Wale wa SAUT pata msaada hapa

Mbute na chai

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
524
525
Tafadhali jaribuni kuwasiliana na bodi ya mikopo +255222669036 piga mara nyingi pia hata kama huna fedha ya kulipia nusu ada, yaani unategemea heslb, fika kesho main campus angalau upate tamko toka kwa Rugaimukamu admissions officer kama heslb hawatakuwa wametoa majina.
 
Back
Top Bottom