Gangilonga imebalika sana,wamekata miti.Vumbi mtindo moja.
Tukumbushane highlands pia.Mnakumbuka karani mnoko Hamisi Aka mwalimu hamisi?
Huu uzi umenikunbusha mbali sana. Huyo Hamis nilikutana nae mwaka jana hapa Dar akasema bado yupo Highlands.
Nilikuwa Iringa mwaka 2011 imebadilika sana. Nilisoma Mlandege Primary enzi za mwalimu Malipa na kuishi Mjimwema then Highlands 1986 mpk 1989, headmaster akiwa Choudhry na niliishi mitaa ya sabasaba karibu na hotel ya Thako hawa watengeneza mafuta ya alizeti. Kwa ujumla Iringa imebadilika sana.