Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

Bishanga- Bukoba Mjini.
Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini.
Erickb52 -Simanjiro
Kongosho-Newala
Cantalisia-Kisarawe
Dark City-Temeke
Mtambuzi-Ilala
BAGAH- Kinondoni
Rejao- Bagamoyo.
Lizzy -Moshi Mjini
Crashwise-Arumeru.
Mr Rocky- Manyoni.
Excellent-Kiteto
Mwali-Handeni
Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.

Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.
pwani.JPG Nicas Mtei... Huu uteuzi wako, dah!!
Yaani umeniweka na mke wangu wa zamani na mpya kwenye mkoa mmoja!!!
Lazima takuwa na ajenda ya siri...:A S 465::A S 465:
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa Waziri Mkuu Nicas Mtei,
Pamoja na uteuzi wako maridhawa ninaomba mabadiliko yafuatayo:
Bishanga.....Arumeru
Lizzy............Arusha mjini
Nanihiii........Wilaya mpya ya manzese,makao yake makuu uwanja wa fisi.
 
Mimi mmenipangia wilaya ipi? Asije akaletwa mtu hapa Arusha! Siku ya kwanza tu ofisini atakutwa kajifia toilet. Mwenye mji niko hapa then aje mwingine? Haiji......... Nauliza tena nimepangiwa wapi?

Arushaone wewe ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa Waziri Mkuu Nicas Mtei,
Pamoja na uteuzi wako maridhawa ninaomba mabadiliko yafuatayo:
Bishanga.....Arumeru
Lizzy............Arusha mjini
Nanihiii........Wilaya mpya ya manzese,makao yake makuu uwanja wa fisi.

Arusha mjini yupo Invisible. Lizzy yupo Moshi mjini. Crashwise yupo Arumeru..
Kwa nini unataka kuwa karibu na Lizzy? Wewe nenda bukoba ukapge kazi. Sawa Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
Arusha mjini yupo Invisible. Lizzy yupo Moshi mjini. Crashwise yupo Arumeru..
Kwa nini unataka kuwa karibu na Lizzy? Wewe nenda bukoba ukapge kazi. Sawa Bishanga?
Mheshimiwa Waziri Mkuu,unanionea,au ka vipi ina maana na wewe umejiunga na Kongosho ili mnimalize mwaka huu?ka vipi na u DC wako siutaki na kadi ya chichiem narudisha,juu ya nini bana,it is either Arumeru for Bishanga,Arusha mjini for Lizzy,Manzese for katumbili kadogo or nothing ,just be informed. Au umepokea mkukuta toka kwa nanihii?
 
Last edited by a moderator:
Bwana Mtei nashukuru sana kwa uteuzi wako lakini umesahau wilaya muhimu sanaa yani sanaaaa ya IRAMBA tafadhali sana hebu fanya mabadiliko kidogo uniweke hapo(lazima niwe karibu na ile kitu,bila hivyo kazi haitafanyika)halafu Meatu mpe EMT patamfaa sana, na atafanya kazi nzuri we mwenyewe utafurahia.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom