Waislam huwa hawaogopi kufa hasa pale wanapodai maslahi ya kidini tena mtu akifa ktk njia hiyo anakuwa ktk hali nzuri sana mbele za mungu, kwani amekuwa amekufa shahidi, we sherehekea tu kuuawa kwa waislamu.hawa watu wakabidhiwe kichapo cha nguvu wakalale miezi6 ..cheza na JWTZ?waacheni waone wenyewe.
Kama ilivyo tangaza kuwa hakuna mkutano mpka sensa iishe unafikiri nini kilifanyika!Hivi wana nini hawa ndugu? Serikali imeshatangaza kupiga marufuku mihadhara na mikusanyiko ya kidini,sasa wao kuamua hivi si wanataka shari kwa makusudi kabisa! Nina wasiwasi na nia ya hawa watu hapa nchini. La kusikitisha zaidi kuna vijana wengi wanapelekwa pelekwa kwa mgongo wa imani bila kujua nia ya viongozi wao. Sumu haionjwi kwa kuilamba.....subiri mtakiona cha moto!
Waislamu napenda mjue kuwa tunatia aibu, na pia mfahamu kuwa kuna kikundi flan au niseme genge la wahuni ambao lazima wametumwa kuvuruga uislamu ili uonekane ni dini isiyofaa na ni dini ya wahuni wavunjifu wa amani si kwa tanzania pekee bali kwa dunia nzima...acheni kabisa mambo ya maandamano.
Hiyo siku ya ijumaa ni moja ya masiku matukufu, msiwaponze wenzenu ambao ilibidi wawe na familia zao ndugu, jamaa na majirani wakila nyama za mbuzi, eti wakalale segerea kwa jambo lisilo na msingi.
Mwisho wa hao akina Simba ni mwaka 2015 pale sisi emu itapofunga virago na wao watatakiwa kufungasha vya kwao..
baada ya hapo ni jela bila mashitaka na hamna kuwapeleka keko, ni segerea tu
Leo mi mwenzenu ntafunga simu tasbihi kuubwa mkononi navuta uradi na kesho wa kwanza masjid then saa tatu tatu hivi nachinja kambuzi kangu tule na jamaa zangu... halalan min twaibati
Waislam huwa hawaogopi kufa hasa pale wanapodai maslahi ya kidini tena mtu akifa ktk njia hiyo anakuwa ktk hali nzuri sana mbele za mungu, kwani amekuwa amekufa shahidi, we sherehekea tu kuuawa kwa waislamu.
Kwa Freemason ni kawaida kufurahia kwani ni sehemu ya ibadaJWTZ wapo fit kuwaangamiza hao Waislam. Waandamane tu ili nishuhudie wanavyoangamizwa. Itakuwa ni sherehe siku hiyo.