kweli zile siku zilikuwa tamu sana
Shedadi na ndugu zake wote wa mekufa ila yule Dada yao chola yupo sinza.manyau anakaa kigogo.
 
Duuuh Renegade kumbe na wewe ni Mdau wa Gangilonga???Nina number ya Nancy ngoja nimuulize habari za Martha kiaina...
Mkuu naona wadau tupo, nimesoma na Majuto Lipangile, Erick Myonga, Albert Mgeni, Martha Mawere, Makia Siyovelwa, Hassan Ng'anzo, Asia Kaseko, Kaseko Said, Halfani na Kuruthum Kayugwa,Benson Benito Chang'a,Bupe Masasi ,Mchungaji Anthony Lusekelo(a.k.a Mzee wa Upako),Ratifu Mkwanda,Charles Mvungi na Dada yake Stella.
 
Ningependa kukutana na Manyau.... naweza kumpata wapi samahani?
Anakaa tabata dampo.Ukitokea kigogo unakatisha dampo kuelekea tabata.
Unapotokea kigogo unapandisha kimlima ukifika juu(ni parefu kidogo) upande wa kushoto utaona bendera
ya ccm na magari mengi yame park nje,Hiyo nyumba yenye bendera ndo yake.
 
Kumbukumbu nzuri kweli ingawa sijasoma hiyo shule ila dada zangu 6 walisoma shule hiyo.kuanzia 1980-1987. Tulikuwa tunaishi kota za railways.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom