Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Status
Not open for further replies.

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Tayari maandalizi yameanza. yataanzia viwanja mbali mbali na kumalizia kidongo Chekundu ambapo viongozi wa kiislam watahutubia kwa kueleza jinsi ya baraza hilo lilivyokuwa kikwazo wa wanafunzi wa kiislam.

Agenda ni kumlazimisha DK ndalichako kungoka NECTA na kufanyika uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za baraza la mitihani kuwafelisha wanafunzi wa kiislam

Redio imaan inatarajiwa kurusha LIVE

MY TAKE
Inawezekana hata huko Zanzibar matokeo ya wanafunzi yamechakachuliwa na NECTA. maana huko 98 ni muslim

318175_235512403218406_970257339_n.jpg

Waumini wa dini ya kiislamu wakiandamana kwa Kile walichodai kufelishwa kwa makusudi kwa mitihani yao
 
Ninachokumbuka ni kuwa wamepewa kibari cha mkutano na si maandamano
 
Si walishatangaziwa kuwa ni marufuku kuandamana leo ama hawakusikia??? Wajaribu ku beep polisi waone kama watapigiwa ama watapotezewa....
 
si kawajibu tayari, sasa hau hata kusoma hawajui, magazeti yote serikari imewajibu
 
Si walishatangaziwa kuwa ni marufuku kuandamana leo ama hawakusikia??? Wajaribu ku beep polisi waone kama watapigiwa ama watapotezewa....

connect dots, FFU wafanye fujo leo na kesho CCM wafanye mkutano? inawezekana kweli?
 
maandamano yanaanzia wapi jamani tujimwage?
leo sijui tuchome nini na ukizingatia mfukoni sina kitu mimi nataka yatakayopita mtaa wa congo karibu na maduka ya wapemba.
 
Tayari maandalizi yameanza. yataanzia viwanja mbali mbali na kumalizia kidongo Chekundu ambapo viongozi wa kiislam watahutubia kwa kueleza jinsi ya baraza hilo lilivyokuwa kikwazo wa wanafunzi wa kiislam.
Agenda ni kumlazimisha DK ndalichako kungoka NECTA na kufanyika uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za baraza la mitihani kuwafelisha wanafunzi wa kiislam

Redio imaan inatarajiwa kurusha LIVE

hawa majamaa cwaelewagi kabisa samtaim. hivi wanataka Joyce aslimu? au?
 
ni haki yao kuandamana bila fujo, hizo intelejensia za uongo za polisi zisiwazuie waislam kuandamana; Baraza limekosea sana waacheni wamalize hasira zao; waziri amekosea sana kutoa story bila kuajibisha watu, hii ni mtihani kitaifa kosa lililofanyika ni la kijinga mno. Waachwe wamalize dukuduku lao, na ikibidi ndalichako kula kona, how was that stupid mistake possible through your established system? one would be tempted to think otherwise, hasa kama nae hali yake ya kielimu ni mchelemchele.
 
Tayari maandalizi yameanza. yataanzia viwanja mbali mbali na kumalizia kidongo Chekundu ambapo viongozi wa kiislam watahutubia kwa kueleza jinsi ya baraza hilo lilivyokuwa kikwazo wa wanafunzi wa kiislam.
Agenda ni kumlazimisha DK ndalichako kungoka NECTA na kufanyika uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma za baraza la mitihani kuwafelisha wanafunzi wa kiislam

Redio imaan inatarajiwa kurusha LIVE

Of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, LAKINI mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me I will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.
 
of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, lakini mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. Nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me i will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.
usiokijua hutakijua maisha. Hapa mungu ameonyesha tu. Kuna mengi ndani ya necta yamejificha
 
Hongereni wa Tanganyika na waislam kijumla kuiona dhulma hiyo na kuiondosha kwa mikono yenu na sio kusubiri ihsani,

Mola yupo nanyi.

Radio imaan ipo kwenye mtandao na tulio nje ya Tz tutawasikia na tupo pamoja nanyi katika kupigania haki zenu hususan katika ilmu.
 
nichofahamu baraza la mitihani huenda namba tu..! kwa hiyo kuna namba za kiislam..???

hakuna ukilaza unaozidi kuingiza swala la taaluma kwenye dini na siasa! wanafunzi vilaza ndio wanaofeli wawe wakristo, waislamu au wapagani!!
 
Wawaruhusu waandamane ila Serikali iweke ulinzi mkali kwenye makanisa na mali za wachungaji.

Mkuu sio dola ilinde makanisa na mali za watumishi wa Mungu, kumbuka hoja ya polisi kuzuia maandamano ni kutokana na uchache wao. Hapa ni wakristo kujilinda wao na mali zao yakiwemo makanisa yao. Polisi wao wakae standby kwenda kule zitakapo tokea vurugu. Nafikiri hii ndo njia salama kwa makanisa na mali za Wakristo kwa leo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom