Waislam waandamana jijini Dar dhidi ya Dk Ndalichako wa NECTA

Status
Not open for further replies.
Of course it is there right kuhoji matokeo ya mitihani yao, LAKINI mitihani ya bible knowledge na islamic knowledge inawasaidia nini katika soko la ajira/ joining universities. nadhani medicine/ engineering/law etc principal ya dini haisaidii kukuchagua kwenda huko, labda kwenye mikopo (division grading) , sijui. If it were me I will never make demonstration for such a thing, only table negotiations could suffice.

We unaishi dunia ipi? Kwa bible sijui lakin Islamic knowledge soko la ajira lipo tele.Kuna Islamic banking,nenda NBC,KCB,STABIC pia kuna full islamic bank inaitwa Amana hapa TZ.Pia Islamic Development Bank ndo taasisi ya pili baada ya benki ya dunia kwa ukubwa wa mtaji duniani.Sasa kama huna islamic knowledge huwezi ajiriwa huko.
 
we unaishi dunia ipi? Kwa bible sijui lakin islamic knowledge soko la ajira lipo tele.kuna islamic banking,nenda nbc,kcb,stabic pia kuna full islamic bank inaitwa amana hapa tz.pia islamic development bank ndo taasisi ya pili baada ya benki ya dunia kwa ukubwa wa mtaji duniani.sasa kama huna islamic knowledge huwezi ajiriwa huko.
kwani wanajua hao? Udini wameuweka mbali. Pengine huyu ndie ndalichako wenyewe. Utegememe nini kwa wanafunzi wa kiislam?
 
Hawa hapa..
 

Attachments

  • bongo.jpg
    bongo.jpg
    106.2 KB · Views: 48
ndugu nipo hapa, kama upo LIVE maana yake unatuwekea PICHA na siyo maneno tu kama unatoa hotuba.

WEKA PICHA PLEASE!!!!!!!!!



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Hawa hapa..

Hawa dawa yao ni moja tu, huyo Ndalichako abadilishwe ofisi kisha achaguliwe Muislamu aongoze pale tuone kama watafaulu hao watoto wao wanaosoma Madrasa na kufanya mtihani wa Hesabu, Chemistry, Bilogy kama watapita.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kumwondoa mtu kazini kwa msingi ya shinikizo la dini ni kuvunja katiba ya nchi. Nchi yetu haina dini. Je wakisto wakiandamana kumwondo JK madaarakani kwa sababu ni muislamu ni sawa? kwanini wanataka kumwonea Dr. Ndalichako kwa sababu ya dini yake? sii sahihi
 
kama kuna mtu anasikiliza uharo wanaotapika sasa hivi huko kidongo chekundu unaweza kucheka mpaka ukalazwa hospitali...tutashuhudia mengi mwaka huu...!
kama wa chadema? Kweli maana mtwara jamaa baada kuona watartadishwa wameamua kurudi vyama vyao vya asili. Na kuikimbia chadema
 
We unaishi dunia ipi? Kwa bible sijui lakin Islamic knowledge soko la ajira lipo tele.Kuna Islamic banking,nenda NBC,KCB,STABIC pia kuna full islamic bank inaitwa Amana hapa TZ.Pia Islamic Development Bank ndo taasisi ya pili baada ya benki ya dunia kwa ukubwa wa mtaji duniani.Sasa kama huna islamic knowledge huwezi ajiriwa huko.
Ushawahi kujiuliza kwa nini ianzishwe islamic banking ndani ya benk ya taifa..??? Ushawahi kusikia wakristu wakililalamikia hilo. Anzisheni za kwenu kama vile mkombozi bank, Efata Bank etc. Baada ya miaka kumi na kuendelea, zitakapofika BENKI ZAIDI YA KUMI ZA WAKRISTU MTAANZA KULALAMA KWA TUNA BENK......... Kama ambavyo mnalalama kwa nini tuna vyuo vikuu vingi... HAYA BANA, TIME WILL TELL nyie kaeni mkifurahia hizo hiyo islamic banking ndani ya benki ya taifa
 
