Walinzi wa viongozi (mataifa mbalimbali) reconstructed

WanaJF, kuna la kusema hapa.
i163_DSC1727.jpg

i166_IMG6392.jpg

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoka kwenye ukumbi wa mihadhara wa Mwalimu J. K. Nyerere wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii cha Tengeru jijini Arusha alikokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kumi na moja ya Cho hicho December 6,2008 Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isdory Shirima na kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Anatoli Bunduki.

i164_IMG5164.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tangi la maji katika kijiji cha Mbande wilayani Kongwa baada ya kuzindua baada ya kuzindua Mradi wa Maji wa Kijiji hicho akiwa katik aziara ya mkoa wa Dodoma, November 18, 2008.

i165_IMG5289.jpg

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Mlali wilayani Kongwa akiwa njiani kuelekea kwenye kituo cha walemavu cha Mlali November 18, 2008. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Dodoma.
 
Dah, mnh...:) inawezekana wamesimama upande huu(?)...

Yuko huyo mmoja nyuma ya mama kwenye nguo ya orange amewapa mgongo. Walinzi wa pinda wana kawaida ya kukaa naye mbali LOL!
Hiyo picha nyingine ya mama salma naona kuna watatu I guess ni wa mwinyi.
 
Aisee nimeangalia hiyo footage na nimeona walinzi wake walichelewa sana kunyanyuka na kwenda kumkinga. Sijui ndio uzee au nini lakini reflexes zao kwa kweli hapa zimekuwa exposed. Yule lead wa security detail ilimchukua sekunde nyingi kwenda alipokuwa Bush....
 
as nilivyosema kule kwenye thread nyingine..i think focus kubw ay aulinzi ilikua kuhakikisha siku hiyo if not masaa hayo bush akiwa iraq hamna hata baruti kupigwa huko nje sembuse mabomu ya kujitoa mhanga..

pia i guess ni kwa sababu walikua sure kila mtu aliyekua humo ukumbini alikua scanned vya kutosha kutokua na any silaha so dats why nao hawakurespond kwa kuja na mitutu
 
Hehe, sijui Press Conference za Obama zitakuwa vipi baada ya hii incident...ila Bush ana reflexes I'm sure wanafundishwa kuduck...
All in all SS na Iraqis wamechelewa kureact...sababu watakayokuja nayo ni kuwa ilikuwa ni relaxed environment(ofisini) na kila mtu alikuwa screened. one interesting thing 1 out of 4 us prez anashambuliwa(assassination attempt) 1 out of 10 Prez anakuwa assassinated, you do the math.
0,1020,1382479,00.jpg

0,1020,1382481,00.jpg
 
Somo la leo, mnaona madhara ya kukaa mbali na principal?

Hii avatar yako Mkuu! We kweli mchokozi... Hilo tukio la Baghdad ni somo muhimu kwa walinzi wa Viongozi..na ni wazi ulinzi wa Obama utaongezwa na kuwasisitizia uharaka na umakini walinzi...nilichoona hapo ni kwamba hakukuwa na walinzi wa kutosha kwenye Floor..walinzi wengi walitokea nyuma ya platform baada ya tukio.
 
as nilivyosema kule kwenye thread nyingine..i think focus kubw ay aulinzi ilikua kuhakikisha siku hiyo if not masaa hayo bush akiwa iraq hamna hata baruti kupigwa huko nje sembuse mabomu ya kujitoa mhanga..

pia i guess ni kwa sababu walikua sure kila mtu aliyekua humo ukumbini alikua scanned vya kutosha kutokua na any silaha so dats why nao hawakurespond kwa kuja na mitutu

Sio ku respond na mitutu. Tatizo ni response time. Vipi jamaa angekuwa na kifurushi cha mawe....
 
Hii avatar yako Mkuu! We kweli mchokozi... Hilo tukio la Baghdad ni somo muhimu kwa walinzi wa Viongozi..na ni wazi ulinzi wa Obama utaongezwa na kuwasisitizia uharaka na umakini walinzi...nilichoona hapo ni kwamba hakukuwa na walinzi wa kutosha kwenye Floor..walinzi wengi walitokea nyuma ya platform baada ya tukio.

Bora useme wewe, mimi siku ile nalalamika kuhusu uwanja wa Taifa nikaonekana sio mzalendo sasa kwenye open space kama ile hakuna aliyekuwa screened.

NN, nakubaliana na wewe mazingira nayo yanaplay part maana ile ilikuwa ni relaxed environment so sidhani kama waliona umuhimu wa kujaza zaidi ya walinzi 30 kwenye ukumbi isitoshe kila mtu alikaguliwa na alikuwa anajulikana.

Najiuliza nini kimempata huyo mwandishi wa habari, as of a latest email kutoka kwa muungwana mmoja anasema serikali ya Iraq bado inatumia bunkers za Saddam.
 
