Waliogawa Sanda Nachingwea ili Kudhibiti M4C Wafariki Dunia!

Aliyeangua nazi, aliyezikusanya, punda aliyebeba, aliyekula, chuma kilichofulia nazi, vyote viliwaka moto...albadili hiyo!
 
Badala ya kuandika RIP, nimejikuta nacheka hahahaha... Kama sinema vile, siasa za Bongo bana

I can confirm imetokea kweli kama ilivyoelezwa kwenye 1st post. Details zitafuatia

heshima yako mkuu. poleni sana. mia
 
Badala ya kuandika RIP, nimejikuta nacheka hahahaha... Kama sinema vile, siasa za Bongo bana

I can confirm imetokea kweli kama ilivyoelezwa kwenye 1st post. Details zitafuatia

Mkuu japo si jambo la kibinadamu kufanya siasa kwenye vifo. Ila kama vifo hivi ni vya kitaalam kwenye mambo ya voodo basi mtaalam wake anatakiwa atumiwe kulitengeneza Taifa kuwa kila mtu atakayeshiriki kwenye kuliibia Taifa, kuchakachua kura basi shughuli hii imkute. Nafikiri itaharakisha sana maendeleo.

Ninaamini kabisa kuwa watu sasa wataogopa kutumiwa japo vifo hivi kama ni tofauti na cha 'mwenyekiti wa chadema USA River' basi ni natural na kazi ya mungu lakini ni ishara kuwa kuna mistari tusiivuke maana wasingegawa sanda tusingehusisha vifo hivi na ushiriki wao na pengine hata JF tusingejua kuwa kuna watu wamefariki kama ambavyo wengi leo hii walioaga dunia bila ya sisi kuwa na taarifa.

Tuwaombee marehemu makazi ya amani kwani kifo ni moja ya ukumbusho kuwa mwanadamu ni kiumbe hai ambaye kufa ni wajibu kama sifa za viumbe hai. Pia ni vizuri tujiulize kabla ya kufa tumefanya mema kiasi gani hapa duniani na je tutakumbukwa kwa mema hayo baada ya kuondoka?
 
Mkonyeze Chikawe arekebishe
mambo i.e afanye ibada ya kuomba msamaha maana ni yeye inasemekena
alitoa msaada wa sanda. Ni jambo la kusikitisha sana. RIP
waliotutangulia. poleni wafiwa.

Kwani waisilamu huwa wanaombaga msamaha kwa mungu?
 
Wandugu ni kweli hii ishu, huyu jamaa amejinyonga kwa mkanda wa suruwali saa kumi jioni na alikuwa kondakta wa magari maarufu ya somea. Taarifa kutoka kwa mtu wa karibu hapo stand ya mabasi. Huyu jamaa alihusika na ugawaji wa sanda but mpaka sasa sababu za kifo chake hazijawa wazi. Pia kuna tetesi kuwa dada yake alishawahi kunywa sumu lakini aiwahiwa na kupata matibabu. R.I.P BATTA a.k.a chai jabba. ndio alikuwa anatangaza ujio wa dogo asley hapo Nach jana
 
Badala ya kusikitka nimejikuta nacheka mpaka machozi yametoka tokana na presentation ya uzi.Imethibitka anayekuchimbia mashimo uingia mwenyewe.afterall RIP
 
Back
Top Bottom