Kumwondoa mtu kazini kwa msingi ya shinikizo la dini ni kuvunja katiba ya nchi. Nchi yetu haina dini. Je wakisto wakiandamana kumwondo JK madaarakani kwa sababu ni muislamu ni sawa? kwanini wanataka kumwonea Dr. Ndalichako kwa sababu ya dini yake? sii sahihi
sIO KWA SABABU YA DINI YAKE. KWA SABABU YA DHAMBI ZAKE JUU YA WAISLAM. PALE YULE MAMA KAAJIRI KIKUNDI CHA WATU KUHUJUMU WANAFUNZI WA KIISLAM. MWAKA HUU KAIBIKA MAANA KIJANA MMOJA PALE KASILIMU AKATOA SIRI NDUIO MAANA UKWELI UKAJULIKANA
 
ushawahi kujiuliza kwa nini ianzishwe islamic banking ndani ya benk ya taifa..??? Ushawahi kusikia wakristu wakililalamikia hilo. Anzisheni za kwenu kama vile mkombozi bank, efata bank etc. Baada ya miaka kumi na kuendelea, zitakapofika benki zaidi ya kumi za wakristu mtaanza kulalama kwa tuna benk......... Kama ambavyo mnalalama kwa nini tuna vyuo vikuu vingi... Haya bana, time will tell nyie kaeni mkifurahia hizo hiyo islamic banking ndani ya benki ya taifa
wakiristo hawana mfumo wa maisha. Kwa hivyo huwezi kufafananisha. Wao kila kitu ni kwa yesu tu
 
Nimesikitika sana kuona Watanganyika hawa walivyokosa kazi na kwenda kwenye maandamano ati wanataka serikali iwaadhibu wafanyakazi wa baraza la mitihani Tanzania hii kweli ni akili ya wendawazimu,Ndugu zangu kuna vitu muhimu vya kuandamana lakini sio hili,ningependa kama wangeandamana kudai haki kama Matibabu,Maji,Vitabu mashuleni na walimu wengi,Hospital kuwa za kisasa zaidi na vifaa vyote muhimu zikiwemo X ray,vifaa vya akina mama wakati wa kujifungua,katiba bora pasipo kuingiiana na mambo ya kidini kwa kuwa nchi yetu haina dini,barabara,mifumuko ya bei ya vyakula,rushwa na mengineyo mengi tu.
Hii inasikitisha sana na mambo kama haya chini ya viongozi kama hawa ambao wameandaa maandamano/mkutano wa hazara hatuwezi kufikia malengo kama taifa ambalo liko hoi,jamani hebu tuachane na mambo ya DINI tuangalie maisha bora na tuseme je tutapataje maisha bora????Nchi iko gizani kwa miaka 50 hakuna umeme wa uhakika lakini hao hao tena wanaishi hapo hapo Dar es Salaam ambako ndio kuna serikali kuu wanafanya mambo ya ajabu badala kuibana serikali kwa mambo ya msingi wao na mambo ya uwendawazimu hebu tubadilike jamani.Na hawa wangesaidia sana kubana serkali hasa kwa matatizo ya umeme kwa kwa wanaona watumishi wa serikali na matajiri wasivyopata shida/adha za kukosekana kwa umeme kwani wanaona na kusikia mingurumo ya MAJENERETA ikinguruma mara tu umeme ukikatika ingekuwa waibane serikali kwa mambo kama haya kwani wako karibu nao na si hili walilofanya
 
maandamano ni haki ya kila mtu na anaweza kuitumia kudai jambo lolote ambalo anahisi kuwa anadhulumiwa na anataka kufikisha ujumbe sehemu husika.hivi wewe hushangai watu wakiandamana kudai haki yao ya USHOGA? unashangaa hili ambalo liko wazi kabisa na baraza wenyewe wamethibitisha?tujifunze kukubali kuwa nchi hii ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kusikilizwa.OMBA RADHI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom