Wana Dar es Salaam tutoe maoni yetu, ili mkutano wa CDM Dar Urudiwe baada ya Bunge Bajeti

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Ndugu wana DAR,

Mimi binafsi nawapongeza kwa jinsi ambavyo mlijitokeza siku ya tar 27 katika uwanja wa CDM Square... Lakini niseme tu binafsi niliona kama makamanda hawakupata Muda wa kutosha kuhutubia wananchi mfano mtu kama Wenje, Myika, Lema, Marando, Prof Safari, Mdee, Mpendazoe, Heche, etc... Lakini vile vile waliopewa nafasi ya kuzungumza kama kina Tundu lisu, Dr Slaa, Mbowe walitoa summary ya walichotuandalia kwa sababu ya Muda au kubanwa na ITV...

Sasa tunaomba Operation Nyingine kupitia Uzi huu ili Baada ya Bajeti tuwe na Mkutano wenye wazungumzaji wakuu wasiopungua NANE akiwemo Tundu Lisu na Prof Safari ili watufafanulie Kisheria wapi watanzinia wa kawaida tusimame..

Na Dr Slaa na Mbowe watuelezee sisi watu wa kawaida tufanye nini/ tafsiri ya kawaida ya mahitaji yetu kwenye Sheria...

Maoni ya kwenye huu uzi tutaipeleka makao makuu ya CDM na kuwafikishi kina Kigaila, Mrema, Msafiri kwa ajili ya Utendaji zaidi

Peeeppples power
 
kweli kabisa.
 
Mkuu ni kweli nashangaa hata hivyo kwanini wengine wasiangeanza mapema siku ile, tulikoseshwa mwengi sana!
Bora hata mikutano ya ccm huwa inaanza na Bonanza la nguvu!
 
Hiyo inaweza kuwa sahihi maana baada ya bunge la bajeti kuna matukio mengi yatakuwa yamejiri na hivyo kuhitaji ufafanuzi kidogo ukiacha haya ya kawaida.

Nawakikishieni wabunge wa CDM wataichachafya sana serikali kutokana na mipango mingi katika bajeti ya mwaka 2011/2012 kutotekelezwa kabisa au kwa kiasi kidogo sana.
 
Mkuu ni kweli nashangaa hata hivyo kwanini wengine wasiangeanza mapema siku ile, tulikoseshwa mwengi sana!
Bora hata mikutano ya ccm huwa inaanza na Bonanza la nguvu!

Wewe unafurahia harakati zinazoonyeashwa za ukombozi au mabonaza?
 
JF wa Dar siku hiyo tuende na Tawi letu la CDM JF Online, sipati picha tutakavyouza sura mwezi mzima hapa JF maana watu kushadadia kitu kimoja hawajambo
 
Nafikiri viongozi walidhani watu wasingeweza kufika mapema... Issue nyingine ni foleni iliyokuwepo kutokana polisi kutoongoza maandamano yetu rasmi.. This time kwa sababu watu wameshajua then itawezekana kuanza mapema kabisa na kuongea muda wa TV kuyarusha moja kwa moja... Tupendekeze pia na viongozi wanaotakiwa kuhudhuria.
 
sasa hivi ni zamu ya mwembe yanga tandika kabla ya zakhem mbagala. hiyo haina tabu.
 
Mkuu usijali.... Bonanza kwa maana ya wangeanza wale wanasiasa wachanga/Vijana wa CDM the baadaye wakafuata viongozi wakuu wa chama... Siyo bonanza la muziki wa kizazi kipya.
 
Mkuu ni kweli nashangaa hata hivyo kwanini wengine wasiangeanza mapema siku ile, tulikoseshwa mwengi sana!
Bora hata mikutano ya ccm huwa inaanza na Bonanza la nguvu!

Mkuu Bonanza la Mziki au Wanasia wadogo/Vijana kupanda jukwaani?....
 
Wewe unafurahia harakati zinazoonyeashwa za ukombozi au mabonaza?

Mkuu usiseme ninauchungu kishenzi nilifika saa 7 kwenye mkutano wa jangwani sikutaka nikose kitu toka kwa majembe yale, Mic ziliwasumbua kishenzi hata mziki haukuwepo, sasa si bora ya bonanza la ccm, nilitaka kumsikia kuanzia diwani mpaka mwenyekiti wa chama badala yake sikutofautiana sana na walioangali kwenye tv bana!
 
JF wa Dar siku hiyo tuende na Tawi letu la CDM JF Online, sipati picha tutakavyouza sura mwezi mzima hapa JF maana watu kushadadia kitu kimoja hawajambo

Weye nawe lakini kwa yale tuyafanyayo hapa JF kweli twastahili pongezi, na uzinduzi utasaidia kujenga chama zaidi.Hata uongozi wa CHADEMA utatambua ya kuwa wanaJF wapo pamoja na kila jambo la maendeleo kichama.
 
sasa hivi ni zamu ya mwembe yanga tandika kabla ya zakhem mbagala. hiyo haina tabu.

Tunasisitiza sana... Angalau na sisi Dar tupate kama wiki mmoja ya kukaa na viongozi wa CDM Mtaa kwa Mtaa ili kuweka msisitizo kwenye swala la Katiba Mpya maana mikona watu wengi huwa wanauliza kwa DAR Msimamo wao ni upi...

Kama sijasahau kuna Mambo kama Matano aliyasema LISU Pate CDM Square aka Jangwani.
1. Tunapoenda kwenye mchakato wa Katiba Mpya tufahhamu TZ ni Muungano wa Nchi Ngapi? Marais Wangapi? na Amiri Jeshi Mkuu wanga?

2. Maswala gani yawepo kwenye Muungani?
3. Madaraka ya Rais yaweje? etc....
 
Nafikiri viongozi walidhani watu wasingeweza kufika mapema... Issue nyingine ni foleni iliyokuwepo kutokana polisi kutoongoza maandamano yetu rasmi.. This time kwa sababu watu wameshajua then itawezekana kuanza mapema kabisa na kuongea muda wa TV kuyarusha moja kwa moja... Tupendekeze pia na viongozi wanaotakiwa kuhudhuria.
STEIN
wazo lako ni zuri sana lakini kuhandaa mkutano kama ule wa Jangwani ni gharama kubwa sana kamanda, tukisema urushwe LIVE na tv ndio usiseme kabisa, mm nafikiri sisi wananchi wa dsm tuangalie namna ya kuhugharamia huyu mkutano na matangazo, kufanya hivi tutakipunguzia mzigo chama chetu ktk operesheni zao nyingine sehemu mbalimbali za nchi, mawazo yangu makamanda.
 
Last edited by a moderator:
stein
wazo lako ni zuri sana lakini kuhandaa mkutano kama ule wa jangwani ni gharama kubwa sana kamanda, tukisema urushwe live na tv ndio usiseme kabisa, mm nafikiri sisi wananchi wa dsm tuangalie namna ya kuhugharamia huyu mkutano na matangazo, kufanya hivi tutakipunguzia mzigo chama chetu ktk operesheni zao nyingine sehemu mbalimbali za nchi, mawazo yangu makamanda.

wadau wako tayari kuchangia walau mkutano mmoja... Cha msingi tupate taarifa mapema tu..
 
Back
Top Bottom