crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Wakati sakata lile linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma.
Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa vinahusiana sana .
Kutokana na hili binafsi napata picha kwamba hili la dp world ni kama kisasi Kwa mkataba ule wa makanisa ndio maana tuliona jamii yote ya waislam ikiunga mkono bila hata kuhoji.
Sasa baada ya kutafakari Kwa kina Leo
Je serikali kudhamini makanisa ni sawa??? Binafsi nimegundua ni hapana ,si sawa.
Kama kulikuwa na ulazima sana kutokana na serikali kutokuwa na uwezo kama jamii kubwa ya wakristo ilivyokuwa inadai,basi walau hayo makubaliano yangewekwa Kwa muda mfupi wakati serikali ikijipanga kujenga hospitali zake kama ilivyo wajibu wake
Katoliki ni kanisa kubwa sana hapa nchini lenye muunganiko na mshikamano wake na miradi yake. Wakristo wapo wengi ambao wakiweza kuji sum up wanaweza wazidi hata wakatoliki. Lakini huo umoja hauwezekani kutokana na tofauti zetu. Je siku RC wakisema watumie miradi yake hiyo ambayo inakuwa supported na Kodi ya serikali kujiimarisha wao kama wao,itakuwa sawa???
Mf.watumie kigezo Cha kuajiliwa kwenye hospitali zao, lazima uwe mkatoliki au uwe umesoma kwenye shule zao ili wajiimarishe kibiashara itakuwa sawa hiyo?? Kumbuka at the same time serikali haitakiwi kujenga hospitali nyingine kulingana na makubaliano Yale ya kanisa.
Ikumbukwe pia kipindi hicho wakati makubaliano hayo na makanisa yanawekwa ambapo waislam waliwekwa kando kutokana kuwa minority na kutokuwa na economic muscle za kumiliki mahospitali . Lakini Leo nguvu sio population Tena Bali ni uwezo wa kumiliki uchumi. Ndio maana Kuna kipindi christians humu as many as we are, lakini Bado tulikuwa tunalialia Azam tv Wana udini. Wamepata wapi jeuri hiyo?? Uchumi.
Hivyo nikisimamia kwenye hoja hizo, binafsi ninahisi dp world ni kisasi au kuna namna waislam wametupiga japo sijajua how.
Kama taifa ambalo tumechagua kuwa si la kidini,ambalo pia ni lina dini nyingi ndani yake, serikali inapaswa kujitenga kabisa na dini na kutimiza wajibu wake Kwa watu wake.
Habari zaidi, soma: