Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

kuandamana ni kutaka kuleta vurugu na kuaribu amani,its now the right time for the government to clear this muslim extremists once and for all..
 
WAISLAMU WAPANGA KUANDAMANA IJUMAA - 26 OCT 2012.

Naipenda nchi yangu. Mficha Maandamano, ghasia humuumbua. Taarifa hii inalinda amani yetu wote. Hili jambo ni Nyeti kwa mustakabali wa Taifa letu.


Baadhi ya miskiti inapanga kufanya maandamano makubwa siku ya Ijumaa tarehe 26 oct 2012 kwa mujibu wa taarifa zilizovuja kutoka kwenye misikiti . Misikiti hiyo ni ile ambayo ni maarufu kwa kufanya maandamano chini ya Ponda na wanaharakati wengine wa kiislamu. Taarifa kutoka ndani ya misikiti hiyo zinaeleza kwamba mpango huo unaratibiwa baada ya Ponda kukamatwa na kunyimwa dhamana.

Mpango huo unafanywa wakati wa swala za kila siku bila kutumia vipaza sauti ili vyombo vya dola na wanajamii wasiwe na taarifa hizo. Maazimio ni kwamba hadi kufikia saa 9 mchana wa siku ya Alhamisi 25 Oct 2012 kutakuwa na maandamano sehemu mbalimbali za jiji la Dar es slaam kama Sheikh Ponda atakuwa bado hajaachiwa huru au kuendelea kunyimwa dhamana. Kwa mujibu wa taarifa hizo, mpango mzima ni kuhakikisha kwamba maandamano hayo yanapangwa misikitini chini ya usiri mkubwa na utawahusu waumini wataokwenda misikitini .

Miongoni mwa mbinu zitakazotumika:-

- Maandamano yatapangwa kwenye makundi madogo madogo tofauti na ilivyozoeleka katika kundi moja kubwa ili kukwepa vizuizi vya vyombo vya dola. - Wanaume wameelezwa kuwa siku ya maandamano wasivae mavazi ya kiislamu yaani kanzu na balagashia.

- Wanawake watakaoandamana wameelezezwa kwamba kwa nia ya kuutetea uislamu siku hiyo wasivae baibui wala hijabu.

- Baadhi ya waandanaji wameelekezwa ikibidi wanunue vitambulisho vya ukristo kama rozari, vazi la Watawa au tai ya wachungaji zinazotumiwa na kanisa ili kuficha uislamu.

- Masheikh viongozi hawatatumika kutoa amri ya maandamano hayo ili kamatakamata ikianza viongozi wasikamatwe ili kuendeleza mapambano. Vijana maalum wameandaliwa kwa kazi hii.

- Vijana wa kukodi kutoka Zanzibar na Kenya (Waislamu) watakuwepo kuongeza hamasa ya maandamano na kudai haki za waislamu. wanajipanga Ijumaa ifike ...zanzibar na bara hakutakarika!

- Kipindi chote kuelekea siku ya kuandamana masheikh wafuasi wa Ponda watakuwa wanatoa hotuba kali dhidi ya serikali, vyombo vya dola na chuki dhidi ya ukristo ili kuwapa munkari vijana kupambana.

- Mpango wa kundi moja katika ya makundi hayo litaandamana kuelekea Ikulu kutimiza azima yake.

- Kundi lingine litaelekea Wizara ya Mambo ya Ndani.

- Watatumia Radio Imani, gazeti za Alnuur na Alhuda kuhamashisha Waislamu. Vyombo hivyo vinaendelea kusambaza chuki ndani ya jamii.

My take:

- Watanzania tukishabikia mambo haya ya udini, tutaangamiza taifa letu, nchi hii ni zaidi ya uislamu na ukristo.

- Wakati wa maandamano kama hayo jamii iwe mbali na waandamanaji na kuepuka kukaa kwenye makundi ili kukwepa mkono wa dola. Tangazo la JWTZ limetoka kutahadhalisha uvunjifu wa amani.

- Kama huna safari ya muhimu na kama inawezekana siku ya Ijumaa vunja safari zako baada ya kuwaona waandamanaji. Mji ukiwa mweupe tutakuwa tumevisaidia vyombo vya ulinzi na usalama kukabiliana na waandamanaji ambao wanapozidiwa hujichanganya na raia wema.

- Jeshi la Polisi na JWTZ fuatilieni mpango huu kwa ajili ya kulinda amani ya nchi wapenda nchi wako nyuma yenu.

- Tuombe wenye source zaidi na wanaipenda nchi hii waziweke jamvini ili watu waifahamu hali ya nchi kwa sasa na kusaidia kujua wawe na msimamo gani. Ushabiki au kejeli hazibadili fikra za watu.

- TANZANIA TULIYOPEWA NA MUNGU KWA UPENDELEO INAONDOKA TARATIBU !!!!!!. bye bye Tanzania.

Amani ya Tanzania haitarudishwa na JWTZ. Bila ya haki ,hakuna amani.
 
