Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Status
Not open for further replies.
nichofahamu baraza la mitihani huenda namba tu..! kwa hiyo kuna namba za kiislam..???

kuelewa essence ya kinachojadiliwa kabla ya kuchangia ni dalili ya great thinker. Baraza wamekiri kuwa walifanya makosa na ndo maana wakarekebisha, sasa unaweza kujiuliza ni kwanini makosa hayo yafanyike kwa somo la kiislam na kwa wanafunzi wa kiislam tu na isiwe kwenye bible knowledge. Na mambo kama hayo lazima yalete dhana mbaya kwamba yanaweza kutokea hata kwa masomo mengine.
 
Of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, LAKINI mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me I will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.
Mkuu CHUAKACHARA, inaonesha jinsi gani kidhungu kinavyokupa shida! kwanini ujipe shida wakati unawasiliana na sisi wamatumbi wenzako?
 
Si walishatangaziwa kuwa ni marufuku kuandamana leo ama hawakusikia??? Wajaribu ku beep polisi waone kama watapigiwa ama watapotezewa....

Wanachotaka ndio hicho hasa wamepotea kwenye media siku nyingi, wanataka waandikwe ili waonekane wapo. Huwa najiuliza tangu lini wenzetu wakaipa elimu uzito huo, je viongozi wao wamesoma? agenda iliyojificha ni udini sio hiyo ndo maana zenj wamechoma makanisa wakidai muungano, tatizo lao ni ukristo sio Necta
 
kuelewa essence ya kinachojadiliwa kabla ya kuchangia ni dalili ya great thinker. Baraza wamekiri kuwa walifanya makosa na ndo maana wakarekebisha, sasa unaweza kujiuliza ni kwanini makosa hayo yafanyike kwa somo la kiislam na kwa wanafunzi wa kiislam tu na isiwe kwenye bible knowledge. Na mambo kama hayo lazima yalete dhana mbaya kwamba yanaweza kutokea hata kwa masomo mengine.
yamefanyika kwenye islamic
knowledge kwa sababu mfumo wa kukokotoa wastani ulifanya kama wamefanya mitihani mitatu ulivyokuwa programmed siku zote lakini kumbe awamu hii wameanza kufanya mitihani miwili tu...ni kitu kidogo kilichorekebishwa na kisitumike ku justify madai ya waislam kwamba wanaonewa...naona hapa ni kwamba watu wamepata upenyo wa kutoa frustrations zao baada ya wanafunzi wengi wa kiislamu kufeli na wale wa zanzibar kufutiwa matokeo yao ya form iv...nilikuwa mdogo lakini natamani sana yale mambo ya nguvu kazi yarudi maana majitu yanajikalia tu bila cha kufanya mpaka yanaanza kujazana uchafu wa kufikirika kichwani...!
 
Hongereni wa Tanganyika na waislam kijumla kuiona dhulma hiyo na kuiondosha kwa mikono yenu na sio kusubiri ihsani,

Mola yupo nanyi.

Radio imaan ipo kwenye mtandao na tulio nje ya Tz tutawasikia na tupo pamoja nanyi katika kupigania haki zenu hususan katika ilmu.
Ustaadhi Barubaru, haki ya Elimu haipiganiwi kwa maandamano bali kwa utafiti wa kisayansi kubaini chanzo cha tatizo na kuchukua hatua stahiki. Hata kama Ndalichako akiondolewa baraza na akawekwa mvaa hijabu bado kiwango cha eilimu hakitapanda na waislamu wataendelea kufeli tu. Wewe kama msomi wa PhD ulipaswa kuwasidia waislam wenzako na sio kuwaunga mkono kwenye mambo ya kipumbavu.
 
waachwe waandamane ili duku lao liishe, angekuwepo kamanda TIBA angewaacha ili ajue nini kiini, kuwazuia huwezi jua kiini, ndio maana Kamanda TIBA kwa hili alilioona akawa anawaacha watu wote, wazee, vyama, na NGO mbali mbali.
 
