Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Status
Not open for further replies.
Si walisha pigwa marufuku kuandamana! Wanatakiwa kufanya mkutano tu. Ila si shangai maana wanavichwa vigumu sana. Kama mtu ni timamu wa akili utajua kuna tatizo kwenye vichwa vya hawa watu. Eti baraza la mitihani lina wafelisha waislam!,haya ni maneno ya kitoto kabisa.
 
Hawa the so called waislamu wananishangaza sana, hivi kwani hiyo mitihani imesahihishwa na ndarechako?? the answer is no. imesahihishwa na waislamu wenyewe sasa huyu mama wa watu mnafanya maandamano ya nini?

watz tuandamane kwa masilahi ya taifa letu na si vinginevyo.
 
Wajameni hawa hawana wanazuoni waliobobea elimu dunia wawape msaada jinsi mitihani inavyosahishwa na compilation inavyofanyika kwa kutumia namba na siyo majina?
 
Si kweli kimsingi hoja ya kuzuia maandamano ni kuepusha uharibifu wa hawa watu kwasababu hawaeleweki wanaweza wakawa na madai "X" kutoka kwa "B" lakini wakachoma majengo "A" yanayomilikiwa na "Y"
hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa akili!!
 
kaka,weka source,after all,hawa waandamanaji waangalie wasije wakawa kama luddism yani wanadai haki yao kwa mtu ambaye siyo sahihi,jamani mitihani inasahihishwa hainaga majina ni number tu
 
usidanganye watu wewe. chadema full cristian, bora ya ccm ina ahueni kuliko chadema hii
kuna wakati huwa najiuliza kama kuna watu kama ndugu yetu hapo juu wanawahujumu waislam humu jf kwa kujifanya wao ni waislam kumbe lengo lao ni kuudhalilisha uislam...lakini kinachosikika kwenye radio imaan/annur/mihadhara ni hichohicho anachokisema madau hapo juu...nadhani waislam wenye busara zao inabidi waingilie kati amasivyo haya matope mashehe wanayoupaka uislam yatakuja kuifanya dini ya kiislam idharaulike kama ya wavuta bangi na wala unga tu...
 
kaka,weka source,after all,hawa waandamanaji waangalie wasije wakawa kama luddism yani wanadai haki yao kwa mtu ambaye siyo sahihi,jamani mitihani inasahihishwa hainaga majina ni number tu
hahahah. Ndio unavyojidanganya? Hivi mkufunzi anavyotaka kumadaka mwanafunzi chuo kikuu unadhani hazitumiki number? Kwa hivyo necta hakuna majina kuna number tu. Mbona kwenye matokeo yanatoka majina?
 
Kwa nini hao waislam wasimtake Waziri wa Elimu ajiuzulu, au hata kuelekeza salama kwa waziri? Mwenye dhamana ya mambo ya elimu ni waziri wa elimu sasa kwanini hatusikii wakilalamika kuhusu Shukuru Kawambwa kama msimamizi mkuu wa mambo ya elimu hapa nchini?
 
Tume kuundwa kuchunguza kiini cha tatizo:


"Baadhi ya wajumbe watakaounda tume hiyo, pamoja na idara nyingine watatoka Idara ya Elimu Sekondari, Baraza la Shule za Kiislam, Ukaguzi na Mjumbe kutoka katika idara inayotunga mitaala ya somo la Maarifa ya Uislam( Islamic Knowledge)."

sosi: mwananchi

I hope hawa wajumbe wataleta majibu stahiki.
 
usiokijua hutakijua maisha. Hapa mungu ameonyesha tu. Kuna mengi ndani ya necta yamejificha

....kama yapi?na yanasaidia kwenye kupata ajira?...pia kwny baraza la mitihani zinaenda namba!inakuwaje hapo,au namba zinaonyesha huyu islamic na huyu christian?.......nendeni shule jamani
 
kinachashangaza wakiingia vyuoni wanatia aibu. Div 1 ya ndalichako haina kitu. Wanapitwa hata div 111 za waliohujumiwa. Hii ni aibu kwa ndalichako. Itabidi pawe na mkakati madhubuti wa kuficha aibu hii kwa kuwapeleka vyuo vya st

acha upuuzi hebu tuype updates nipo hapa
 
Last edited by a moderator:
mitihani yote ya kidini ifutwe, taasisi zenyewe zijutingie mitihani kwa waamini wao. tunataka secular state
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom