Wakatoliki tudai mahakama za canon law

Mutaweza masharti yeke? Kuomba na kufata ni kitu tofauti.
Lakini ukristo unasema nini kuhusu ndoa na mirathi na malezi ya watoto inalo tokea kugombana?
Wajuzi tuelezeni.
Labda itakuwa vema kuanzishwa hio ili taifa liondokane na watoto wa mitaani
 
Hizo mahakama zipo na zinaendelea kufanya kazi bila shida, hatuhitaji kupetiwa petiwa na Serikali, masuala ya dini yaendelee kuwa nje ya serikali!!!!! Wasokuwa na kazi ndo wanataka Mahakama ya Kadhi....... upu.......zi mtupu!
 
Mimi ni mromani, nadhani waromani kipaombele chetu si mahakama bali ni huduma nzuri za kijamii kama elimu, afya, miundo mbinu kama umeme, maji, barabara nk. Ni vyema tuwe makini kwani naamini sisi waromani sio watu wa mitafaruku mizito mpaka kufikia hatua ya kudai mahakama. Mahakama za nchi zinatutosha kwa
sasa.

Hebu sisi kama wakatoliki lazima tuangalie kipi cha kuiga kama kina tija kwetu ama la. Hapa tulipofikia kuna mambo inabidi tu tukubaliane kwa ajili ya amani ya taifa letu ili mradi waislam wapate ambacho ni kipaumbele chao. Hiyo ndio nchi yetu ilipofikia kwa sasa, ukweli ambao wengine hawaukubali lakini hakuna namna ya kuukwepa ukweli zaidi ya kuuishi.

Cha muhimu wenzetu waislam ni angalizo tu nalitoa je mahakama ni kipaombele cha kimaendeleo? Hamuoni mnaiweka jamii ya kiislam kwamba ni jamii yenye mitafuruko mpaka mnaona ni bora mudai mahakama kama kipaombele cha waislamu kwa serekali yao? Sipingi vipaombele vyenu kama dini, lakini tungejitahidi zaidi kuhakisha sheria za nchi zinakuwa makini kiasi kwamba mahakama zinaweza kutenda haki kwa kuhakikisha huduma za kijamii nilizotaja hapo juu zinapatikana kwa usawa. Ukiwa na huduma bora mitafuruku ya kuhitaji mahakama za aina hiyo itapungua kwani utekelezaji wa imani yenu utakuwa kwenye mazingira bora zaidi. Ila ni haki yenu kupata mkitakacho bali mahakama yenu itende kwa dhamira safi. Sio tuanze kuona tena majaji wenu wanakula rushwa kwa waumini wakati dini haitaki.
 
Mimi ni mromani, nadhani waromani kipaombele chetu si mahakama bali ni huduma nzuri za kijamii kama elimu, afya, miundo mbinu kama umeme, maji, barabara nk. Ni vyema tuwe makini kwani naamini sisi waromani sio watu wa mitafaruku mizito mpaka kufikia hatua ya kudai
mahakama. Mahakama za nchi zinatutosha kwa
sasa.

Hebu sisi kama wakatoliki lazima tuangalie kipi cha kuiga kama kina tija kwetu ama la. Hapa tulipofikia kuna mambo inabidi tu tukubaliane kwa ajili ya amani ya taifa letu ili mradi waislam wapate ambacho ni kipaumbele chao. Hiyo ndio nchi yetu ilipofikia kwa sasa, ukweli ambao wengine hawaukubali lakini hakuna namna ya kuukwepa ukweli zaidi ya kuuishi.

Cha muhimu wenzetu waislam ni angalizo tu nalitoa je mahakama ni kipaombele cha kimaendeleo? Hamuoni mnaiweka jamii ya kiislam kwamba ni jamii yenye mitafuruko mpaka mnaona ni bora mudai mahakama kama kipaombele cha waislamu kwa serekali yao? Sipingi vipaombele vyenu kama dini, lakini tungejitahidi zaidi kuhakisha sheria za nchi zinakuwa makini kiasi kwamba mahakama zinaweza kutenda haki kwa kuhakikisha huduma za kijamii nilizotaja hapo juu zinapatikana kwa usawa. Ukiwa na huduma bora mitafuruku ya kuhitaji mahakama za aina hiyo itapungua kwani utekelezaji wa imani yenu utakuwa kwenye mazingira bora zaidi. Ila ni haki yenu kupata mkitakacho bali mahakama yenu itende kwa dhamira safi. Sio tuanze kuona tena majaji wenu wanakula rushwa kwa waumini wakati dini haitaki.
P.t piga tu.
 
