Zifahamu Wilaya 82 za Tanzania Bara zenye idadi kubwa ya watu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,863
Tanzania Ina Halmashauri zipataza 184 zikijumuisha Miji.

Kutoka kwenye kundi Hilo Kuna Halmashauri ambazo ni primarily Rural in nature na Zina Watu wengi sana waliotawanyika across Small Towns and Villages within those Districts..

Kwa mujibu wa Matokeo ya sensa ya 2022 ,Zifuatazo ndio Halmashauri za Wilaya 82 Zenye Idadi kubwa ya Watu Tanzania ,kuanzia 270,000 na kuendelea..

1.Geita DC -1,035,210
2.Kaliua DC -678,447
3.Muleba DC -637,659
4.Kilosa DC -617,032
5.Chato DC -584,963
6.Uyui DC -562,588
7.Igunga DC -546,204
8.Kasulu DC -537,767
9.Moshi DC -535,803
10.Mkuranga DC -533,033
11.Mbozi DC -510,599
12.Sumbawanga DC -494,330
13.Chamwino DC -486,176
14.Kwimba DC- 480,025
15.Shinyanga DC -468,611
16.Misungwi DC -467,867
17.Uvinza DC -458,353
18.Biharamulo DC -457,114
19.Arusha DC -449,518
20.Mbarali DC -446,336
21.Kongwa DC -443,867
22.Maswa DC -427,864
23.Nkasi DC -425,420
24.Sengerema DC -425,415
25.Mvomero DC -421,741
26.Magu DC -421,119
27.Itilima DC -419,213
28.Buchosa DC -413,110
29.Kyerwa DC -412,910
30.Tunduru DC -412,054
31.Ikungi DC -411,362
32.Bukombe DC -407,102
33.Tarime DC -404,848
34.Mpwapwa DC -403,242
35.Kilindi DC -398,391
36.Ushetu DC -390,593
37.Ukerewe DC -387,815
38.Morogoro DC -387,736
39.Karagwe DC -385,744
40.Handeni DC -384,363
41.Bariadi DC -383,385
42.Ngara DC -383,092
43.Msalala DC -378,214
44.Babati DC -375,200
45.Tanganyika DC -371,836
46.Mbeya DC -371,259
47.Hanang' DC -367,391
48.Meatu DC -366,941
49.Kibondo DC -362,922
50.Mbogwe DC -363,855
51.Rorya DC -354,490
52.Kiteto DC -352,305
53.Lushoto DC -350,958
54.Chunya DC -344,471
55.Serengeti DC -340,349
56.Chemba DC -339,333
57.Sikonge DC -335,686
58.Kishapu DC -335,483
59.Meru DC -331,603
60.Iramba DC -428,912
61.Bahi DC -322,526
62.Bukoba DC -322,448
63.Chalinze DC -316,759
64.Kalambo DC -316,783
65.Iringa DC -315,354
66.Masasi DC -314,778
67.Same DC -300,303
68.Tandahimba DC 299,073
69.297,676
70.Mlimba DC -292,536
71.Simanjiro DC -291,169
72.Mufindi DC -288,996
73.Mbinga DC -285,582
74.Singida DC -284,895
75.Butiama DC -281,656
76.Karatu DC -280,454
77.Manyoni DC -279,069
78.Rombo DC -275,314
79.Ngorongoro DC -273,549
80.Rungwe DC -273,536
81.Korogwe DC -272,870
82.Namtumbo DC -271,368

My Take

Kwa Wafanyabiashara this is very useful kwao maana unakuta Wilaya inazunguka Mji automatically huo Mji utakuwa na watu wengi sana wanaotoka Wilayani kuja ku shop hapo mjini eg Geita DC inazunguka Mji wa Geita na kwapamoja Kuna watu karibu 1.4Mln ndani ya Wilaya Moja.
Screenshot_20230423-101000.jpg
 

Attachments

  • volume1a.pdf
    14.3 MB · Views: 8
Biashara huwezi kuangalia idadi ya watu pekee. Mfano hapo kuna Halmashauri kama Rombo watu 275000+ lakini ni ovyo kabisa kibiashara
Nimesema Wilaya nzuri ni zile zinazoxunguka Miji au Zenye Miji Mingi midogo midogo..

Hiyo Rombo Ina Vijiji tuu na watu wametawanyika sana..

Mwisho watu chini ya 300k sio soko zuri Kwa biashara unless ni Mji.
 
Tanzania Ina Halmashauri zipataza 184 zikijumuisha Miji.

Kutoka kwenye kundi Hilo Kuna Halmashauri ambazo ni primarily Rural in nature na Zina Watu wengi sana waliotawanyika across Small Towns and Villages within those Districts..

Kwa mujibu wa Matokeo ya sensa ya 2022 ,Zifuatazo ndio Wilaya 82 Zenye Idadi kubwa ya Watu Tanzania ,kuanzia 270,000 na kuendelea..

