blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Mimi siamini kama ni waislam wote wanaolalamika kwani wale wanaojua maana ya kujituma hawana muda wa kufikiria upumbavu kama huu.Wale ambao kazi yao kubwa ni kuvizia ubwabwa wa wanachuo na kupiga soga zisizo na mpango ndio wataongea pumba kama hizi.Kama unakazania kaswida sijui na nini vile ukaacha kuzingatia masoma unapofeli lazima utafute kisingizio. Hivyo ndugu yangu safhat hebu tupe vigezo walivyonavyo hao vilaza waliofeli wanasingizia BARAZAhoja zao zte zna PROOF,ZINAELEWEKA NA KUAMINIKA na wa2 weny akili timamu na sio wny interest zao bnafc.ww Mzee wa njaa nna hofu kua umehongwa utoe mada hi ili upunguze njaa yko.
POLE SANA BRO...