In the future tutakuwa tunashuhudia Ballistic shield kama hii kwenye press conference kwenye nchi zilizo hostile kwa US?
a2omd.jpg

2gsfh9u.jpg
 
Bora useme wewe, mimi siku ile nalalamika kuhusu uwanja wa Taifa nikaonekana sio mzalendo sasa kwenye open space kama ile hakuna aliyekuwa screened.

NN, nakubaliana na wewe mazingira nayo yanaplay part maana ile ilikuwa ni relaxed environment so sidhani kama waliona umuhimu wa kujaza zaidi ya walinzi 30 kwenye ukumbi isitoshe kila mtu alikaguliwa na alikuwa anajulikana.

Najiuliza nini kimempata huyo mwandishi wa habari, as of a latest email kutoka kwa muungwana mmoja anasema serikali ya Iraq bado inatumia bunkers za Saddam.

Icadon, ku predict future behavior ya mtu wakati mwingine ni kazi ngumu. Lakini ktk fani yao nadhani hawatakiwi wa put anything past anybody hasa ukizingatia huyo alikuwa ni raisi wa Marekani. He is a high value target and people will go out of their way to get him. Mimi nadhani walinzi wake walikuwa slow kwa kiasi flani. Nilitegemea jamaa yule anayekuwaga naye karibu angeruka na kwenda angalau kumziba lakini no hakufanya hivyo. Halafu jamaa mwenyewe anaonekana kama kaanza kuzeeka na yeye. Niliona vi mvi mvi (ingawa haimaanishi chochote). Hopefully wata evaluate jinsi walivyo respond na kurekebisha walipokosea. Yaani sikuamini jamaa alipata nafasi ya kurusha kiatu cha pili na ndipo nikaona jamaa wa security wanatokea....isingekuwa reflex za Bush angekula kiatu leo....lol
 
Somo la leo, mnaona madhara ya kukaa mbali na principal?

Mkuu Icdn, Hata kwa U.S secret service? Nilidhani inaweza kutokea tu kwa "wenye vitambi" wetu tu?

Ndiyo maana nikauliza juzi kuwa akina nani wanaweza kazi?
Ninavyojua, one can never be 100% sure of protection results had a particular event is over. Lakini pia criticism na improvement hutokezea once a nasty incident happens.

Nadhani toka sasa tutashuhudia hatua mpya kadhaa kuzuia tukio kama hili tena.
 
Icadon, ku predict future behavior ya mtu wakati mwingine ni kazi ngumu. Lakini ktk fani yao nadhani hawatakiwi wa put anything past anybody hasa ukizingatia huyo alikuwa ni raisi wa Marekani. He is a high value target and people will go out of their way to get him. Mimi nadhani walinzi wake walikuwa slow kwa kiasi flani. Nilitegemea jamaa yule anayekuwaga naye karibu angeruka na kwenda angalau kumziba lakini no hakufanya hivyo. Halafu jamaa mwenyewe anaonekana kama kaanza kuzeeka na yeye. Niliona vi mvi mvi (ingawa haimaanishi chochote). Hopefully wata evaluate jinsi walivyo respond na kurekebisha walipokosea. Yaani sikuamini jamaa alipata nafasi ya kurusha kiatu cha pili na ndipo nikaona jamaa wa security wanatokea....isingekuwa reflex za Bush angekula kiatu leo....lol
n2gwma.jpg
 
Ok, jokes aside NN somebody will take a hike for this...kwa kifupi kwenye seats za wahandishi wa habari hakukuwa na mlinzi yoyote si front row si mid row why? Sijui arrangements zao zilikuwa vipi, pili mtu mpaka anavua kiatu cha pili na kukirusha bado jamaa alikuwa [w]amezubaa [w]anaangalia wapi? Inaturudisha pale pale ilikuwaje JK akawekwa wazi namna ile na walinzi wakiwa mbali at least hawa waungwana walikwa screened and searched so hakuna weapons sasa na pale taifa watu walipitishwa kwenye metal detectors?
610x.jpg
 
Ok, jokes aside,... Sijui arrangements zao zilikuwa vipi,

Mkuu Icadon, at least hii ndiyo naona inaweza kuwa kikwazo katika comparisons zetu hapa. All in all, yawezekana kweli security lapses zimetokea. Namna bora ya kuziondoa in future ni kusoma what went wrong, japo ni bora zaidi kutatua tatio kabla halija tokea.
 
Unataka kujua kitu kimoja interesting, Bush akiwa anahutubia mikutano kuna kuwa na walinzi karibi na some places kunakuwa na Ballistic Shield kama hizi picha za chini

347245240.jpg

347245242.jpg

347245243.jpg
 
Back
Top Bottom