Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

He he he he, una harufu ya ikulu ikulu
naendelea kukuchunguza

We Kongosho mie sipo ikulu badala yake mimi ni mmoja wa wanaoletewa taarifa za ikulu kutoka kwa bbaadhi ya watendaji wakuu pale ikulu, halafu wewe un bahati sana, nimeona MUSSOLIN kakuteua waziri wa jinsia na watoto baada ya kuiangalia avatar yako kwa makini!
 
Mtei dubu anajifanya mpenda haki...naomba umsaidie Wilaya either ya Kibondo au wilaya ya NKASI tumsahau kabisa halafu SALOK mpeleke Nanjilinji MUSSOLIN magogoni kama kawa hadi sahihi zitakapofika mia tatu
 
Last edited by a moderator:
Mtei dubu anajifanya mpenda haki...naomba umsaidie Wilaya either ya Kibondo au wilaya ya NKASI tumsahau kabisa halafu SALOK mpeleke Nanjilinji MUSSOLIN magogoni kama kawa hadi sahihi zitakapofika mia tatu
Hivi mkuu unayafanyaje majina/ID yanatokea bold and blue?Mussolin abaki nae ikulu kwanza wasaidiane kuimarisha baraza
 
Last edited by a moderator:
Hii ndo JF bwana,

Kijana anamovisha DC to Light City.....


It's good to rejuvenate the wrinkled faces!!

Babu DC!!
 
Bishanga- Bukoba Mjini.
Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini.
Erickb52 -Simanjiro
Kongosho-Newala
Cantalisia-Kisarawe
Dark City-Temeke
Mtambuzi-Ilala
BAGAH- Kinondoni
Rejao- Bagamoyo.
Lizzy -Moshi Mjini
Crashwise-Arumeru.
Mr Rocky- Manyoni.
Excellent-Kiteto
Mwali-Handeni
Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.

Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.

Ephuuu...!!!
Aloo ndugu Nicas Mtei naomba mwongozo huyu wa huku kwangu hataki kung'atuka,anasema alimkopesha mshika dau 'tumilioni' hebu
ita FFU Huku.
 
Last edited by a moderator:
mkulu kabisa ni kakijana ka zamani kanajiita Mussolin, kako kisafari safari tu kivasco dagama, hakako siriaz ndo maana kila mtu anajichagulia cheo.

Hahahahahahahah,

Na Jairo atakuwa nani?

Na mkulu kabisa je? ..may be Invisible!!


Babu DC!!
 
Bishanga- Bukoba Mjini.
Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini.
Erickb52 -Simanjiro
Kongosho-Newala
Cantalisia-Kisarawe
Dark City-Temeke
Mtambuzi-Ilala
BAGAH- Kinondoni
Rejao- Bagamoyo.
Lizzy -Moshi Mjini
Crashwise-Arumeru.
Mr Rocky- Manyoni.
Excellent-Kiteto
Mwali-Handeni
Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.

Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.

Mkuu niweke hata kwenye waiting list, ili atakaechemsha nijaze nafasi au niwe mkuu wa wilaya asie na wilaya maalum.
 
Last edited by a moderator:
Mimi mmenipangia wilaya ipi? Asije akaletwa mtu hapa Arusha! Siku ya kwanza tu ofisini atakutwa kajifia toilet. Mwenye mji niko hapa then aje mwingine? Haiji......... Nauliza tena nimepangiwa wapi?
 
Back
Top Bottom