ANTELMI MGONELA
Member
- Aug 1, 2014
- 15
- 0
Wakuu tuendelee kujulishana
ucogope ngoja tumsubiri matwi atujulishe
Wakuu tuendelee kujulishana
muda mrefu sana toka tutume maombi ya ualimu ngazi ya cheti na stashahada, ajira ya ualimu kwa ngazi hizo ndiyo kimbilio la wengi hasa watoto wa wakulima kama mimi wasio na uwezo wa kumudu gharama za chuo kikuu, nasikitika sana kuona wizara imeamua kufunga kabisa blog yao ya moe
Sasa sijajua kwanin maana wengine wanasema wanapakia majina hayo, tafadhari wizara tuoneeni huruma watoto wa wakulima tufungulieni blog ikiwa na majina, tumemisi kwenda shule,maisha ya mtaa yametuchosha na yametubamiza vya kutosha,chonde!chonde! wizara
Siri nzito sana jaman moevt kutokuepo heweni
This account has been suspended, duuh wa st. kayumba hatujaelewa kitu kabisa
kwakwel cjawah pata wakat mgumu kama sas nilivyo kwani wizara ya elimu website yao wamefunga post bdo hawajatoa na bado haijajulikana mtu upo upande gani wakati application date mbalimbali zinazd kuexpire inauma sana kwakwel nimekaa mtaani mwaka umekaribia kuisha hv watu wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi wanaohusika hawawezi kutuonea huruma sisi tuliomaliza kidato cha nne na tuliofaulu ikiwa wenzetu tayar wapo shule. tafadhali mwenye tetesi anijulishe .......
Hapa mwenye tetesi ni Mh. Shakuru Kawamba peke yake, tetesi zitoke wapi ndugu na moevt blog imefungwa. Lishakuru lenyewe linaulizwa kwenye account yake ya facebook hata halijibu, tutafanyaje ndugu yangu wenye shida ni sisi na watumishi wa moevt wanaenjoy na masofa ya kuzunguka kwenye maofisi yao ya kidosi wengine tunapigwa vumbi kitaa. Daa inaniuma sana kuzaliwa familia duni mimi....!