JOSE KASANO
Senior Member
- Apr 23, 2013
- 120
- 93
Niko BUKOBA MANISPAA idara ELIMU sekondari nataka kuja DSM.Wa kubadilishana naye tunaweza kuwasiliana tafadhali.
Nitafute 0684668425Njoo moshi manispaa nije dar wilaya yoyote elimu msingi
Njoo dar nije kyerwa kagera
Secondary au primaryTangazo kutoka kwa mdogo wangu
Natafuta MWL Wa kubadilishana naye kituo cha kazi, aje halmashauri ya Wilaya Muleba nami niende kati ya Wilaya ya Kibondo au Kakonko mkoa Wa Kigoma. Kama uko tayari wasiliana nami na kama una ndg anahitaji kufanya hivyo mtalifu.
Wasiliana nami kwa namba 0713914633
Ualm up prmaly au secondary
Uende wapiNjoo Temeke idara sekondari
Naacha kazUende wapi
Kigoma sehemu ganiNjoo Kigoma nije mashariki na kaskazini popote ulipo idara secondary
Kakonko?Njoo mwanga kilimanjaro nije Kasulu TC