Wake wa Marais wetu na Mambo yao

Fisadi ni fisadi tu hivi huyu mama ana watoto wangapi kwani anataka kumiliki nyumba ngapi na uzee wote
Ila najua wachaga hawaachi kitu
 
Jamani hebu tusiwe wavivu wa kufikiri tuliojaa wivu na watu wa kulalamika kila wakati.Hoja iko hapo.Haina uthibitisho wowote sisi tunaanza kulalamika na kulaumu watu.Kuna mtu anaweza kututhibitishia madai hayo???Mimi naziona kama chuki binafsi.

Kwa mnaojua sheria,je ni kosa au ni kifungu gani cha sheria kinamkataza mke wa rahisi kuwa mjasiriamali ama kufanya biashara???
Mama Anna Mkapa ni msomi mzuri tu aliyebobea na amekaa katika biashara siku nyingi tuu,je tendo la mmewe kuwa rais linamkataza automatically kuendelea na biashara zake???
Mwenye ushahidi aje mbele aseme labda mchakato wa kununua nyumba hizo ulighubikwa na mazingira ya rushwa.Lakini mimi hadi sasa nayyaona maneno haya kama uzushi tu wa kumsingizia na kumchafua mzee wa watu.

Hebu tuwe makini na matumizi haya ya habari

Mwingine huyu!
 
[QUOTE=Majita;207853]Jamani hebu tusiwe wavivu wa kufikiri tuliojaa wivu na watu wa kulalamika kila wakati.Hoja iko hapo.Haina uthibitisho wowote sisi tunaanza kulalamika na kulaumu watu.Kuna mtu anaweza kututhibitishia madai hayo???Mimi naziona kama chuki binafsi.

Kwa mnaojua sheria,je ni kosa au ni kifungu gani cha sheria kinamkataza mke wa rahisi kuwa mjasiriamali ama kufanya biashara???
Mama Anna Mkapa ni msomi mzuri tu aliyebobea na amekaa katika biashara siku nyingi tuu,je tendo la mmewe kuwa rais linamkataza automatically kuendelea na biashara zake???
Mwenye ushahidi aje mbele aseme labda mchakato wa kununua nyumba hizo ulighubikwa na mazingira ya rushwa.Lakini mimi hadi sasa nayyaona maneno haya kama uzushi tu wa kumsingizia na kumchafua mzee wa watu.

Hebu tuwe makini na matumizi haya ya habari[/QUOTE
]

hivi bwana majita unajua unachozungumza? hujui kuwa nyumba za serikali ziliuzwa kwa wafanyakazi wa serilkali tu? tena kipaumbele kikiwa ni kwa wale waliokuwa wanaishi humo? mama mkapa alikuwa ni mfanyakazi wa idara gani ya serikali huko mbeya?

pili, unadhani familia 12 zitakazofukuzwa kwenye hizo nyumba na hasa baada ya kuzilipia zina kosa gani?
 
Jamani hebu tusiwe wavivu wa kufikiri tuliojaa wivu na watu wa kulalamika kila wakati.Hoja iko hapo.Haina uthibitisho wowote sisi tunaanza kulalamika na kulaumu watu.Kuna mtu anaweza kututhibitishia madai hayo???Mimi naziona kama chuki binafsi.

Kwa mnaojua sheria,je ni kosa au ni kifungu gani cha sheria kinamkataza mke wa rahisi kuwa mjasiriamali ama kufanya biashara???
Mama Anna Mkapa ni msomi mzuri tu aliyebobea na amekaa katika biashara siku nyingi tuu,je tendo la mmewe kuwa rais linamkataza automatically kuendelea na biashara zake???
Mwenye ushahidi aje mbele aseme labda mchakato wa kununua nyumba hizo ulighubikwa na mazingira ya rushwa.Lakini mimi hadi sasa nayyaona maneno haya kama uzushi tu wa kumsingizia na kumchafua mzee wa watu.

Hebu tuwe makini na matumizi haya ya habari

Mzee Majita,

Usifanye watu waanze kufumua visivyohitaji kufumulika. Ni nani aliyekwambia kwamba huyu mama ni "msomi mzuri tu na aliyebobea"? Kasomea na kubobea katika taaluma gani? Oh my God!!!
 
Swali la kwanza kabla sijatoa mchangu wangu:

Je waliouziwa nyumba awali wameshafile kesi mahakamani?

Iwapo bado hawajafanya hivyo hakuna mjadala,iwapo wamefanya hivyo tupitishieni vithibitisho vinavyotumika kwenye kesi hiyo.
 
kazi kweli kweli ... sasa nani wa kumfunga paka kengele

Manager,
Tanzania Buildng Agency,
Landline: 025-2502755,
Mbeya

MKJJ nasikia simu yako haiishiwi muda wa maongezi!!
 
Fisadi ni fisadi tu hivi huyu mama ana watoto wangapi kwani anataka kumiliki nyumba ngapi na uzee wote
Ila najua wachaga hawaachi kitu

Ukabila!
Ina maana wasukuma wote ni mafisadi kama Chenge?
 
