Pole rafiki.Ngoja waje sisi wengine tuli apply tukaangukia pua so tunaweza tukakufelisha
Kwanza uwe umefeli form 4, vingine vinafuataHabari za jioni wadau?
Naomba kufahamu vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti (astashahada) na ngazi ya stashahada (Diploma).
Je vyuo vinafunguliwa lini?
Ila watu mbn wakorofi sanaKwanza uwe umefeli form 4, vingine vinafuata
Nakushukuru.Kwanza uwe umefeli form 4, vingine vinafuata
Kwa lipi?Ila watu mbn wakorofi sana
nenda website ya wizara ya elimu au vyuo husika kaangalie watakuwa wameainisha.Habari za jioni wadau?
Naomba kufahamu vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti (astashahada) na ngazi ya stashahada (Diploma).
Je vyuo vinafunguliwa lini?
Kwa mimi navyofahamu ni lazima:Habari za jioni wadau?
Naomba kufahamu vigezo vya kujiunga na chuo cha ualimu ngazi ya cheti (astashahada) na ngazi ya stashahada (Diploma).
Je vyuo vinafunguliwa lini?
Nakushukuru sana kwa maarifa haya.Certificate kozi inatolewa chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT), ni kozi ya mwaka mmoja na unasoma kupitia zoom lectures, ni elimu ngumu kidogo kutokana na mazoea, elimu inayotolewa ni certificate in early childhood education, sifa ni 4Ds yaani D ziwe 4, ada yao ni 720,000/= kama sikosei
Asante sana.Diploma kwa aliyetoka kidato cha nne ni kozi ya miaka mitatu na uwe na ufaulu kuanzia div 1-div 3, zaidi Tembelea website ya vyuo mfano Butimba Teacher's college,Monduli Tc,Morogoro Tc,Bustani Tc nk
Mchango/ushauri wako ni bora mno.Uwe na master ya agriculture
Asante sana kwa taarifa.Mwaka huu option ya ualimu ngazi ya cheti na diploma ni kwa wanafunzi waliosoma sayansi tu
Asante kwa taarifa muruwa.Kwanza uwe umefeli form 4, vingine vinafuata