Arctic Tern
Member
- Apr 12, 2014
- 36
- 11
Naitwa mwl Shukurani W.Samwel mwalimu wa shule ya msinginiko mkoa wa mtwara wilaya ya masasi. Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka mikoa ya Mara,Geita au Mwanza kwa yeyote aliyeko tayari tuwasiliane