kama kumuachia mungu. Chadema ina madri 3. Lkn wanahaha kutaka ikulu. Jee wao hawamjui mungu?
Hivi NECTA inaendeshwa na serikali ya CHADEMA? maana maudhui ya hoja yenu ni NECTA kuwaonea wanafunzi wa kiislamu,lakini chalange zenu zimeelemea Chadema why?
Badala ya kupambana na CCM na Waziri Shukuru Kawambwa wa Elimu nyie mnawarukia Chadema. Hapo ndipo mnapopoteza maana ya hoja yenu na kuonekana uwezo wa kufikiri una walakini. Chadema ina lengo la kuwa na serikali makini ambayo watendaji wake hawatakuwa wanafanya makosa ya hovyo hovyo kama yaliyojitokeza huko NECTA.
Iungeni mkono Chadema mpate NURU na maendeleo, msiikatae CCM kwa mkono wa kulia huku wa kushoto mnaikumbatia,huo unaitwa UNAFIKI.
 
Mkuu sio dola ilinde makanisa na mali za watumishi wa Mungu, kumbuka hoja ya polisi kuzuia maandamano ni kutokana na uchache wao. Hapa ni wakristo kujilinda wao na mali zao yakiwemo makanisa yao. Polisi wao wakae standby kwenda kule zitakapo tokea vurugu. Nafikiri hii ndo njia salama kwa makanisa na mali za Wakristo kwa leo.

Si kweli kimsingi hoja ya kuzuia maandamano ni kuepusha uharibifu wa hawa watu kwasababu hawaeleweki wanaweza wakawa na madai "X" kutoka kwa "B" lakini wakachoma majengo "A" yanayomilikiwa na "Y"
 
Hivi NECTA inaendeshwa na serikali ya CHADEMA? maana maudhui ya hoja yenu ni NECTA kuwaonea wanafunzi wa kiislamu,lakini chalange zenu zimeelemea Chadema why?
Badala ya kupambana na CCM na Waziri Shukuru Kawambwa wa Elimu nyie mnawarukia Chadema. Hapo ndipo mnapopoteza maana ya hoja yenu na kuonekana uwezo wa kufikiri una walakini. Chadema ina lengo la kuwa na serikali makini ambayo watendaji wake hawatakuwa wanafanya makosa ya hovyo hovyo kama yaliyojitokeza huko NECTA.
Iungeni mkono Chadema mpate NURU na maendeleo, msiikatae CCM kwa mkono wa kulia huku wa kushoto mnaikumbatia,huo unaitwa UNAFIKI.

usidanganye watu wewe. chadema full cristian, bora ya ccm ina ahueni kuliko chadema hii
 
kama kila jibu linapaswa kukubaliwa basi leo hii pasingekuwapo na m4c, malalamiko ya mfumuko wa bei, uundwaji wa rasimu ya sheria ya uundwaji wa katiba mpya. Kwani viongozi walishatoa majibu ya kua huo ni upepo utapita tu, tatizo la mfumuko wa bei sio tanzania tu bali dunia mzima, na sheria ishaundwa labda wanalao jambo. Lakini majibu haya hayakuwa majibu sahihi ndio tumefika hapa. Ukijadili jambo jadili kwa mapana ukitumia ubongo na sio but........................!!!!!
 
Si walishatangaziwa kuwa ni marufuku kuandamana leo ama hawakusikia??? Wajaribu ku beep polisi waone kama watapigiwa ama watapotezewa....

Hawa wataandamana na polisi hawawafanyi kitu. Unajua sababu?, Mkutano wa CCM wa kesho. Polisi wakianzisha vurugu kwa kuvunja maandamano basi kesho jangwani hawatapata mtu na pia huenda mazingira yasiruhusu mkutano wa Jangwani kesho.
 
Mkuu CHUAKACHARA, inaonesha jinsi gani kidhungu kinavyokupa shida! kwanini ujipe shida wakati unawasiliana na sisi wamatumbi wenzako?

I can assure you my English is better than your imaginations. That was a slip of fingers
 
Tayari watu wanaelekea kidongo chekundu. Mabango mbali mbali yanaonekana yameenea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom