Waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya CHETI (Grade A) na STASHAHADA 2013/2014

Status
Not open for further replies.
muda mrefu sana toka tutume maombi ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada, ajira ya ualimu kwa ngazi hizo ndiyo kimbilio la wengi hasa watoto wa wakulima kama mimi wasio na uwezo wa kumudu gharama za chuo kikuu, nasikitika sana kuona wizara imeamua kufunga kabisa blog yao ya moe

Sasa sijajua kwanin maana wengine wanasema wanapakia majina hayo, tafadhari wizara tuoneeni huruma watoto wa wakulima tufungulieni blog ikiwa na majina, tumemisi kwenda shule,maisha ya mtaa yametuchosha na yametubamiza vya kutosha,chonde!chonde! wizara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom