Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
- Thread starter
- #81
Kuhusu ayo Mapikipiki i know nothing kiukweli!, sijui ndio taratibu zilivyo au ndio upambaji tu wa Motorcade ya JK!
Ilo gari la mawasiliano/ku-jam mawasiliano sijui!, ila kama likiwepo na Ma-VIP wetu hawa walivyo watalaam wa kukata mitaa..du!, usiombe nyumba yko iwe karibu na saloon/kimada wke anapoishi, guess you will be off air daily!
Then security level employed inategemea threats,skills, uchumi etc wa nchi, kwetu hapa sijui kama tumefikia Level hiyo even though we need to!
Mjomba huhitaji kujua mengi kuhusu mambo haya kujua kuwa something was wrong TAIFA. Juu hawakutakiwa wake watu wa SUTI its simple and clear as that