Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy.

Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee. Mtandaoni kuna habari ya mtoto wa Madee kuachia picha za utupu..

Madee my brother usipanic kwa hilo la mtoto wako.

Mtoto wa kike akisha vunja ungo anakuwaga stranger to her dad.

Nasema stranger to her dad kwa sababu wanawake huwaga haiwasumbui sana kwa vile wanajijua.

Ili uendelee kumpenda mtoto wako wa kike alie kwisha vunja ungo usimfuatilie kabisa kujua mambo yake coz the truth is utamchukia sana lakini itakuwa ni kazi bure tu kwa sababu hivyo ndivyo walivyo umbwa and there is nothing you can do about it.

Mtoto wa kike akifika puberty age ndio utaujua umuhimu wa mashangazi.( dada zako)

Kwa alicho kifanya binti wa Madee sidhani kama madee atakuwa tena proud kupiga nae picha mtandaoni..

Ushauri wangu kwa wewe proud dad ambae bado binti yako hajavunja ungo👇

Akisha vunja ungo jiandae kisaikolojia kumpenda hivyo hivyo kama jinsi atakavyo kuwa or else utamchukia bure
 
Tatizo linaanzia kwa baba kumuanika mtoto mitandaoni, hili ndio linasababisha mambo kuja kuharibika mbele ya safari, kuna wasumbufu wakishamjua mwanao wataanza kumtafuta kwa njia zote mpaka wampate, wakishampata matokeo yake ndio hayo kumvuruga akili matokeo yake anaanza kujipiga picha zisizofaa.

Wasanii wanatakiwa kuwaacha watoto wao low key, wasiwaanike hovyo mitandaoni, hii itasaidia kuwafanya wawe watulivu kiakili na kimaadili, lakiji kutaka kulazimsisha usanii wa baba kwa mtoto, watavuna wanachopanda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hapana mkuu...

Usifike huko, hata kama wewe sio mzazi huenda mbeleni utapata binti.
Hii inahusiana vipi na uwepo wa picha.

Uzi unasema picha mbaya, sasa tuone hizo picha kisha ndio tuhukumu mbaya ama ni za kawaida tu kwa kizazi cha nyoka.

Pili hatukumtuma kufanya hivyo, kila mtu anapaswa ajilinde haswa kwenye dunia ya kipuuzi kama hii.. Zikivuja nasi tutataka tusafishe macho.
 
Tatizo linaanzia kwa baba kumuanika mtoto mitandaoni, hili ndio linasababisha mambo kuja kuharibika mbele ya safari, kuna wasumbufu wakishamjua mwanao wataanza kumtafuta kwa njia zote mpaka wampate, wakishampata matokeo yake ndio hayo kumvuruga akili matokeo yake anaanza kujipiga picha zisizofaa.

Wasanii wanatakiwa kuwaacha watoto wao low key, wasiwaanike hovyo mitandaoni, hii itasaidia kuwafanya wawe watulivu kiakili na kimaadili, lakiji kutaka kulazimsisha usanii wa baba kwa mtoto, watavuna wanachopanda.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nakazia
 
Back
Top Bottom