Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Husninyo Altaka aende Hai. Ana sababu na ndo alpohamia.
Teh ukimwona mpe hi
Husninyo Altaka aende Hai. Ana sababu na ndo alpohamia.
Ndio maana wananpng'ona kumbe hawana kipaaza sauti!Dah mchwa pale wabaya eeh?Kurugenzi ya komyunikesheni imekula kipaza sauti, watakomuniketi vipi sasa?
Ha mi nasubiri uteuzi wako, si ulisema ule mkoa maarufu nitaongoza mimi! Hata sina wasiwasi na hilo....Wewe si ndo upo Kurugenzi ya mawasiliano Ikulu?
Maendeleo ulyoyapeleka Siha ni mazuri. Yapeleke Moshi mjini.
We Kongosho mie sipo ikulu badala yake mimi ni mmoja wa wanaoletewa taarifa za ikulu kutoka kwa bbaadhi ya watendaji wakuu pale ikulu, halafu wewe un bahati sana, nimeona MUSSOLIN kakuteua waziri wa jinsia na watoto baada ya kuiangalia avatar yako kwa makini!
Lizzy, kumbe unataka ubunge! ukishindwa atakuteua si unajua ana mamlaka ya kikatiba kuteua wabunge pia!Sitaki tena. . .ntagombea ubunge.
Ha ha ha labda huyu mkuu akiamua kuniteuaHe he he he, una harufu ya ikulu ikulunaendelea kukuchunguza
Akiongea nae vizuri kesho ataamka akiwa mbunge viti maalum Manzese hahaaa kama sio Keko machungwa....lolLizzy, kumbe unataka ubunge! ukishindwa atakuteua si unajua ana mamlaka ya kikatiba kuteua wabunge pia!
Hivi mkuu unayafanyaje majina/ID yanatokea bold and blue?Mussolin abaki nae ikulu kwanza wasaidiane kuimarisha baraza
Ha ha Halafu wewe!Mzee wa magogoni hata saa sita usiku anatangaza tu LOLAkiongea nae vizuri kesho ataamka akiwa mbunge viti maalum Manzese hahaaa kama sio Keko machungwa....lol
Bishanga- Bukoba Mjini.
Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini.
Erickb52 -Simanjiro
Kongosho-Newala
Cantalisia-Kisarawe
Dark City-Temeke
Mtambuzi-Ilala
BAGAH- Kinondoni
Rejao- Bagamoyo.
Lizzy -Moshi Mjini
Crashwise-Arumeru.
Mr Rocky- Manyoni.
Excellent-Kiteto
Mwali-Handeni
Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.
Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.
Hii ndo JF bwana,
Kijana anamovisha DC to Light City.....
It's good to rejuvenate the wrinkled faces!!
Babu DC!!
Wewe kwa kuwa uana mvi, uwe katibu mkuu ikulu.
Hahahahahahahah,
Na Jairo atakuwa nani?
Na mkulu kabisa je? ..may be Invisible!!
Babu DC!!
Bishanga- Bukoba Mjini.
Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini.
Erickb52 -Simanjiro
Kongosho-Newala
Cantalisia-Kisarawe
Dark City-Temeke
Mtambuzi-Ilala
BAGAH- Kinondoni
Rejao- Bagamoyo.
Lizzy -Moshi Mjini
Crashwise-Arumeru.
Mr Rocky- Manyoni.
Excellent-Kiteto
Mwali-Handeni
Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.
Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.
Umekosea kutype, mie Ilemela.