Kwanza nauliza hivi Mkapa ana Mke ? Mboni niliwahi kusikia waliachana zamani kwa sababu Mkapa ameonekana ni mbebaji wa virusi vya ukimwi na kila baada ya muda hukimbilia nje kwenda kubadilisha damu ,isitoshe anasemekana anatumia vidonge vya kuzidisha unene ili kukabiliana na kasi ya virusi ya kuudhalilisha mwili na kuukondesha ,nikiangalia naona kuna ka ukweli kwani jamaa kila siku zikienda ananenepa vibaya sana,ila hili la kuwa na mke nimesikia watu wengi tu wakizungumza kwamba Mkapa hana Mke na Huyu Ana ni kufuata itifaki tu ,embu tuekeeni wazi kwa wanautambua hii ambayo inaweza kuwa siri ya wawili hao.
 
Wadanganyika jamani ama kweli NDIVYO TULIVYO!...
Yaani kuna watu wanazungumzia sheria hapa kama vile zinafuatwa na fisadi yeyote.. Hivi kweli mnaishi Bongo au sehemu gani?
Tumeyaona ya Richmond, watu wakitumia wadhifa wao kujineemesha.. hamkukubali uzushi huo mkidai ushahidi hadi ilipobainika kweli na wala msione aibu kujirudi ktk maneno yenu.. Ya Chenge, Karamagi na kadhalika bado kuna watu wanatueleza utaratibu unaotakiwa na hata kubeba mzigo wa kusema haiwezekani..
Mama Mkapa ni mwekeshaji hatari sana ktk Real Estate, ana majumba kibao Dar, Mramba kaishika Arusha Karume anaimaliza Unguja.. Huo Mama Ana wahindi wengi humfuata yeye kununua majumba ya serikali kila siku ofisini kwake utafiukiria ndio wizara ya ardhi, city na kadhalika zimefunga hapo!.
Hivi tunavyozungumza hata watoto wake (The Mramba's) wamejikita ktk ununuzi wa majumba ya serikali wakitumia bnado jina na wadhifa wa Mkapa...
Ama kweli nadhani kutajitajika mwezi kushuka karibu na dunia kwa Wadanganyika kuamini mengi na kila siku tutakuwa tumechelewa usafiri wa bus... hiloooo linaondoka.
 
Huo Mama Ana wahindi wengi humfuata yeye kununua majumba ya serikali kila siku ofisini kwake utafiukiria ndio wizara ya ardhi, city na kadhalika zimefunga hapo!.

Chonde chonde, Mkandara! Huyu mama hawauzii waswahili? Mbona mnaingiza mambo ya kibaguzi kila mahala? Huko Kiwira kuna mhindi gani? Mwengine hapo juu kawashirikisha wachaga kwenye masuala ya huyu mama. Mhukumuni kwa makosa yake lakini msipende kuchochea haya mambo ya kipuuzi. hatutafika mbali hivi.

Amandla!
 
Kweli kabisa Mushi,

Ukabila uachwe kabisa kwenye hili swala

Na kwenye maswala mengine yote!

Lakini ngoja kwanza. Inapokuja kwenye Wahindi, hapo utu unanishinda hata nijitahidi vipi. I mean, wahindi wamezidi kwa kutoa rushwa, hili nalijua!

Majira January 18, 2008:

“Urgently Required: Sales person male/female for a pharmacy at Shoppers Plaza. Should be: Form 1V/V educated. Fluent in English. Tanzanian of Asian Origin. Please contact 0754-673586.”
 
Na maswala mengine yote!

Lakini ngoja kwanza. Inapokuja kwenye Wahindi, hapo utu unanishinda hata nijitahidi vipi. I mean, wahindi wamezidi kwa kutoa rushwa, hili nalijua!

Unanitisha mkuu, kumbe ndio maana wazungu bado wanatubagua, ni kushindwa kujizuia? Kuna club moja hapa ya members only, kisera haina ubaguzi wa rangi lakini yanayofanyika mlangoni wakati wa kuingia huwa yananitia kichefuchefu kila nifikapo! Akipita mzungu, mlinzi anachukulia kuwa ni member, kwa hiyo hamuulizi chochote. Ngoja upite mswahili, utaulizwa kadi na hata ukiwapa itachunguzwa! Kama huna kadi hakyanani unarudishiwa mlangoni!

Kumbe ubaguzi ni imani kali hivi, hata waswahili tunayo? Basi acha tu wabongo watimuliwe huko Sauzi!
 
Hapa kuna tatizo,

1.Mama arudishiwe pesa zake (ambazo pia tunaka kujua alizipataje........)

2.Walionunua nyumba wapewe hati zao haraka iwezekanavyo, ili kieleweke

3.Mama Mkapa unaweza pia uka-negotiate na wakazi hao 12 ukawanunua.....NOTE: utueleze hayo mahela umeyapataje though

4. M-baya wetu mkubwa ni huyu ndg Zongo aliye-facilitate uuzwaji wa eneo hilo + nyumba 12...........huyu inabidi amwagiwe TINDIKALI na achomwe MOTO

5. Je kuna mkono wa SIMU 2000 Limited?

....otherwise, Mwikimbi......keep it up the good work!!
 
Back
Top Bottom