enoswilliam
Member
- Apr 12, 2014
- 39
- 0
hii ndio elimu ya tanzania bwana, kuwa mvumilivu mpaka watakapo amua wenyewe
ngoja tuvute subira
hii ndio elimu ya tanzania bwana, kuwa mvumilivu mpaka watakapo amua wenyewe
Tujulishane mkuu yakitoka hapa jamvini petu
utakaa xana..mdogo wang mwenyewe kaixha enda xhambaaa analima xo jipange?wk kexho labda
habari za kuaminika,division 4 hawatachaguliwa,hakuna cha bridging course,inservice teachers wa primary wamepata fursa ya kusoma diploma ambayo itawasaidia kujiunga na degree na kwendelea,
hapa hakuna utani , yuko sahihi na wakuu wa vyuo wameishapewa maelekezo,,,,,,,,,wanaotakiwa ni 1, 2, na 3 basiisije ikawa unatania
Hakuna kitu kama hicho! Mbona vyuo vya private wanachukua waliopata div1 mpaka div4.34?Poleni sana mnaosubiri majina ya wanafunzi watakaojiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 2014/15 tetesi ni kwamba president JK akiwa peramiho songea kwenye uzinduzi wa barabara moja ya hotuba yake kwa wananchi wa peramiho ni- namnukuu, Bajeti ya 2014/15 chini ya mpango wa matokeo makubwa sasa BRN wizara ya elimu imeamua kuwa kuanzia 2016 shule za msingi zitafundishwa na walimu walio na shahada ya Education ili kupata walimu wenye weledi na taaluma ya ufundishaji. Shukran kwenu wakuu!
Hakuna kitu kama hicho! Mbona vyuo vya private wanachukua waliopata div1 mpaka div4.34?