Eng. Hersi Said anaingia moja kwa moja kwenye Vikao vya Kamati ya Utendaji ya Marais wa CAF kwa wadhifa wake mpya!

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
609
1,563
Ningependa kuweka jambo sawa ambalo limetolewa ufafanuzi na shirikisho la mpira wa miguu TFF ya kwamba Mwenyekiti wa chama Cha vilabu barani afrika Eng, Hersi said kwa WADHIFA wake atakuwa anaingia moja kwa moja kwenye vikao vya kimaamuzi vya Marais WA Kanda wa mashirikisho ya vyama vya soka barani afrika WA CAF!

Kuna wale mbumbumbu wa ukoloni bado awajaelewa cheo cha Hersi kinaenda mbali zaidi kifursa na wao wamebaki kukebehi tu wakidhania icho ni cheo kama cha wakina mangungu na try again! Kuingia kwenye vikao vya CAF sio jambo la kupuuzwa labda kwa wale wenye mtindio wa ubongo ndio wanaoweza kubeza!

Hiyo ni connection ya moja kwa moja kwa Hersi kiuongozi maana kesho na keshokutwa huwezi kujua atakuwa wapi ndani ya Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika!

Wazee wa kupigwa kono la nyani watuambie ni kiongozi wao yupi ana WADHIFA mkubwa ndani ya chombo cha soka barani Afrika?

Hawana ubavu wa kupenya kwakuwa hawana lolote la maana walilolifanya ndani ya klabu yao zaidi ya kuimprove kwenye uchawi!
 
HAkuna tofauti na viti maalum hapa bongo kama wale wa jiwe covid 21
 
Ushabiki wa mpira Tanzania ni kichaka cha kulea roho za wivu, husda, chuki na roho mbaya. Hii kauli nimeshaisema mara kwa mara. Wakati Barbra yupo huko au alionekana ana ukaribu na watu wa CAF mlikuwa mnaonyesha chuki za wazi wazi, leo ndiyo mnaona na kusifia kuwa ni fursa nzuri.

Halafu muache kupotosha, hiko chama hakina cheo cha RAIS na pia siyo SHIRIKISHO.
 
Ushabiki wa mpira Tanzania ni kichaka cha kulea roho za wivu, husda, chuki na roho mbaya. Hii kauli nimeshaisema mara kwa mara. Wakati Barbra yupo huko au alionekana ana ukaribu na watu wa CAF mlikuwa mnaonyesha chuki za wazi wazi, leo ndiyo mnaona na kusifia kuwa ni fursa nzuri.

Halafu muache kupotosha, hiko chama hakina cheo cha RAIS.
Tuambie babra alikuwa uko Kama nani kwa nafasi yake na Sasa Yuko wapi!
 
HAkuna tofauti na viti maalum hapa bongo kama wale wa jiwe covid 21
Sasa Kama mmekosa ata ivyo viti maalum ndio mjue viongozi wenu awajakidhi vigezo vya kuiongoza taasisi kubwa na kuingia kwenye vikao muhimu vya kimaamuzi
 
Ushabiki wa mpira Tanzania ni kichaka cha kulea roho za wivu, husda, chuki na roho mbaya. Hii kauli nimeshaisema mara kwa mara. Wakati Barbra yupo huko au alionekana ana ukaribu na watu wa CAF mlikuwa mnaonyesha chuki za wazi wazi, leo ndiyo mnaona na kusifia kuwa ni fursa nzuri.

Halafu muache kupotosha, hiko chama hakina cheo cha RAIS.
Kwanini uwapangie Watu cha kupenda na kuchukia ilihali maisha ni yao wenyewe?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tuwaulize nyie mliokuwa mnamshutumu. Au unataka tufukue makaburi?
Ebu tuambie uyo babra alikuwa na cheo Gani kule caf? Tatizo Lenu mashabiki wa ukoloni mmekuwa mkiishi kwa propaganda Kama za viongozi wenu, tueleze cheo Cha babra kilikuwa ni kipi!
 
Mbona tunazunguka sana bwashee? Tusifanye mambo yakawa mengi. Nyie mlikuwa mnadhani ana cheo gani? Simba ilipokuwa inaalikwa katika vikao vya CAF, mbona hamkuwa mnaisifia kwa kufanya jitihada kutafuta connection ila leo mnamsifia Hersi? Hata Simba kupostiwa tu kwenye page za CAF mlikuwa mnaona nongwa.
 
Kwaiyo Simba ilikuwa inaaalikwa vikao vya caf kutokana na babra? Sasa labda tuweke statement vizuri Eng.Hersi anaingia caf sio kwa connection Bali kwa cheo chake officially, Kama babra alikuwa anakwenda kule kwa connection ulitaka tumsifie kwa ilo? Connection azidumu ndio maana asikiki Tena but mwenzake anapasua anga kwa vitendo na sio maigizo upo apo!
 
Admin wa page ya CAF anajurikana ni Mtanzania na ni mwanasimba.

Ushamba alikuwa anafanya tutusa wenu Ahmed Ally eti anatamba kabisa leo watapostiwa kwenye page ya CAF na kweli inakuwa hivyo, this is unprofessional.
 
Duuh!
 
Kwani nyie mnavyotamba sasa hivi kuwa Hersi atatumia fursa hii kujenga connections ili Yanga ipate wachezaji kirahisi, tofauti iko wapi?
 
Na wewe unaamini hilo? Kwahiyo Mafanikio ya Mamelodi ni kwa sababu mmiliki ni Rais wa CAF si kwa sababu ya uwekezaji?
 
Kwani nyie mnavyotamba sasa hivi kuwa Hersi atatumia fursa hii kujenga connections ili Yanga ipate wachezaji kirahisi, tofauti iko wapi?
Mmmh kuwa na cheo caf ndio unapata wachezaji kirahisi??? Sikulijua hili, kumbe na mosepe anapata wachezaji kirahisi kwakuwa ni Rais WA CAF!!!
 
Back
Top Bottom