Kila madhehebu sasa ni wakati wa kudai haki sawa. Wakatoliki tunaongozwa na Canon Law, basi nasi tupate makamama zetu kama wanavyodai wana imani wenzetu.
Mkuu wewe unataka kudai mahakama ya Cannon ilihali tayari inatumika. sheria nyingi za madai zinazotumika ni kutokana na Canon law, tena kwa ubaya zaidi imeingia hata kwenye makosa ya jinai, kama jambazi limeiba na kuua likakimbilia kanisani na kutubu kwa Padre, Padre hawajibiki kutoa ushahidi mbele ya mahakama kwa sababu Padre kisha pewa mamlaka hayo ya kufuta dhambi na watu!
 
Dah! Natamani mahakama hiyo ianzishwe ili majizi yote yaliyoliibia taifa kupitia ESCROW ambayo mengi ni makatoliki yawajibishwe.
 
Hawa waislamiu walikwishaambiwa wawe huru kuanzisha hizo mahakama wanazozitaka kwa gharama yao. Badala yake wanataka serikali ndiyo iwaanzishie na gharama zote za uendeshaji wa mahakama hizo zigharimikiwe na serikali.
 
Natamani pia mahakama hiyo ianzishwe haraka ili majizi yote yanayopora wake za watu yashughulikiwe yakiongozwa na Padre Mzinifu
 
Hawa waislamiu walikwishaambiwa wawe huru kuanzisha hizo mahakama wanazozitaka kwa gharama yao. Badala yake wanataka serikali ndiyo iwaanzishie na gharama zote za uendeshaji wa mahakama hizo zigharimikiwe na serikali.
MOU ilipoanzishwa baina ya serikali na Kanisa Katoliki hakuna aliyepiga kelele. Tuwaache Waislam wadai haki yao kwa mujibu wa imani yao
 
Hawa waislamiu walikwishaambiwa wawe huru kuanzisha hizo mahakama wanazozitaka kwa gharama yao. Badala yake wanataka serikali ndiyo iwaanzishie na gharama zote za uendeshaji wa mahakama hizo zigharimikiwe na serikali.

Akili finyu hutesa mwili, unataka mke uwezo Wa kumgharamia huna mmeshaambiwa anzisheni, hata kujenga vibanda tu mnashindwa.
 
Kanisa haliendi kwa mkumbo....Kanisa litasimamia haki kwa wanadamu wote....haki itasimamiwa kwa gharama yoyote......
 
nafikir kuna vitu watu hawaelew kuna sir kubwa sana waislam wanayo soon mtasikia vitu ambavyo wengi hamtaamin endeleen kuchokonoa mambo ya kadhi
 
Hawa waislamiu walikwishaambiwa wawe huru kuanzisha hizo mahakama wanazozitaka kwa gharama yao. Badala yake wanataka serikali ndiyo iwaanzishie na gharama zote za uendeshaji wa mahakama hizo zigharimikiwe na serikali.

Sijawahi kuona dini ambayo imeshughulisha dunia kama hii ya kiislam. Vijana wengi wa kike na wa kiumwe wameangamia kwa kufuata mkumbo wa imani hii ya kislam, hii si dini ya mwenyezi mungu hata kidogo!!!Udhaifu wa serikali ya kikwete umetufikisha hapa tulipo, waislam wanaonekana ni delicate kwani ni killers if you mess with them,ndicho kinachoonekana nchini mwetu, wakati wa nyerere hakukuwa na watu wanaodai mahakama za kadhi, udhaifu huu umeanza baada ya kupata marais waislam. Fujo za kidini zilianza wakati wa mwinyi, kumbuka Mbokomu butchery manzese. Kikwete alishatoa msimamo kuwa waislam waanzishe mahakama hizo bila kuhusisha serikali lakini akasahau kuwa waislam hawana uongozi wao wa kitaifa kuna misikiti mingi nchini lakini mingine inaongozwa na familia,wajomba au kabila fulani n.k unategemea katika hali kama hiyo wanaweza kujiorganize kuanzisha mahakama ya kadhi??? Chonde serikali msiruhusu kufungua PANDORA'S BOX dhambi ya mauaji itawaangukia nyie.
 
Back
Top Bottom