Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?

Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity.
 
Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?

Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity
Hizo ni hujuma , lazima wapiga picha hawa watakuwa wazalendo
 
FB_IMG_1577871864627.jpg
 
Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?

Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity
Wanapiga picha za waliopo mkutanoni, hao wanafunzi ndo wanaokuwa wamepelekwa kwenye mikutano Sasa unataka wapige picha za watu wazima ambao hawapo? Wawatoe wapi au unataka wafanye photoshop?
 
Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?

Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity.
Wanahamasisha wanafunzi DP world
 
Mikutano ya upinzani hujaa watu wazima na mikutano ya CCM hujazwa wanafunzi, huo ndio ukweli na baya zaidi ni viongozi wa CCM huwagawia jezi za CCM wanafunzi.
 
Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?

Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga picha wenye uwezo wa kufanya analysis ya picha na videos kuondoa mambo yenye madhara kisiasa na yanayoshusha trust na popularity.
Kuna mawili,ndio wanaohudhuria pekee au hujuma za ndani
 
Back
Top Bottom