1.Geita DC -1,035,210
2.Kaliua DC -678,447
3.Muleba DC -637,659
4.Kilosa DC -617,032
5.Chato DC -584,963
6.Uyui DC -562,588
7.Igunga DC -546,204
8.Kasulu DC -537,767
9.Moshi DC -535,803
10.Mkuranga DC -533,033
11.Mbozi DC -510,599
12.Sumbawanga DC -494,330
13.Chamwino DC -486,176
14.Kwimba DC- 480,025
15.Shinyanga DC -468,611
16.Misungwi DC -467,867
17.Uvinza DC -458,353
18.Biharamulo DC -457,114
19.Arusha DC -449,518
20.Mbarali DC -446,336
21.Kongwa DC -443,867
22.Maswa DC -427,864
23.Nkasi DC -425,420
24.Sengerema DC -425,415
25.Mvomero DC -421,741
26.Magu DC -421,119
27.Itilima DC -419,213
28.Buchosa DC -413,110
29.Kyerwa DC -412,910
30.Tunduru DC -412,054
31.Ikungi DC -411,362
32.Bukombe DC -407,102
33.Tarime DC -404,848
34.Mpwapwa DC -403,242
35.Kilindi DC -398,391
36.Ushetu DC -390,593
37.Ukerewe DC -387,815
38.Morogoro DC -387,736
39.Karagwe DC -385,744
40.Handeni DC -384,363
41.Bariadi DC -383,385
42.Ngara DC -383,092
43.Msalala DC -378,214
44.Babati DC -375,200
45.Tanganyika DC -371,836
46.Mbeya DC -371,259
47.Hanang' DC -367,391
48.Meatu DC -366,941
49.Kibondo DC -362,922
50.Mbogwe DC -363,855
51.Rorya DC -354,490
52.Kiteto DC -352,305
53.Lushoto DC -350,958
54.Chunya DC -344,471
55.Serengeti DC -340,349
56.Chemba DC -339,333
57.Sikonge DC -335,686
58.Kishapu DC -335,483
59.Meru DC -331,603
60.Iramba DC -428,912
61.Bahi DC -322,526
62.Bukoba DC -322,448
63.Chalinze DC -316,759
64.Kalambo DC -316,783
65.Iringa DC -315,354
66.Masasi DC -314,778
67.Same DC -300,303
68.Tandahimba DC 299,073
69.297,676
70.Mlimba DC -292,536
71.Simanjiro DC -291,169
72.Mufindi DC -288,996
73.Mbinga DC -285,582
74.Singida DC -284,895
75.Butiama DC -281,656
76.Karatu DC -280,454
77.Manyoni DC -279,069
78.Rombo DC -275,314
79.Ngorongoro DC -273,549
80.Rungwe DC -273,536
81.Korogwe DC -272,870
82.Namtumbo DC -271,368

My Take

Kwa Wafanyabiashara this is very useful kwao maana unakuta Wilaya inazunguka Mji automatically huo Mji utakuwa na watu wengi sana wanaotoka Wilayani kuja ku shop hapo mjini eg Geita DC inazunguka Mji wa Geita na kwapamoja Kuna watu karibu 1.4Mln.
Inajulikana we ni wa kanda ya ziwa. mkiwa wengi significance kwa watanzania ni nini. Km mnazaliana kama nyumbu bila mpangilio ndiyo sifa? Bora nyumbu maana ni chakula cha simba. Sasa nyie na ujinga wenu huo uwingi wenu unatusaidia nini zaidi ya kuitia hasara serikali.
 
Nimesema Wilaya nzuri ni zile zinazoxunguka Miji au Zenye Miji Mingi midogo midogo..

Hiyo Rombo Ina Vijiji tuu na watu wametawanyika sana..

Mwisho watu chini ya 300k sio soko zuri Kwa biashara unless ni Mji.
Ukisema kuzunguka mji, mbona Rombo ukitoka Moshi MC, unaingia Moshi DC yenye watu wengi ( ndio Kuna Himo) then uningia Rombo.

Kilimanjaro yote binafsi sishauri mtu.

Kwanza Kilimanjaro NI mkoa wa WAZEE, unless Kama biashara yako soko lake ni wazee
 

Attachments

  • Polish_20230423_105404195.png
    Polish_20230423_105404195.png
    57.6 KB · Views: 15
Inajulikana we ni wa kanda ya ziwa. mkiwa wengi significance kwa watanzania ni nini. Km mnazaliana kama nyumbu bila mpangilio ndiyo sifa? Bora nyumbu maana ni chakula cha simba. Sasa nyie na ujinga wenu huo uwingi wenu unatusaidia nini zaidi ya kuitia hasara serikali.
Biashara zinafuata soko na soko ni watu..

Nitake radhi Mimi sio wa Kanda hiyo
 
Back
Top Bottom