Kwani mkulu si awaombe radhi kuwa aliwatumia lakini hakuwa na nia ya dhati ya kuwatekelezea yale aliyowaahidi
wakati wa kampeni? Andamaneni ili mradi tu sasa msiguse mali zetu wala chochote kinachotuhusu maana this time
Mungu atatuma malaika wawakung'ute mpaka akili ziwakae sawa.
 
JWTZ wapo fit kuwaangamiza hao Waislam. Waandamane tu ili nishuhudie wanavyoangamizwa. Itakuwa ni sherehe siku hiyo.
wanapopigana waislamu basi hutaraji vitu 2 kushinda ama kufa na wanapokufa ktk hizo harakati basi kwao ni bora zaidi kuliko kuishi kwa manyanyaso
 
Mkuu sasa ni muda wa serkali yetu kupitia JWTZ kuwaangamiza na kuwachinja vichwa kama kuku hawa mawakala wa shetani na kuhakikisha kanzu zinakuwa fupi kama vipedo kutokana na kipigo cha kufa mtu watachopewa.
sio kauli nzuri hizo ukizingatia lengo letu humu ni moja sidhani kama kuna mafundisho yoyote iwe kipaimara ama ekaristi watu wakafundishwa kutukana imani nyingine na haikutokea enzi za Yesu
 
kwa hali hii sijui vyombo vya usalama vinasubiri nini kumuachia Shekh Ponda na wenzake au wanataka vita na waislamu hawajui kama katika nchi hii kuna watu wa dini tofauti sasa iweje Uislamu uwe sababu ya kuingia vitani wenyewe kwa wenyewe
 
ss y wasfuate sheria ili kuiondoa?aah wanaboa bana,subirini mwamnyange atavyowaonyesha shoo
 
Nadhani hili linakuja baada ya kuisoma hii makala https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/342036-hawa-ndio-wabaya-wa-waislamu-na-uislamu-wenyewe-kwa-tanzania-9.html

Nashangaa wenzangu na mimi wengine walikuwa wanabisha kwa kumuona Mohamedi Mtoi kuwa anatumiwa.

Bakwata ni janga japo njia inayo taka kutumika sio muafaka.
 
wanapopigana waislamu basi hutaraji vitu 2 kushinda ama kufa na wanapokufa ktk hizo harakati basi kwao ni bora zaidi kuliko kuishi kwa manyanyaso


mkuu

Ni bora kujiweka mbali na shali, vurugu na rapsharapsha.

Mungu ni mwema na ni mwema sana kwa watu wote wanaomtii.

Nani anaushahidi kwamba ukifa au kusababisha maafa kwa kumpigania mungu kunatoa tiketi ya kuenda peponi?


Tunapeana moyo tu hakuna alieenda akarudisha ushahidi, wengi wataingia motoni kwa kauli hizi tata unless huo moto haupo.
 
Hawa wanatafuta kila sababu kuanzisha vurugu ili kuwafurahisha mabwana zao. Mbona shehe mkuu alishasema kuwa BAKWATA haitaondoka kwa maandamano wala vurugu bali kufuata sheria na katiba yake? Je wanaogopa nini kufuata sheria na katiba yao wenyewe kama siyo wazushi na waleta fujo. Ila kipindi hiki bwana Dhaifu naona hatavumilia. Maana akiendelea kuwalea atalipia yeye.

mkuu watu hawa ni sikio la kufa mtu?? Mtu kama shekh PONDA hajasoma ni galasa la kutupwa halafu kuna vilaza wenzake wanamuaminia na kumnyenyekea na kumfuata eti ndio kiongozi wao ?? Je??? Unategemea mawazo na matendo gani kutoka kwake????
 
hayo ndo mafundisho ya jihad huwa hawaingii vitani burebure ila i get u vita havina macho tumuombe mungu atuepushe
 
lazima uongozi wa bakwata uondoke, nashangaa kuna mijitu wala sio waislam wanaitetea bakwata, hawapendi kuona waislam wanafanikiwa.

Thred kama hizi huwa zinadhihirisha chuki iliyo mioyoni mwenu dhidi ya uislam, cha ajabu nyie ndo wakwanza kulalamika waislam hawawapendi kama vile nyie ndo mnao wapenda sana.
 
Mimi naamini polisi,jwtz wana uwezo wa kuwa zuiya waislamu lakini hakuna dini yoyote yenye uwezo wa kuwazuia ndio maana makanisa yame chomwa hakuna mbwa yeyete jalibuni muone.
 
...wana haki ya kuandamana, ila sababu ziwe za msingi. Mfano, itakuwa ni aibu kuandamana ili waalifu waachiwe.
Italeta tafsiri kuwa waalifu wakiwa wa dini flani hawatakiwi kushtakiwa.....

oooh! Au ni shinikizo jingine la kutaka mahakama ya kadhi!! .

...imeshatugharimu, tuwe makini ili tusifike mahali pa kuwekeana visasi maana mwisho wake hautapatikana kirahisi.

Amani ni kama nyumba ya maskini inayojengwa kwa miaka mingi mpaka kukamilika, ila likija katapila linaibomoa kwa dakika chache sana.

Wenye busara ndani ya uislamu wakati ndio huu kutumia busara kwa kadri ulivyojaliwa na Allah'

Tuwe na upendo kwa wote.
 
Back
Top Bottom