Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,213
- 3,589
Kati ya Madhehebu ya TCD (Trinitarian Christian Denominations) ni Wakatoliki pekee ndiyo wanajuwa kuomba.
Madhehebu ya TCD ya Kiporotestanti wafuasi wao wengi hawajui kuomba.
Wakatoliki wamefundishwa kuomba Liturgia nzima 100% kuanzia mtoto wa shule ya Jumapili hadi mzee.
Waumini wa madhehebu hayo mengine wana uvivu wa maombi na wengi hawajui waombeje hata Liturgia yenyewe wanayoimba kwa mwaka mzima.
Ukiambiwa kuomba Kikatoliki kwenye umati Wakatoliki wote walioko hapo wanadakia na kuanza kutiririka na wewe hadi mwisho.
Sasa jaribu kuomba Kiprotestanti kwenye umati, Waprotestanti walioko hapo wanakaa kimya kukutegemea 100% uombe (uwaombee) mwenyewe kwa niaba yao.
Kama ni shughuli ya Wakatoliki akiambiwa mmoja aombe watagombania fursa hiyo kama mpira wa kona.
Sasa aambiwe Mprotestanti mmoja aombe, kimya kitatanda kwa sekunde kadhaa wakiviziana nani ajitokeze.