Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,080
Ni katika moja ya hospitali niliwahi kwenda kwenye matibabu yangu, hospitali inadeal na mambo ya mishipa / nerves.
Siku nimeenda niliambiwa niende kwa wiki nzima kuna mashine naitumia kwa dakika kadhaa kisha naondoka,
Yani mle chumbani kilichokuwa kikibidi kututenganisha na mtu mwengine ni pazia lakini lilikuwa hata halitumiki.
Kulikuwa na wagonjwa wanaume nadhani ni matatizo ya kukosa nguvu ama vitu vingine walikuwa wanalala chali kwenye kitanda kisha inabidi wavue suruali walale chali sehemu za siri zikiwa wazi, yani hapo pembeni na mimi nikiendea na matibabu yangu naona kabisa mzee yupo na miaka 60 anadanyiwa hivi inabidi tu niangalie pembeni, wale madaktari wala hawajali kutumia pazia,
Mwengine nae kaja kaambiwa ashuhshe suruali naona akawa kama anasita hivi maana mazingira hayana usiri na licha ya kwamba tupo wawili tu bado mlango haujafungwa yani mtu akipita anaona kila kitu.