Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

Mwanyasi huyu jamaa anatakiwa msaidizi siunajua hatofautiani na nanii wa tz white house....Teh hakawii kumteua konda kuwa waziri lolNgoja akimaliza tuangalie uteuzi wake kwa karibu
Halafu sijajua anashauriana na nani katika uteuzi huu, huyo mshauri nae atakua sio makini kama Kurugenzi ya communication pale kwenye magogo!
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi huyu jamaa anatakiwa msaidizi siunajua hatofautiani na nanii wa tz white house....
Teh hakawii kumteua konda kuwa waziri lol
Ngoja akimaliza tuangalie uteuzi wake kwa karibu

Unataka nn wewe? Hujardhka?
 
Last edited by a moderator:
Halafu huwezi kunitenga na nanii....yan Lushoto na mimi Arusha inawezekanaje?
Mrudishe Arusha mjini ndio tutaelewana
Hapa umenikumbusha ile ya mtoto aliyeambiwa na baba yake wakija wageni awaambie hayupo. Mtoto walipokuja wageni wakasema "Baba yumo ndani kaniambia niwaambieni hayupo". Au ni siri kwa sauti kubwa? NWY, Hongera sana.
 
Kurugenzi ya komyunikesheni imekula kipaza sauti, watakomuniketi vipi sasa?

Halafu sijajua anashauriana na nani katika uteuzi huu, huyo mshauri nae atakua sio makini kama Kurugenzi ya communication pale kwenye magogo!
 
Halafu sijajua anashauriana na nani katika uteuzi huu, huyo mshauri nae atakua sio makini kama Kurugenzi ya communication pale kwenye magogo!
Kuna jamaa mmoja anajiita BAGAH yan ushauri wake ni bora kuamua mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Mwanyasi wewe ndio mbea wa ikulu naskia.
We Kongosho mie sipo ikulu badala yake mimi ni mmoja wa wanaoletewa taarifa za ikulu kutoka kwa bbaadhi ya watendaji wakuu pale ikulu, halafu wewe un bahati sana, nimeona MUSSOLIN kakuteua waziri wa jinsia na watoto baada ya kuiangalia avatar yako kwa makini!
 
Last edited by a moderator:
Dah nilikuwa sijamwona Mr Rocky hahahaaa pole yake maana kazi yake ni mara mbili ya wengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom