Wakatoliki tudai mahakama za canon law

Tuwasaidie iingizwe kwenye katiba wakiomba, ila ile hukumu yaukipigwa shavu la kushoto mgeuzie la kulia mh! Yataka moyo wa yesu mnazareti
 
Nchi yetu haina dini inaongozwa kwa mujibu wa sheria nataratibu zilizomo kwenye katiba yetu tukukuka!!
 
wee hayawani huna ujuacho kuhusu ukristo bora unyamaze tu. Akili za kijinga eti mtu akijamba akatawadha basi kashaiona pepo.

Nashkuru umeishiwa hoja kumtetea huyo mungu wako ambaye ndie kimbilio lako unayemtegemea. Karibu katika dini ya kiislam, dini ya kwel na takatifu.
 
Mpaka leo hakuna muislam anayeweza kujibu swali lifuatalo.... " Kwa nini serikali iwaundie mahakama ya kadhi?" utasikia hooo mbona kenya ipo(wanasahau mambo ya mombasa), hoo mbona Afrika kusini, hooo mbona zanzibar ipo(wanasahau kuwa zanzibar mwezi wa ramadhan hakuna kula nje mchana,utashitakiwa). Uliyosema yote sawa lakini nyie wakatili sanaaaaaa, mnaua watu kwa kisingizio cha dini, mafundisho yenu yameathili sana vijana na wanawake, kuchorwa katuni tu na lile gazeti la ufaransa mnaua watu, mungu mnayemuabudu ndiyo kawatuma mumtetee kwa kuua watu?Mtume wenu kwenye bible hajatajwa kabisa nyie kwa kuwafanya watu wajinga mkaja na tafsiri yenu ambayo kwa wakristo ni kichekesho " atakuja yule......." nyie mnasema muhamad ha ha ha haaaaaaaa, kitabu chenu cha quran kinatoa references nyingi sana kutoka kwenye bible vichekesho mnalazimisha kuunganisha utume wa yesu na mohamadi ili ionekane muhamadi kapokea kijiti cha yesu, eti mnasema muhamad ni mtume wa mwisho(sijui nani kawaambia) suala la utume lilishamalizika,yesu alivyosema yeye ndio njia ya kweli na uzima mtu haji kwa baba ila kwa njia yake yeye(utasikia hooo ilo agano jipya limechakachuliwa)ha ha haaaaaaaa. Uislam sio dini ni itikadi iliyoletwa na mtu aliyekuwa akiitwa mohamed miaka mia sita baada ya yesu,sijuhi mlikuwa wapi kipindi chote hicho, jiulize maswali je iwapo baada ya miaka mia tano watu wakaanza kumuabudu kakobe na kusema ndio mtume wa mwisho je mtakubali? basi ndivyo ilivyotokea kwa uislam, ha ha haaaaaa.

Nashkuru sana kwamba hoja zote nilizojenga juu ya udhaifu wa dini ya kikiristo umeshindwa kupangua na kusema sawa. Kwanza naomba ufahamu kwamba dini ya kiislamu haikuanzia pale alipokuja Mtume Muhammad S.A.W, Dini ya kiislamu imeanza tokea kiumbe wa kwanza kuletwa ulimwenguni na Allah S.W.T ambaye ni Nabii Adam ata kabla ya huyo Yesu kuzaliwa, kabla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (ukihitaji kwa nini nabii Adam na uislamu nitakutumia uweze kujifunza)

Kuhusu waislamu kuua, Unajuwa katika dini ya kiislam kuna kitu kinaitwa Jihaad (Vita vitakatifu), Waislamu hawakurupuki tu kupigana na kushambulia lazima kutakuwa na sababu aidha Makafiri wamepiga waislam au ndo kama hivyo wamechora katuni kumtukana Mtume wetu Muhammad S.A.W na mengine yenye mfano wa hayo. Hata wakati wa Mtume Jihaad ilikuwepo Mtume alipigana na Makafiri, Maswahaba wa Mtume pia walipigana na Makafiri, ukifa katika kupigana na Makafiri basi unakufa shahidi malipo yako ni Pepo. Kwaiyo vita dhidi ya Makafiri ni sawa kabisa na hili halina ubishi tunaunga mkono waislamu wenzetu wanaopambana vilivyo na hawa Makafiri amba wanapiga vita uislamu.

Madai ya Mahkama ya Kadhi ni pale pale tu. Ili waislamu tuweze kutekeleza matatizo na migogoro ya waislamu hasa katika ndoa na mirathi dini yetu inatufahamisha kuwa na hii Mahkama ambayo inatambulika kidola nakusudia kwenye katiba ya nchi. Hili halina ubishi kwa vile Waislamu ambao ndio wengi Tanzania hapa ndio nyumbani kwao.
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa.

Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate mahakama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.
Mkuu licha ya Canon Law, hebu soma sehemu hii katika Biblia yako 1Wakorintho 6:4-6! Niambie maana yake ni nini kama sio ninyi kuwa na mahakama zenu! Wakristu wanazo mahakama zao hata kama zinaitwa mabaraza, ila zipo chini ya mifumo ya makanisa yetu. Hatulazimishi kuwa mabaraza yetu ya usuluhishi yatambuliwe na Serikali. Aya hiyo hapo juu ndiyo inayotuongoza katika kuanzisha mabaraza yetu. Wakifanya makosa tu ya kulazimisha mahakama ya kadhi, nasi tutadai kuwa mabaraza yetu yatambuliwe na kulipwa!
 
Hii serikali inaleta mchezo na mambo ya dini! Tutadai nasisi mabaraza kama ulivyotutahayarisha kwenye verse hiyo hapo juu. Asante sana!
 
Nashkuru sana kwamba hoja zote nilizojenga juu ya udhaifu wa dini ya kikiristo umeshindwa kupangua na kusema sawa. Kwanza naomba ufahamu kwamba dini ya kiislamu haikuanzia pale alipokuja Mtume Muhammad S.A.W, Dini ya kiislamu imeanza tokea kiumbe wa kwanza kuletwa ulimwenguni na Allah S.W.T ambaye ni Nabii Adam ata kabla ya huyo Yesu kuzaliwa, kabla ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (ukihitaji kwa nini nabii Adam na uislamu nitakutumia uweze kujifunza)

Kuhusu waislamu kuua, Unajuwa katika dini ya kiislam kuna kitu kinaitwa Jihaad (Vita vitakatifu), Waislamu hawakurupuki tu kupigana na kushambulia lazima kutakuwa na sababu aidha Makafiri wamepiga waislam au ndo kama hivyo wamechora katuni kumtukana Mtume wetu Muhammad S.A.W na mengine yenye mfano wa hayo. Hata wakati wa Mtume Jihaad ilikuwepo Mtume alipigana na Makafiri, Maswahaba wa Mtume pia walipigana na Makafiri, ukifa katika kupigana na Makafiri basi unakufa shahidi malipo yako ni Pepo. Kwaiyo vita dhidi ya Makafiri ni sawa kabisa na hili halina ubishi tunaunga mkono waislamu wenzetu wanaopambana vilivyo na hawa Makafiri amba wanapiga vita uislamu.

Madai ya Mahkama ya Kadhi ni pale pale tu. Ili waislamu tuweze kutekeleza matatizo na migogoro ya waislamu hasa katika ndoa na mirathi dini yetu inatufahamisha kuwa na hii Mahkama ambayo inatambulika kidola nakusudia kwenye katiba ya nchi. Hili halina ubishi kwa vile Waislamu ambao ndio wengi Tanzania hapa ndio nyumbani kwao.

Nani anawakataza kuwa na mahakama za kuchinja vichwa, kukata mikono etc zenu, mzigharamie wenyewe, hakuna anayewakataza. hatutakubali fedha ya wote itumike kwa kukata vichwa kwa kundi moja!
 
Nani anawakataza kuwa na mahakama za kuchinja vichwa, kukata mikono etc zenu, mzigharamie wenyewe, hakuna anayewakataza. hatutakubali fedha ya wote itumike kwa kukata vichwa kwa kundi moja!

Sasa kama ni kugaramia waislam wenyewe ni kwanini munakusanya kodi za waislamu mbali mbali Tanzania ku promote Kanisa toke Tanzania ipate huru? fedha ya waislam kujenga kanisa munaitaka lakini kwaajili ya Mahkama ya Kadhi munaanza kuleta vihoja uchwara
 
We Win8, mbona nakuona (ingawa sikujui) kutokana na posting zako huko nyuma kama msomi with high mental powers, sasa hii reasoning (samahani nitaiita shallow-siyo kwa kukudharau, ila reasoning yenyewe ndiyo shallow))kuwa fedha ya waislamu inajenga makanisa unaitoa wapi!
 
Natamani pia mahakama hiyo ianzishwe haraka ili majizi yote yanayopora wake za watu yashughulikiwe yakiongozwa na Padre Mzinifu
duh dhamira yako siyo yakweli bali nia na lengo lenu ni kuuzima ukawa!!
 
We Win8, mbona nakuona (ingawa sikujui) kutokana na posting zako huko nyuma kama msomi with high mental powers, sasa hii reasoning (samahani nitaiita shallow-siyo kwa kukudharau, ila reasoning yenyewe ndiyo shallow))kuwa fedha ya waislamu inajenga makanisa unaitoa wapi!

Kwa mfano juzi tu Rugemalila amempa Kilaini milioni 40 mchango wa Kanisa na zile hela ni za umma wakiwemo wislamu, lakini pia serikali kupitia mfumo kiristo inatoa michango na mikubwa Zaidi kulijenga kanisa, serikali haina fedha zake mfukon isipokuwa ni fedha kodi za wananchi wakiwemo waislam, Zinakusanywa kupitia TRA hadi Zanzibar kule wanalipa accordingly. lakin kwa hii mahkama ya kadhi sasa Tanganyika wanahoji kodi kwani waislam walipenda kulipa kodi ziende kwenye Kanisa?
 
