Lindi: Mbunge wa CCM Nachingwea azomewa na Wananchi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.

Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.

27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.

28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.

29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.

29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.

Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.

Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
 
Zomea kabisa hizo takataka
 
Wananchi wakiamua wanaweza
IMG-20230916-WA0004.jpg
 
Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wzomeaamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.

Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Zomea kabisa hiyo mikitu😂
 
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.

Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.

27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.

28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.

29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.

29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.

Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.

Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.

Mbunge ajitafakari
 
Wabunge wengi wa kauli mbiu ya.... Nireteeni gwajima hawatorudi bungeni!!
 
Lindi wakati wa Uchaguzi chini ya Magufuli walifanyiwa vurugu sana viongozi na wananchi wafuasi wa ACT
 
Tanzania sasa wanaanza kuongea kilugha kwa kuona umoja unaodaiwa upo katika kugawana keki ya taifa haupo.

Mikutano huko Shinyanga, Tarime, Ngorongoro, Usambara, Nachingwea wananchi wanatumia kilugha kufanya amshaamsha na kampeni za uamusho wa kisiasa kupitia lugha zao za kienyeji baada ya kuona utawala wa serikali kuu uliopo Dodoma makao makuu na Dar es Salaam ofisi ndogo za serikali kuu kushindwa kutatua matatizo ya wananchi waliopo huku watawala wakijidai wanaufahamu wa matatizo na wataleta pesa za maendeleo toka Dodoma na Dar es Salaam.

Baada ya sasa watanzania kujiunga kufuatana na lugha zao za kilugha kinachofuata ni kuikataa serikali kuu kuwa siyo yao na nchi kugawanyika vipande vipande.

Tatizo ni watawala kukusanya kodi, kukusanya mirahaba ya mikataba na yote kuipeleka Dodoma kisha watu wachache viongozi kungawana na kuneemeka huku umma mkubwa uliopo kila kina ya Tanzania ikiachwa kugawiwa manufaa ya michango yao ya kodi, maliasili na bandari zao.
 
Washindwe CCM kwa Udhalimu wao wa Kijumla huku... mnaanza na shutuma na mnakimbizana na Kaburi. Wapi na Wapi?

Hatahivyo on the Flip side

Haya hayana tofauti kusomeka....
Leo Raisi wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Mnakimbilia kufanya teua tengua!

Wanachama....
Wameanza kurudisha Kadi.

Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.

Msitafute Mchawi wa Waganga-Yupo Kusini.
 
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Lindi, Amandus Chinguile ameonja joto la jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wa kata ya Naipanga, alipokuwa akifanya mkutano wa hadhara. Wananchi wamesikika wakisema “tumekuchoka na hatukutaki, ondoka zako”.

Amandus Chinguile ni mbunge wa Magufuli hakutokana na kura za umma. Mgombea wa CHADEMA jimbo la Nachingwea, Dkt. Mahadhi Mmoto aliporwa ushindi wake na kutangazwa Amandus kimagendo.

27.10.2020, mgombea Ubunge Jimbo la Nachingwea 2020 CHADEMA, Dkt. Mahadhi Mmoto, alikamatwa (siku moja kabla ya kupiga kura) akiwa na wenzake kumi na moja wakapelekwa Mahabusu.

28.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto, akatolewa mahabusu na Polisi Mahabusu (Mmoto pekee yake) akaenda kupiga Kura na kurudishwa Mahabusu. Wenzake 11 hawakupiga kura.

29.10.2020, akatolewa mahabusu na kupelekwa kwenye majumuisho ya kura. Siku hiyo wote wakasafirishwa na kupelekwa Lindi walifunguliwa kesi wakidaiwa kuharibu Mali za Serikali.

29.10.2020, Dkt. Mahadhi Mmoto akiwa gerezani., Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Nachingwea, Amandus Chingule akapewa kura 36,761 na Dkt. Mahadhi Mmoto CHADEMA akapewa kura 27,801.

Hadi siku Magufuli anaapishwa kuwa Rais wa Tanzani, Dkt. Mahadhi Mmoto na wenzake 11 walikuwa gereza la Lindi wamenyimwa dhamana kwa tuhuma za kuharibu mali za Serikali na CCM.

Leo mbunge wa Magufuli anaonja joto ya jiwe kwa kuzomewa na wananchi na wakisema hawamtaki wamemchoka. Hii inatukumbusha kwamba dhulma siyo riziki. Mganga anafariki.
Umeanza kuonyesha mabaka yako. Fisi ni Fisi tu

....so Biased na uwasilishaji wa Habari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom