Wakatoliki tudai mahakama za canon law

Dah! Natamani mahakama hiyo ianzishwe ili majizi yote yaliyoliibia taifa kupitia ESCROW ambayo mengi ni makatoliki yawajibishwe.
sasa naanza kukubaliana na wwe huku tukianza na kialini askofu wangu, tibaijuka, mtoa rushwa rugemalira mwenyewe hadi wakatoliki wote wa pale magogoni ambao wengi wamechukua huu mgao
 
mkuu mbona hayo mapigano hatuyaoni nchi zingine? hivi mimi na wewe tumepanga nyumba moja tupigane kisa kuna mahakama ya kadhi?
tatizo la wakirsto wa nchi hii ni aidha uoga usio na sababu au malengo ya kikanisa na hasa kanisa katoliki. nakumbuka hata uvaaji wa hijabu mashuleni mliupinga sana mpaka waislam wakapigwa virungu na polisi. leo hii hijabu zimeruhusiwa mashuleni kuna ugonvi wowote unaosababishwa na uvaaji wa hijabu na vimini? hebu tuwe realistic mkuu. duniani tunapita tu hatuhitaji kugombani kihiiiivyo.

Hatuna haja ya kuiga nchi nyingine juu ya mahakama ya kadhi. Nchi yetu imeweza kujenga amani kwa muda mrefu kutokana na kutokuwepo aina yoyote ya ubaguzi wa kidini, kauli ya serikali haina dini imesaidia watu wengi kuelewa mantiki yake,lakini kwa mwendo huu wa watu wenye mawazo kama yako sasa hivi tutapigana kati ya waislam na wakristu. ni mjinga tu ndie hawezi kuliona hilo. KWA NINI HAMUWEZI KUANZISHA MAHAKAMA HIYO NYIE WENYEWE? KATIBA TAYARI INATAMBUA IMANI ZA WATU, BASI NI JUU YA WAHUSIKA(Wakristu na waislam,nk.) KUZIIMARISHA, ukipiga kura ya siri juu ya ama ianzishwe au la mtashindwa kwani wanawake wengi wa kislam hawazipendi(utabisha kwa sababu hujatafiti), inapokuwa ktk mirathi ukandamizaji mkubwa sana, mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa hana haki yoyote. Tutarajie migogoro ya ardhi katika ujenzi wa mahaka za kadhi, waislam watapiga watu sanaaaaa, maandandamano sanaaa kudai maeneo. TUNACHOKOZA NYUKI. KWA NINI?
 
Kanisa haliendi kwa mkumbo....Kanisa litasimamia haki kwa wanadamu wote....haki itasimamiwa kwa gharama yoyote......
mkuu haki inayosimamiwa na kanisa ni kama hii hapa chini?

by Mohamed said,,,
Imekuwa kawaida kwa Kanisa kufanya kila juhudi kuhujumu lolote
lile lenye manufaa na Uislam na Waislam kwa kupitia mawakala
wake walio ndani ya serikali ya Tanzania.

Mifano iko mingi na hapa JF mimi binafsi nimeshaitoa JF katika
mijadala kadhaa.

Kanisa limepinga EAMWS kujenga Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
mwaka 1968.

Hii ilipelekea hadi kuvunjwa kwa taasisi yenyewe EAMWS iliyokuwa
inataka kuwaletea Waislam maendeleo.

Katika miaka ya 1980 OIC ilitaka kujenga Chuo Kikuu Tanzania
Kanisa tena likitumia mawakala ndani ya serikali wakahujumu na
chuo hicho kikajengwa Mbale, Uganda.

Katika miaka hiyo hiyo Darul Imaan ya Saudi Arabia ikataka kujenga
Chuo Cha Ufundi Kibaha Kanisa likahujumu Aboud Jumbe akaiomba
Darul Imaan wahamishie mradi huo Zanzibar na Chuo Kikuu Cha
Tunguu kikajengwa.

Zanzibar ikajiunga na OIC mwaka wa 1993 na mawakala wa Kanisa
ndani ya Serikali ya Tanzania wakaja juu na sakata lake ni maarufu.

Nitaweka hapa kiungo atakae asome ajue ukweli:
Zanzibar Membership to Organisation of Islamic Conference (OIC) and Islam in Africa Organisation (IAO) - Mohamed Said

Haya ni baadhi tu ya madhila ya ubaguzi yanayotukuta Waislam
wa Tanzania.

Leo tunaposikia ati tukiwa na Mahakama ya Kadhi ''itavunja umoja
wakitaifa,'' huu unakuwa mzaha mbaya kwetu Waislam.

Viongozi wetu wachunguze watajua ukweli ikiwa kweli hawajui.

Kinachopiganiwa na Kanisa si umoja wa kweli bali muondelezo wa
Mfumokristo uliodumu toka tulipopata uhuru.

Mfumo ambao umeweza kulipa Kanisa Katoliki 76% ya viti katika
Bunge na hiyo 24% iliyobaki ikiwa chini ya madhehebu mengine
ya Kiprotestanti wakigawana na Waislam na Waislam hao mgao
wetu ni 6%.

Atakae kujua ukweli huu na akasome kitabu maarufu cha Dk.
John Sivalon.

Yako mengi lakini haya yanaweza kuwafanya watu wakafikiri.
Ikiwa ipo haja In Sha Allah nitaeleza mengine.

Sasa kwa kumalizia.
Hili la Mahakama ya Kadhi Waislam tunasubiri.
 
Mfumo ambao umeweza kulipa Kanisa Katoliki 76% ya viti katika
Bunge na hiyo 24% iliyobaki ikiwa chini ya madhehebu mengine
ya Kiprotestanti wakigawana na Waislam na Waislam hao mgao
wetu ni 6%.

Kumbe wabunge wanapatikana kwa kupendelewa kidini, nilikuwa sijui.
 
mkuu mbona hayo mapigano hatuyaoni nchi zingine? hivi mimi na wewe tumepanga nyumba moja tupigane kisa kuna mahakama ya kadhi?
tatizo la wakirsto wa nchi hii ni aidha uoga usio na sababu au malengo ya kikanisa na hasa kanisa katoliki. nakumbuka hata uvaaji wa hijabu mashuleni mliupinga sana mpaka waislam wakapigwa virungu na polisi. leo hii hijabu zimeruhusiwa mashuleni kuna ugonvi wowote unaosababishwa na uvaaji wa hijabu na vimini? hebu tuwe realistic mkuu. duniani tunapita tu hatuhitaji kugombani kihiiiivyo.

Wewe inaonekana huna kumbukumbu vizuri, watu walipigana geita na hata mchungaji akauawa kwa sababu ya kugombea haki ya kuchinja, mzozo huo umetulia lakini muda si mrefu utaibuka tena,kupigana si lazima iwe baina ya mkristu na muislam la asha bali inaweza kuwa kati ya muislamu na watu waliokwenda kufanya shoping sokoni(watalipuliwa na bomu kutekeleza nguzo). rejea tangazo la kudai haki ya mahakama hata kwa jihadi, maana yake atakayepinga awe mkristu ama dini nyingine ataingia matatani, je huo uislam wenu ni bora kiasi hicho?mpaka mlazimishe sheria itungwe?au waarabu wapo kazini kuhakikisha nchi hii inaingia kwenye machafuko?lini nyie waislam mtaendesha mambo yenu bila kuwakwaza wasio na imani kama yenu?
 
Siunajua mkimimbana nje ya ndoa mnazikwa hai nusu mlingoti na kupigwa mawe mpaka kufa Kuepuka kumimbana suna ni kuF*R*Na
 