Mkuu wewe unataka kudai mahakama ya Cannon ilihali tayari inatumika. sheria nyingi za madai zinazotumika ni kutokana na Canon law, tena kwa ubaya zaidi imeingia hata kwenye makosa ya jinai, kama jambazi limeiba na kuua likakimbilia kanisani na kutubu kwa Padre, Padre hawajibiki kutoa ushahidi mbele ya mahakama kwa sababu Padre kisha pewa mamlaka hayo ya kufuta dhambi na watu!
Acha utani na mambo serious kama haya ndugu!!! pandre angekuwa na uwezo huo kisheria maana yake akishasamehe aliyekwenda kanisani kutubu basi mhalifu huyo asingepelekwa mahakamani basi.....DINI ZIBAKIE DINI NA IMANI ZA WAUMINI WAKE....NA SERIKALI IBAKIE KUWA SERIKALI ILI KUSIMAMIA SHERIA ZA NCHI. Haya mambo hayatakiwi kuchanganywa hata kidogo. Kadhi ibakie huko huko ambako serikali husika zimekubali kugawa wananchi wake kwa UDINI.
 
ni kweli kabisa ulichoandika! maana hata yale mauaji yanayoendelea kule Libya, Irag, Afghan na sehemu nyingi zimesababishwa na masheke! kwani yale mabomu ya tomuhak yaliyokuwa yakishushwa kuua watu sehemu hizo yalikuwa ya mashehe!
mnawaprovok waislam kila siku mara mkojolee quran, mara mara mumchore Mtume Mohammad kama kikatuni na madhila mengi kama hayo. baadaye mnakuja na single kuwa waislam wanaleta vurugu. jiulizeni. nyie watu mna matatizo sana.
vurugu za huko geita hazina uhusiano wowote na kadhi court. kama nilivyosema hapo awali. kadhi court haipo tanzania tu, bali ipo sehemu mbalimbali hata zenye waislam wachache kabisa kama south Afrika.
hata hapa Tanzania wakoloni weupe waliwasikiliza waislam wakaanzisha. lakini hata hivyo walipokuja wakoloni weusi wakaifuta 1964.

Wewe inaonekana huna kumbukumbu vizuri, watu walipigana geita na hata mchungaji akauawa kwa sababu ya kugombea haki ya kuchinja, mzozo huo umetulia lakini muda si mrefu utaibuka tena,kupigana si lazima iwe baina ya mkristu na muislam la asha bali inaweza kuwa kati ya muislamu na watu waliokwenda kufanya shoping sokoni(watalipuliwa na bomu kutekeleza nguzo). rejea tangazo la kudai haki ya mahakama hata kwa jihadi, maana yake atakayepinga awe mkristu ama dini nyingine ataingia matatani, je huo uislam wenu ni bora kiasi hicho?mpaka mlazimishe sheria itungwe?au waarabu wapo kazini kuhakikisha nchi hii inaingia kwenye machafuko?lini nyie waislam mtaendesha mambo yenu bila kuwakwaza wasio na imani kama yenu?
 
Sasa kama ni kugaramia waislam wenyewe ni kwanini munakusanya kodi za aislamu mbali mbali Tanzania ku promote Kanisa toke Tanzania ipate huru? fedha ya waislam kujenga kanisa munaitaka lakini kwaajili ya Mahkama ya Kadhi munaanza kuleta vihoja uchwara
uandishi wako tu unatosha kuonyesha kuwa ufahamu wako ni mdogo sana.
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa.

Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate mahakama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.
Mahakama ya kanisa ipo na inafanya kazi bila kudai kuendeshwa kwa gharama za serikali
 
uandishi wako tu unatosha kuonyesha kuwa ufahamu wako ni mdogo sana.

Umeshindwa kupangua hoja unalalamikia uandsh, hapa ni forums hakuna mtu anayeto maks kwa aliyeandka neon kw neno correct, almrad umefaham mantik
 
Acha utani na mambo serious kama haya ndugu!!! pandre angekuwa na uwezo huo kisheria maana yake akishasamehe aliyekwenda kanisani kutubu basi mhalifu huyo asingepelekwa mahakamani basi.....DINI ZIBAKIE DINI NA IMANI ZA WAUMINI WAKE....NA SERIKALI IBAKIE KUWA SERIKALI ILI KUSIMAMIA SHERIA ZA NCHI. Haya mambo hayatakiwi kuchanganywa hata kidogo. Kadhi ibakie huko huko ambako serikali husika zimekubali kugawa wananchi wake kwa UDINI.

Kweli Mkandara analeta utani ndio maana sikumjibu.
 
Back
Top Bottom