STEIN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,770
- 553
Ndugu wana DAR,
Mimi binafsi nawapongeza kwa jinsi ambavyo mlijitokeza siku ya tar 27 katika uwanja wa CDM Square... Lakini niseme tu binafsi niliona kama makamanda hawakupata Muda wa kutosha kuhutubia wananchi mfano mtu kama Wenje, Myika, Lema, Marando, Prof Safari, Mdee, Mpendazoe, Heche, etc... Lakini vile vile waliopewa nafasi ya kuzungumza kama kina Tundu lisu, Dr Slaa, Mbowe walitoa summary ya walichotuandalia kwa sababu ya Muda au kubanwa na ITV...
Sasa tunaomba Operation Nyingine kupitia Uzi huu ili Baada ya Bajeti tuwe na Mkutano wenye wazungumzaji wakuu wasiopungua NANE akiwemo Tundu Lisu na Prof Safari ili watufafanulie Kisheria wapi watanzinia wa kawaida tusimame..
Na Dr Slaa na Mbowe watuelezee sisi watu wa kawaida tufanye nini/ tafsiri ya kawaida ya mahitaji yetu kwenye Sheria...
Maoni ya kwenye huu uzi tutaipeleka makao makuu ya CDM na kuwafikishi kina Kigaila, Mrema, Msafiri kwa ajili ya Utendaji zaidi
Peeeppples power