Sijawahi kuona dini ambayo imeshughulisha dunia kama hii ya kiislam. Vijana wengi wa kike na wa kiumwe wameangamia kwa kufuata mkumbo wa imani hii ya kislam, hii si dini ya mwenyezi mungu hata kidogo!!!Udhaifu wa serikali ya kikwete umetufikisha hapa tulipo, waislam wanaonekana ni delicate kwani ni killers if you mess with them,ndicho kinachoonekana nchini mwetu, wakati wa nyerere hakukuwa na watu wanaodai mahakama za kadhi, udhaifu huu umeanza baada ya kupata marais waislam. Fujo za kidini zilianza wakati wa mwinyi, kumbuka Mbokomu butchery manzese. Kikwete alishatoa msimamo kuwa waislam waanzishe mahakama hizo bila kuhusisha serikali lakini akasahau kuwa waislam hawana uongozi wao wa kitaifa kuna misikiti mingi nchini lakini mingine inaongozwa na familia,wajomba au kabila fulani n.k unategemea katika hali kama hiyo wanaweza kujiorganize kuanzisha mahakama ya kadhi??? Chonde serikali msiruhusu kufungua PANDORA'S BOX dhambi ya mauaji itawaangukia nyie.

Afadhali umetambua kwamba dini ya kiislamu imeenea ulimwenguni kote na watu wanashuulika nayo, hii ndio dini sahihi. Kitabu kizima cha bibilia hakuna andiko ''Ukiristo ni dini'' wala hamna andiko ''Nimekuchagulieni dini iitwayo ukiristo'' wala hakuna andiko Yesu anasema '' Mimi ni mola wenu niabuduni'' hao mapapa wakubwa wakubwa wamekuwa wakisema mara kwa mara kwamba dini ya kikiristo ni dini ambayo haina uhakika.

Mpaka leo kitabu chenu cha bibilia haikuonyesha haki za mwanamke wala mwanamme, haki zenu mpaka leo munazitafuta bungeni au kwenye mikutano ya kimataifa kama kule Beijing. sasaivi nimeskia kwenye bunge la Tanzania kwamba katiba mpya mutakuwa na 50-50, ambapo Quran tayari imeshabainisha 50-50 ya wanamume na mwanamke nyinyi bado munahangaika,

Ivi katika hali ya kawaida tu Mungu azaliwe, anyonye, ale chakula ili asife njaa, alafu aende chooni kujisaidia alafu mungu uyo uyo kabla hajazaliwa tayari amekuja kukuta watu ulimwenguni ambao wamemzidi umri mungu mwenyewe lakini haitoshi mungu apigwe misumari ya moto asulubiwe alafu mnaenda kanisani kuimba kwaya mungu yesu mungu yesu,,

Lakini kama haitoshi huko kanisani munakoenda kufanya ibada zenu vazi lenu tu ni umalaya uliopitiliza mungu gani anaabudiwa kwenye vimini namna ile, mkikojoa hamnawi, mkienda choo pia hamnawi mnajifutia makaratasi, alafu isitoshe makao makuu ya ukiristo wenu yapo ulaya wakati huyo mungu wenu alizaliwa arabuni yaani hii dini ni dhaifu kuliko kitu chochote kidhaifu ulimwenguni.
 
Mpaka leo hakuna muislam anayeweza kujibu swali lifuatalo.... " Kwa nini serikali iwaundie mahakama ya kadhi?" utasikia hooo mbona kenya ipo(wanasahau mambo ya mombasa), hoo mbona Afrika kusini, hooo mbona zanzibar ipo(wanasahau kuwa zanzibar mwezi wa ramadhan hakuna kula nje mchana,utashitakiwa). Uliyosema yote sawa lakini nyie wakatili sanaaaaaa, mnaua watu kwa kisingizio cha dini, mafundisho yenu yameathili sana vijana na wanawake, kuchorwa katuni tu na lile gazeti la ufaransa mnaua watu, mungu mnayemuabudu ndiyo kawatuma mumtetee kwa kuua watu?Mtume wenu kwenye bible hajatajwa kabisa nyie kwa kuwafanya watu wajinga mkaja na tafsiri yenu ambayo kwa wakristo ni kichekesho " atakuja yule......." nyie mnasema muhamad ha ha ha haaaaaaaa, kitabu chenu cha quran kinatoa references nyingi sana kutoka kwenye bible vichekesho mnalazimisha kuunganisha utume wa yesu na mohamadi ili ionekane muhamadi kapokea kijiti cha yesu, eti mnasema muhamad ni mtume wa mwisho(sijui nani kawaambia) suala la utume lilishamalizika,yesu alivyosema yeye ndio njia ya kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia yake yeye(utasikia hooo ilo agano jipya limechakachuliwa)ha ha haaaaaaaa. Uislam sio dini ni itikadi iliyoletwa na mtu aliyekuwa akiitwa mohamed miaka mia sita baada ya yesu,sijuhi mlikuwa wapi kipindi chote hicho, jiulize maswali je iwapo baada ya miaka mia tano watu wakaanza kumuabudu kakobe na kusema ndio mtume wa mwisho je mtakubali? basi ndivyo ilivyotokea kwa uislam, ha ha haaaaaa.
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa.

Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate makamama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.

Inaonekana hujui kuwa waislamu ni wakatoliki, nyie wote mnavaa shanga tofauti shanga nyingine ni rozari nyingine ni tasibihi,
 
Afadhali umetambua kwamba dini ya kiislamu imeenea ulimwenguni kote na watu wanashuulika nayo, hii ndio dini sahihi. Kitabu kizima cha bibilia hakuna andiko ''Ukiristo ni dini'' wala hamna andiko ''Nimekuchagulieni dini iitwayo ukiristo'' wala hakuna andiko Yesu anasema '' Mimi ni mola wenu niabuduni'' hao mapapa wakubwa wakubwa wamekuwa wakisema mara kwa mara kwamba dini ya kikiristo ni dini ambayo haina uhakika.

Mpaka leo kitabu chenu cha bibilia haikuonyesha haki za mwanamke wala mwanamme, haki zenu mpaka leo munazitafuta bungeni au kwenye mikutano ya kimataifa kama kule Beijing. sasaivi nimeskia kwenye bunge la Tanzania kwamba katiba mpya mutakuwa na 50-50, ambapo Quran tayari imeshabainisha 50-50 ya wanamume na mwanamke nyinyi bado munahangaika,

Ivi katika hali ya kawaida tu Mungu azaliwe, anyonye, ale chakula ili asife njaa, alafu aende chooni kujisaidia alafu mungu uyo uyo kabla hajazaliwa tayari amekuja kukuta watu ulimwenguni ambao wamemzidi umri mungu mwenyewe lakini haitoshi mungu apigwe misumari ya moto asulubiwe alafu mnaenda kanisani kuimba kwaya mungu yesu mungu yesu,,

Lakini kama haitoshi huko kanisani munakoenda kufanya ibada zenu vazi lenu tu ni umalaya uliopitiliza mungu gani anaabudiwa kwenye vimini namna ile, mkikojoa hamnawi, mkienda choo pia hamnawi mnajifutia makaratasi, alafu isitoshe makao makuu ya ukiristo wenu yapo ulaya wakati huyo mungu wenu alizaliwa arabuni yaani hii dini ni dhaifu kuliko kitu chochote kidhaifu ulimwenguni.

wee hayawani huna ujuacho kuhusu ukristo bora unyamaze tu. Akili za kijinga eti mtu akijamba akatawadha basi kashaiona pepo.
 
Wakristo wamewashika waislam pabaya Hii nchi yani kila kitu hadi wakristo waamue ndio kitendeke. Kadhi sio ya wakristo ila inabidi wakristo ndio watoe kibali. What a shame Kwa Islams!! Kwamba hamuwezi jiongoza

Kweli hamuwezi jiongoza maana tukiwaacha tu Itakua balaa, Ngoja tuendelee kusoma tuzidi kuwatawala. Yetu tunaamua sisi yenu tunaamua sisi pia heheh
 
Nina wasi wasi na ukubwa wa ubongo wako.
Kwa logic kama hii hapa. Aisee. Hongera sana.
Hii ndio moro university product?
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa.

Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate makamama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.

Sasa ndugu zangu kama kitabu chenu cha dini kinawaruhusu kuanzisha si muanzishe, serikali ina kitabu chake ambacho ni katiba. Kesho mtadai na nyumba zenu za ibada mjengewe. Acheni ujinga kafanyeni kazi. Kazi kuoa wake wengi na kukaa vijiweni. msonyo....
 
Back
Top Bottom