Waliogawa Sanda Nachingwea ili Kudhibiti M4C Wafariki Dunia!

Watu walisema ni culture yao kuandaa mazishi ya watu ambao hata hawana dalili za kufa kwa kuhifadhi sanda ndani kama tahadhari. Kilichotokea ni sawa kwani hawa wakuu wa kugawa sanda ilikuwa lazima wao wafe ili waonyeshe njia jinsi ya kutumia hizo sanda. Pia ijulikane kuwa Mungu yupo na huwezi kumchuria mwenzako wakati Mungu ndiye anayepanga maisha na kufa kwa mtu
 
hili ni kama movie yaani badala ya kuwapelekea watu maji wewe unanunua sanda na inawezekana by kesho asubuhu aliyezinunua hizo Sanda naye aka rest totally kama wenzake waliokua wanagawa hizo sanda
 
Mtiririko huu wa misiba umezua Taharuki kubwa hasa kwa waliohusika na ugawaji wa sanda hizo, hasa muhusika mkuu aliezigharimia! Kwani kwa simple calculations za Law of Probability, unaweza ku determine anaefuatia anaweza kuwa ni nani. Tumuombe Mungu aepushe kusitokee maafa zaidi.

"WHAT GOES ROUND, COMES AROUND!"

Mkuu hapo kwenye red its obvious ni Mh. Waziri C..... ila kwa siasa za nchi yetu, unaweza ukute aliamua kuwatoa kafara wenzie ili mkate wake uwekwe blue band na uendelee kuwa mtam
 
Badala ya kuandika RIP, nimejikuta nacheka hahahaha... Kama sinema vile, siasa za Bongo bana

invisible kuna namna yeyote ya kuthibitisha hii habari? mi ninajua inawezekana maana Mungu akiamua kujidhihirisha huwa anatumia njia tofauti tofauti, lakini tunawza kuthitisha hii tafadhali
 
wamevunja miiko ya chama, badala ya kugawa kapelo na kanga wamegawa sanda... kaaazi ni kwao!
 
Kinachosiktisha ni kwamba sandra hizo ndizozitawaifadhi wao wenyewe.

RIP.
 
invisible kapita hapa afu huu uzi bado upo? hii inaonekana 99% ni kweli
 
njaa imwaponza na unawea kukuta walipewa sh 10,000 kila mmoja
Chikawe inabidi aombe msamaha mara moja kwa wazee na wananchi wa sehemu husika
awatake radhi na pia aombe radhi kwa M4C
 
invisible kuna namna yeyote ya kuthibitisha hii habari? mi ninajua inawezekana maana Mungu akiamua kujidhihirisha huwa anatumia njia tofauti tofauti, lakini tunawza kuthitisha hii tafadhali
I can confirm imetokea kweli kama ilivyoelezwa kwenye 1st post. Details zitafuatia.

Kuna mwingine maeneo hayo (wa CCM) kajinyonga.

Inashangaza, inasikitisha!
 
Back
Top Bottom