Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Bishanga- Bukoba Mjini.
Genecious Kaiza -Bukoba Vijijini.
Erickb52 -Simanjiro
Kongosho-Newala
Cantalisia-Kisarawe
Dark City-Temeke
Mtambuzi-Ilala
BAGAH- Kinondoni
Rejao- Bagamoyo.
Lizzy -Moshi Mjini
Crashwise-Arumeru.
Mr Rocky- Manyoni.
Excellent-Kiteto
Mwali-Handeni
Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.
Maxence Melo-Kilombero
Invisible-Arusha Mjini
Nyani Ngabu -Musoma
Mungi-Serengeti
Molemo-Rombo
Pasco-Namtumbo
WildCard-shinyanga.
EMT-Meatu
MAMA POROJO-Iramba
Preta-Bahi
BADILI TABIA-Ruvuma
Kipipi-Mvomero
Adolph-Tanga
Saint Ivuga-Kasulu
Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa bora umenipeleka Simanjiro nikawasaidie shida ya maji.....
Ila kuna sababu ya wewe kumpanga BAGAH kinondoni....
Ntasema kwanini akiniuliza
Halafu Sweetlady sijaona wilaya yake
 
Hahahahaaa bora umenipeleka Simanjiro nikawasaidie shida ya maji.....
Ila kuna sababu ya wewe kumpanga BAGAH kinondoni....
Ntasema kwanini akiniuliza
Halafu Sweetlady sijaona wilaya yake

Najua wewe ni Mdau katika sekta ya maji ndo maana nimekupeleka Simanjiro.

BAGAH yeye nimempeleka Kinondoni ili atoe msaada kuhusu ishu ya Foleni na usafi wa wilaya. Pia upanuzi wa barabara pamoja na maji. Yeye ni injinia.
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei duh kiteto kule sijui kama nitawezana na mamorani wa kimasai,si watanivamia ofisini
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa bora umenipeleka Simanjiro nikawasaidie shida ya maji.....
Ila kuna sababu ya wewe kumpanga BAGAH kinondoni....
Ntasema kwanini akiniuliza
Halafu Sweetlady sijaona wilaya yake
Kumbe we upo Simanjiro,mi nipo pale kiteto,tutakuwa tunatembeleana
 
Najua wewe ni Mdau katika sekta ya maji ndo maana nimekupeleka Simanjiro.

BAGAH yeye nimempeleka Kinondoni ili atoe msaada kuhusu ishu ya Foleni na usafi wa wilaya. Pia upanuzi wa barabara pamoja na maji. Yeye ni injinia.
Hahaahaaa huyu utamuua kule...kwa kumsaidia mpeleke Namtumbo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom