Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,932
- 4,086
LATRA wametoa mkeka mpya ukionesha kutoa ruhusa kwa mabasi makubwa ya abiria kuanza kufanya safari zake katikati ya jiji kutokea stendi ya Mbezi Louis.
Kwa muda mrefu sasa mradi wa Mabasi yaendayo kasi jijini dar-es-salaam umeonesha kukwama/kushindwa/kuhemewa/kufeli kutoa huduma kwa wakazi wa jijini dar-es-salaam waendao katikati ya jiji kutokea Mbezi-Louis...hali iliyopelekea watu wengi kuchelewa kufika katika shughuli zao za ujenzi wa taifa kutokana n uchache wa mabasi yaliyopo katika mradi wa mwendokasi (UDART).
LATRA imeshatoa ruhusa kwa wamiliki wa mabasi kwenda kuomba leseni ya kubeba abiria kutokea mbezi-louis kuelekea mnazi mmoja ili kusaidia kupunguza adha ya usafiri jijini Dar-es-salaam iliyochangiwa na huduma mbovu za UDART.