Usishangae na mbunge akafuata
tusubiri tuone....
Itakuwa booonge la rahaaaa!
Badala ya kuandika RIP, nimejikuta nacheka hahahaha... Kama sinema vile, siasa za Bongo bana
Mtiririko huu wa misiba umezua Taharuki kubwa hasa kwa waliohusika na ugawaji wa sanda hizo, hasa muhusika mkuu aliezigharimia! Kwani kwa simple calculations za Law of Probability, unaweza ku determine anaefuatia anaweza kuwa ni nani. Tumuombe Mungu aepushe kusitokee maafa zaidi.
"WHAT GOES ROUND, COMES AROUND!"
Badala ya kuandika RIP, nimejikuta nacheka hahahaha... Kama sinema vile, siasa za Bongo bana
He...........................!!!!!!???????
unashangaa? acha kuifitini chadema
I can confirm imetokea kweli kama ilivyoelezwa kwenye 1st post. Details zitafuatia.invisible kuna namna yeyote ya kuthibitisha hii habari? mi ninajua inawezekana maana Mungu akiamua kujidhihirisha huwa anatumia njia tofauti tofauti, lakini tunawza kuthitisha hii tafadhali
Nsha-confirm kwenye posts zangu za awali kuwa ni kweli!invisible kapita hapa afu huu uzi bado upo? hii inaonekana 99% ni kweli